Ni kwanini wanaume ndio tulianzishe tu kila siku?

Ni Hikima ya Muumbaji kaka.... wewe umeona mnyama gani..Jike likamfukuza dume katika kufanya tendo la kuburudika....Tuanze na kuku,Bata.Ng'ombe..Mbwa,Paka na wengine wote...usilazimishe jambo ambalo Muumba ameshaweka utaratibu wake.........Jifunze kusoma alama za nyakati...ukimkuta mwenzako amefanya mabadiliko ya kuvaa..kusuka...kutia hinna ua kwa huku kwetu znz kufukiza udi io ndi massage tosha ya Jambo lenyewe...au ukiambiwa leo usichelewe kurudi......mwanamke anaweza kuweka maua ya asumini kitandani...tena apo uambiwe nini tena shekhee?
 
umeonaeee thats the point... jana niliwaambia mapenzi ni utundu sio kuingiza tuu kama hujui ni shida sana....wanaume ni wengi ila kwenye suala la kumtosheleza mwanamke na utundu wapo wachache.

yeep and thats y duniani only 30%percent ya wanawake ndo hufurahia tendo (orgasm).but all men in the world should take this as a a challenge na kulifanyia kazi
 
Sio Hawa wetu wa sasa ambao hata kwenye daladala anakushika dushelee yako,
Mi kuna wkendi moja nilitoka kwenda shamba nikarudi j2 nimechoka kama mbwa kwa kazi za shamba.
Nilifika nyumbani ni kuoga na kijitupa kitandani hata hamu ya chakula haikuwepo.
Usiku Kama saa8 hv nikahisi niko ndotoni Na mtu yuko busy anawork on my dushelee yangu kuzinduka ni mama watoto,ingawa nilichoka lakini nilimpa alichokitaka.
 
asee mim hua namparamia mwenyew mpaka anachekaga! when it comes to sex sinaga simile
 
hata hiyo ishara ya kiana yenyewe siioni, mkuu. ikiwa hata akitaka kuvaa chu.pi tu tukiwa wawili chumbani huvaa kanga, je hiyo ndiyo ishara yenyewe? mbona nikienda kwa mchepuko tukiwa room huwa hata chu.pi havai kabisa?

Hahahaaa ndiyo sababu hukuoa mchepuko ukaoa wife! Wale waliokuwa wanajiachia kihasara na wewe kabla ya kuoa uliwakimbia ukaja kuoa huyu bikra asiyejua kitu! Halafu unalalamika! Mfundishe au muache uoe analiyekubuhu
 
Ni kweli inaboa tena sanaaaa. Utafiti niliofanya ni kweli wanawake wengi wanataka uanzishe mwenyewe, inaboa kabisa maana huwezi jua kama mwenzio yuko kwenye mood au la. Mnaosema mnaanzisha labda wa kwake ndio hio asilimia 10 tu, 90% mpaka utake mwenyewe, na ukichelewa kidogo kuingia chumbani labda ulikuwa unasoma gazeti hivi, unakuta mwenzio anakoroma, hawezi kukuita na kukwambia njoo tulale bwana achana na gazeti, ni kama anatake advantage ya wewe kusoma gazeti ajitupe na kulala. Au mwingine anaanza " Aisee nilivyochoka natamani sasa nioge nikalale tu" Hii maanayake nini?
 
Ni Hikima ya Muumbaji kaka.... wewe umeona mnyama gani..Jike likamfukuza dume katika kufanya tendo la kuburudika....Tuanze na kuku,Bata.Ng'ombe..Mbwa,Paka na wengine wote...usilazimishe jambo ambalo Muumba ameshaweka utaratibu wake.........Jifunze kusoma alama za nyakati...ukimkuta mwenzako amefanya mabadiliko ya kuvaa..kusuka...kutia hinna ua kwa huku kwetu znz kufukiza udi io ndi massage tosha ya Jambo lenyewe...au ukiambiwa leo usichelewe kurudi......mwanamke anaweza kuweka maua ya asumini kitandani...tena apo uambiwe nini tena shekhee?

it make sense.....
Mambo ya pwani yananichanganya vitu vya pwani vinanichanganya(singing in solo's voice)
 
Nna wacwac ntakuwa nami nanyemelewa na jinamizi hili hapa lilitokea huko Southern Rhodesia--kwa Jongwe:

By: Sanvi Rizvi

A boy was furious when he discovered that his mother was having an affair with another man.

The boy of Zimbabwe, allegedly found nude photos of his mother with another man on her cell phone.

The boy then showed the photos to his father, Dumisani Ndebele. After seeing the photos, Ndebele became furious, saying that his wife had refused him sex for almost a year.

The man attacked his wife at their home in Pumula Bulawayo. He bit her on the cheeks and ripped a piece of her cheek out after he discovered the series of nude photos of her with another man having sex.

Keziya Ndebele denied the allegations that she was cheating on her husband. Instead, she said that her husband went crazy after he was served with divorce papers to end their 18 year marriage.

The woman, who appeared in front of judge Marylene Mtshina with bandages on her face, was granted an order of protection against her husband.
 
Sio Hawa wetu wa sasa ambao hata kwenye daladala anakushika dushelee yako,
Mi kuna wkendi moja nilitoka kwenda shamba nikarudi j2 nimechoka kama mbwa kwa kazi za shamba.
Nilifika nyumbani ni kuoga na kijitupa kitandani hata hamu ya chakula haikuwepo.
Usiku Kama saa8 hv nikahisi niko ndotoni Na mtu yuko busy anawork on my dushelee yangu kuzinduka ni mama watoto,ingawa nilichoka lakini nilimpa alichokitaka.

hiyo safi sana mkuu...ikitokea kwangu mbona nitaona kama muujiza?
 
mmmmh! kwanii mkuu alilazimishwa kuolewa nawe au wewe ulilazimishwa kumuoa.mbona km unazidisha chumvi hapa mkuu

No, hakuna chumvi yoyote. This's the naked truth. Sijui huyu mamsapu wangu aliumbwaje hasa!
 
umeonaeee thats the point... jana niliwaambia mapenzi ni utundu sio kuingiza tuu kama hujui ni shida sana....wanaume ni wengi ila kwenye suala la kumtosheleza mwanamke na utundu wapo wachache.

Nikizidisha utundu, hukasirika na kuanza kunihoji nilijifunzia wapi utundu huo...tena anaweza kughairi kunipa kabisa!! Mkuu, inaonekana kumbe inaonekana humjui vizuri eeh?

Lakini nikienda kwa mchepuko, yeye hufarahia sana utundu wangu na pia hujituma sana kunipa kile ninachokitaka--sio goigoi wala mtata kama mamsapu.
 
Ni Hikima ya Muumbaji kaka.... wewe umeona mnyama gani..Jike likamfukuza dume katika kufanya tendo la kuburudika....Tuanze na kuku,Bata.Ng'ombe..Mbwa,Paka na wengine wote...usilazimishe jambo ambalo Muumba ameshaweka utaratibu wake.........Jifunze kusoma alama za nyakati...ukimkuta mwenzako amefanya mabadiliko ya kuvaa..kusuka...kutia hinna ua kwa huku kwetu znz kufukiza udi io ndi massage tosha ya Jambo lenyewe...au ukiambiwa leo usichelewe kurudi......mwanamke anaweza kuweka maua ya asumini kitandani...tena apo uambiwe nini tena shekhee?

Mkuu, hilo hapa kwangu sijawahi kuliona. Yaani kungekuwa na shule ya mapenzi ningemlipia gharama zote anende akajifunze...anaboa sana!
 
Kwahiyo lawama unazo pewa ni za uongo sio?
Mwenyewe umejieleza halaf unasema unapewa lawama. Huo ni ukweli unajivinjari nje ya nchi.
 
Ni kweli inaboa tena sanaaaa. Utafiti niliofanya ni kweli wanawake wengi wanataka uanzishe mwenyewe, inaboa kabisa maana huwezi jua kama mwenzio yuko kwenye mood au la. Mnaosema mnaanzisha labda wa kwake ndio hio asilimia 10 tu, 90% mpaka utake mwenyewe, na ukichelewa kidogo kuingia chumbani labda ulikuwa unasoma gazeti hivi, unakuta mwenzio anakoroma, hawezi kukuita na kukwambia njoo tulale bwana achana na gazeti, ni kama anatake advantage ya wewe kusoma gazeti ajitupe na kulala. Au mwingine anaanza " Aisee nilivyochoka natamani sasa nioge nikalale tu" Hii maanayake nini?

Well said mkuu....kama vile ulikuwepo...ulijuaje? Yaani ni hivi hivi ndivyo inavyokuwa. Au wakati mwingine atajichelewesha kuja kulala, akijifanya yuko busy kutazama TV kumbe anakutega utangulie kitandani aje akute unakoroma na ndiyo iwe imetoka hiyo. Hawa dawa yao ni kuwagongea nje tu mpaka watakapobadilika.
 
Wakati mlivyokuwa wachumba ina mana hukujua hilo tatizo? Nadhani ungemfundisha toka wakati ule sahv asingekusumbua.
 
Back
Top Bottom