Watu tunaambiwaga live nataka tu.ti.ane! Halafu uzoefu unaonesha akilianzishaga unapata nguvu za ajabu! Sijui zinatoka wapi, ni kama anakomotivate hivi.
Kuna kesi moja niliwahi kuihandle ya namna hii, mwanamke akianza kuomba game mwanaume anamlaumu kuwa ni kicheche kwani mwanamke aliyefunzwa vyema kwao hawezi kuomba game. Na mwanamke akisema auchune mwanaume anaanza kumlaumu kuwa hana stimu so kuna mahali anagongwa nje!! Hii kitu ilimfanya binti wa watu awe puzzled kwa muda mrefu ila siku alipoamua kufyatuka jamaa alitia akili. Ilikuwa ni ugomvi mkubwa mwanamke anadai talaka mpaka jamaa ikabidi aombe usaidizi.
Nilimpa mshikaji makavu siku hiyo, hatakaa anisahahu!! Maana alikuwa anatuaibisha sana!!
Turudi kwenye mada, ni dhahiri jamaa hana urafiki wa karibu na mkewe kwa sababu ya vimada!! Hamtendei haki kabisa, yaani yeye akiwa na kiu anatoka nje anamwacha mkewe anaugulia!! jambo la aibu kabisa kabisa
nani kasema hatuanzishi? labda wako ndio hakusumbui lakn hapa ungesumbuliwa wewe had ungeona kero
Haaa. kweli watu wametofautiana. Sasa bora huyo wako yaani hasumbui ye asikilizia tu. Maana mi huyu wangu mpaka kero yaani hata kama hukujiandaa utakoma mabalaa yake. Na ole wako umtolee nje utakoma.
Kwanza kabisa wewe huna kazi. Pili,haujui kumtreat a woman like a queen. Lazima umwombe umbembeleze umtekenye umwimbie nk basi ajiskie .ukishafanya hivyo utamwona anaanza kushika kitasa na kufungua mlango taratibu mara kashkka koni.
Just love a woman in your own way my bro.