Ni kwanini wanaume ndio tulianzishe tu kila siku?

hm...kwa nn ufe njaa wakati chakula kipo kinakuangalia tu...khaa,dada huyo anaona noma cjui...no noma ktk hapooo
 
Wanawake mnapaswa kubadilika. Msitegemee wanaume ndio waanze tu. Hata nyie mnapaswa kuwa mstari wa mbele kudai haki yenu ya msingi. Haki sawa kwa wote, au vipi? Mkiendelea kukaa kimya na nye** zenu, mtagongewa nje mpaka kieleweke. Mmeona eeh?

ukiona kapiga kimya we endea kwenda nje, naye zikimzd ataenda nje, mtabaki wapenzi jina, sho nje
 
sasa vitu kama hivyo si ndo vya kuongea na mkeo ukituletea hapa unakuwa hujatatua tatizo, mapenzi ni mawasiliano usichopenda unamwambia mwenzio mnarekebishana na unachopenda unamwambia au unauliza ili upate majibu, sasa wewe umekimbilia michepuko na kuja kumnanga humu, ndoa gani hyo, unapenda kweli huyo?
 
Kuna kesi moja niliwahi kuihandle ya namna hii, mwanamke akianza kuomba game mwanaume anamlaumu kuwa ni kicheche kwani mwanamke aliyefunzwa vyema kwao hawezi kuomba game. Na mwanamke akisema auchune mwanaume anaanza kumlaumu kuwa hana stimu so kuna mahali anagongwa nje!! Hii kitu ilimfanya binti wa watu awe puzzled kwa muda mrefu ila siku alipoamua kufyatuka jamaa alitia akili. Ilikuwa ni ugomvi mkubwa mwanamke anadai talaka mpaka jamaa ikabidi aombe usaidizi.

Nilimpa mshikaji makavu siku hiyo, hatakaa anisahahu!! Maana alikuwa anatuaibisha sana!!

Turudi kwenye mada, ni dhahiri jamaa hana urafiki wa karibu na mkewe kwa sababu ya vimada!! Hamtendei haki kabisa, yaani yeye akiwa na kiu anatoka nje anamwacha mkewe anaugulia!! jambo la aibu kabisa kabisa

Umeongea ukweli mtupu mkuu haiwezekani mke wa ndoa aogope kukuomba tendo la ndoa no matter what
Huyu anapenda michepuko ndo mana mwenzie asipoomba tendo anaenda nje na siku akilalamika anamjibu hizo kauli alisosema.
Sembese sisi hutupo kwenye ndoa na tunasumbua boyfriend zetu???
Ajichunguze haya yafuatayo
1.sio rafiki kwa mkewe
2.anapenda kutumia ubabe wa kiume
3.ana tabiaya kuchukua maamuzi mabaya hasa ya mchepuko pindi mke asipomwomba
4.aangalie anamkuneje mkewe anatimiza wajibu tuu wa ndoa or anamfanyie kile anachotaka na kwa muda sahihi
Mwanamke alivyoumbwa inabidi umtengenezee mazingira ya kuwa rafiki kumdekeza,kumsifia na maneno matamu hasa kwenye 6*6 ili awe na comfidence na pia itampa assuarence ya kuweza kusema lolote la moyoni.yeye anaweka ukauzu unafikiri ataweza kumwambia anahitaji kukunwa??
 
nani kasema hatuanzishi? labda wako ndio hakusumbui lakn hapa ungesumbuliwa wewe had ungeona kero

Ningekupata wewe hakika ningekua nagonga kila siku. Unajua kwamba kuhitajiana kuna hamasisha sana--sio kila siku mwanaume anakuwa muhitaji peke yake huku mwanamke akijifanya kutokuwa na time.
 
Haaa. kweli watu wametofautiana. Sasa bora huyo wako yaani hasumbui ye asikilizia tu. Maana mi huyu wangu mpaka kero yaani hata kama hukujiandaa utakoma mabalaa yake. Na ole wako umtolee nje utakoma.

Du, mkuu natamani huyo wa kwako angekuwa wangu--yaani ningekuwa nagonga kila saa. Ningemuambia kabisa asiwe anavaa pichu.
 
Embu mwambie wifi achangamke yaani, anashindwa kuomba wakati ni haki yake.

yaani namshangaa sana. eti yeye anakaa tu akinitegea mimi ndiye nimuanze! namshangaa sana.
 
Tengua kauli...ya kusema wanaume waanzilishi wa kila kitu.........Huyo mkeo sijui demu wako bado yupo Analog...mpeleke kwenye ulimengu wa kisasa aone shuguli yake ilivyo tamu
 
Watu tunaambiwaga live nataka tu.ti.ane! Halafu uzoefu unaonesha akilianzishaga unapata nguvu za ajabu! Sijui zinatoka wapi, ni kama anakomotivate hivi.

unaona eeh?--na hata nye.ge hupanda mara dufu. hiyo inakuwa safi sana.
 
Kwanza kabisa wewe huna kazi. Pili,haujui kumtreat a woman like a queen. Lazima umwombe umbembeleze umtekenye umwimbie nk basi ajiskie .ukishafanya hivyo utamwona anaanza kushika kitasa na kufungua mlango taratibu mara kashkka koni.

Just love a woman in your own way my bro.

ina maana yeye hata akiwa na nyege hatakiwi kuniomba nimdinye?
 
Wewe sio rafiki kwa mkeo jenga mazingira ya upendo awe free kukuambia chunguza maisha yako huenda wewe ni mkali

Ni muhimu akuambie anataka kukunwa pool tena mke wa ndoa..

mimi ni mpole sana mkuu, ni uzubaifu wake tu.
 
Wambie nawenzio wawe majasiri kama wewe,...itafurahisha naamini wanaume watakaa njia kuu kama roli vile
 
Kuna kesi moja niliwahi kuihandle ya namna hii, mwanamke akianza kuomba game mwanaume anamlaumu kuwa ni kicheche kwani mwanamke aliyefunzwa vyema kwao hawezi kuomba game. Na mwanamke akisema auchune mwanaume anaanza kumlaumu kuwa hana stimu so kuna mahali anagongwa nje!! Hii kitu ilimfanya binti wa watu awe puzzled kwa muda mrefu ila siku alipoamua kufyatuka jamaa alitia akili. Ilikuwa ni ugomvi mkubwa mwanamke anadai talaka mpaka jamaa ikabidi aombe usaidizi.

Nilimpa mshikaji makavu siku hiyo, hatakaa anisahahu!! Maana alikuwa anatuaibisha sana!!

Turudi kwenye mada, ni dhahiri jamaa hana urafiki wa karibu na mkewe kwa sababu ya vimada!! Hamtendei haki kabisa, yaani yeye akiwa na kiu anatoka nje anamwacha mkewe anaugulia!! jambo la aibu kabisa kabisa

mkuu, kama mamsapu haoneshi dalili za kunihitaji kwanini nisiende nje ambako nahitaji zaidi.
 
Back
Top Bottom