Ni kweli kampuni za kubeti zinadhulumu wawekezaji?

Hawafanyi hvy Ila ukishinda parefu, Wanaanza kukutafutia makosa na wakiyakuta huchomoki.

Mfano, kuna makampuni mwisho wa odds ni 500, ila wakati wa kubet unaweza kufikisha hadi odds 50,000, mtihani utakuja ukiwa umewapiga parefu Ndo wanakuletea Hiyo sheria yao kuwa mwisho wa odds ni 500.

Kuna mambo ya kutumia namba au email ya aina moja kwenye akaunti mbili tofauti za kubet, h nadhani ipo kwenye makampuni yote.

Yani makampuni yote wana sheria zao wnyw ambazo hua zipo ila kwa kificho, ukija kuwanyoosha ndo na wao wanakuonyesha kuwa umevunja sheria hvy hawakulipi.
 
Withdraw yoyote huwa inafanyiwa screening kabla hela haijaingia kwenye account,wins ndogondogo mfano less than 1M screening yake sio kubwa sana so wengi hupata withdrawal zao instantly.
Sasa let say umeshinda 10M na kuendelea kwenye ukarequest withdraw, kwenye screening zao wakaona una account nyingine ndani ya kampuni hiyo hupati kitu.
Wewe nieleweshe tu, nitaelewa.
Yaani hiyo pesa uliyoshinda, na imebainika sasa una akaunti 2, huwezi kuitoa? Au haionekani kabisa.
Je inachukua muda gani wao kugundua una multiple accounts.

Hapa umenishangaza kwasababu anayefanya screening ndio anayekulipa,hiyo withdraw ya haraka unafanyeje?
Mpaka wanakufungia akaunti wewe unakuwa huja-withdraw tu.
 
Withdraw yoyote huwa inafanyiwa screening kabla hela haijaingia kwenye account,wins ndogondogo mfano less than 1M screening yake sio kubwa sana so wengi hupata withdrawal zao instantly.
Sasa let say umeshinda 10M na kuendelea kwenye ukarequest withdraw, kwenye screening zao wakaona una account nyingine ndani ya kampuni hiyo hupati kitu.

Hapa umenishangaza kwasababu anayefanya screening ndio anayekulipa,hiyo withdraw ya haraka unafanyeje?
Nyote mnaongea vitu vya nadharia, watu wanashinda mpaka milioni 50 - 100 na wana account kibao na ela wanalipwa bila chenga, taja kampuni moja iliyowahi kugoma kumlipa mtu mkeka alioshinda kihalali kwasababu zozote zile!?,. Au toa mfano halisi wa mtu unayemjua, kama yupo hiyo story ingefika hadi mitandaoni usicheze na mtu anayebet mwaka mzima au zaidi analiwa halafu ashinde milioni 13 umletee story!?,hizo kelele zitafika mpaka kwa mkuu wa wilaya hadi polisi. Na kampuni zinaogopa hizo kelele ili wasipoteze wateja, unajua kampuni za kubeti zinaingiza shilingi ngapi kwa siku!?
 
Nimesoma sehemu kuwa kampuni za kubeti zinadhulumu watu walioshinda pesa nyingi. Kuwa zinabadilisha betting. Kama uliweka timu fulani ishinde wao wanabadili kuwa uliweka ifungwe kwa hiyo wanachana mkeka ulioshinda. Ukiweka over na kushinda wanabadili kuwa under. Na wengine wanakufutia kabisa account. Yana ukweli? Kampuni gani zimenyooka?
NI KWELI KWA ASILIMIA 100
 
Wewe ni mjinga,makampuni mengi kwenye t&c zao wamezuia kuwa na multiple accounts sema watu wengi hawasomi hizo t&c

Watu wengi hawajalipwa pesa zao kwa kigezo hicho.
Kwahiyo unadhani hayo malalamiko ya watu ni uongo?ili wapate faida gani?
 
Kukufilutia account sidhani na kuedit slip sidhani.
Ninachojua ni kuwa ukiwapiga pakubwa na ikagundulika una account Zaidi ya moja kwao hupati kitu
Wewe utakua ni newbie.

Kampuni za bet zinaedit, na pia zina tabia ya
Kufuta account yako.

NB: sio mara zote hufanya hivyo. Wapo wanaoahinda pesa ndefu na hulipwa. Ila ikitokea umekula na wakifanya kwako ndio inakua imeenda hiyo

Moja ya kampuni zenye hii tabia ni wasafi bet na kampuni za kirusi(1xbet, helabet, paripesa, 888starz n.k). SPORTYBET na betpawa wanajitahidi, japo nao chenga zipo
 
Mpaka wanakufungia akaunti wewe unakuwa huja-withdraw tu.
Na kwanini wasubirie mpaka ushinde kiwango kikubwa ndio hoja ya kuwa na akaunti zaidi ya moja iibuliwe
Utakua mgeni kwenye betting. Unashinda pesa unaiona hapo lakini huwezi kuwithdraw, baada ya muda unakuta account imefutwa kabisa.

Kuna na account mbili kunazuia nini kilichosemwa? Haizuii chochote na haisaidii chochote
 
Sjawai kubet so nauli swali dogo tu kwan hua hubakii na copy ya kile ume bet
Na zaman nlikua naona kuna mashine flan iv unalipia linatoka karatasi fran iv unaondoka nayo
Copy ubaki nayo au usibaki nayo haisaidii kitu, uwe uliscreenshot au hukuscreenshot bado haisaidii kitu endapo wameamua kikudhulumu. Utalia weee, utahangaika Ila hutapata kitu

Mshindi ka kubet na kutolewa karatasi(betslip) zimeshapita na wakati sawa na vocha za kukwangylua, watu wanabet na simu zao.
 
Nyote mnaongea vitu vya nadharia, watu wanashinda mpaka milioni 50 - 100 na wana account kibao na ela wanalipwa bila chenga, taja kampuni moja iliyowahi kugoma kumlipa mtu mkeka alioshinda kihalali kwasababu zozote zile!?,. Au toa mfano halisi wa mtu unayemjua, kama yupo hiyo story ingefika hadi mitandaoni usicheze na mtu anayebet mwaka mzima au zaidi analiwa halafu ashinde milioni 13 umletee story!?,hizo kelele zitafika mpaka kwa mkuu wa wilaya hadi polisi. Na kampuni zinaogopa hizo kelele ili wasipoteze wateja, unajua kampuni za kubeti zinaingiza shilingi ngapi kwa siku!?
Kuna mawili, inawazekana hujui lolote kuhusu betting na makampuni yake yalivyo, au ni ngumbaru

Kuna kampuni mfano sportybet au betpaw hawana kona kona ukiwapiga pesa kubwa, Ila kampuni zingine hizi za ndani au zile za kirusi, huwezi kulipwa hiyo hela hata ufanye nini na uende wapi
 
Nimesoma sehemu kuwa kampuni za kubeti zinadhulumu watu walioshinda pesa nyingi. Kuwa zinabadilisha betting. Kama uliweka timu fulani ishinde wao wanabadili kuwa uliweka ifungwe kwa hiyo wanachana mkeka ulioshinda. Ukiweka over na kushinda wanabadili kuwa under. Na wengine wanakufutia kabisa account. Yana ukweli? Kampuni gani zimenyooka?
Fanya kazi. Acha uvivu kutegemea kamari
 
Wewe ni mjinga,makampuni mengi kwenye t&c zao wamezuia kuwa na multiple accounts sema watu wengi hawasomi hizo t&c

Watu wengi hawajalipwa pesa zao kwa kigezo hicho.
Kwahiyo unadhani hayo malalamiko ya watu ni uongo?ili wapate faida gani?
Anaongea vitu havina ushahidi. Kampuni nyingi hususani za Kirusi hazijasajiliwa bongo so ukishinda pakubwa huwa wanatabia ya kufungia account. Watakupa sababu yeyote ya kijinga

Ukienda bodi hawakusaiidii sababu hawawatambui.
 
Back
Top Bottom