Ni kwanini wanaume ndio tulianzishe tu kila siku?

Utaratibu uliojengeka miongoni mwa wanawake ni kwamba siku zote mwanaume ndiye anayeanzisha “movie ya mambo yetu yale” na ndiye steering kwa kila kitu. Yaani hata mwanamke awe na nye** kiasi gani hawezi kuomba mchezo, sembuse kuonyesha dalili, eti mpaka mwanaume mwenyewe amuombe! Hii haikubaliki hata kidogo.

Jamani, hata kuonyesha morali wa uhitaji hakuna? Ndiyo nini sasa? Mimi nikiona namna hii, huwa nauchuna mpaka zinapita siku 2 hadi 3, nikiona response ni ZERO, naenda zangu kugonga nje. Nikija nakata siku zingine 3, halafu baada ya hapo lawama zinaanza—kwamba kwanini sifanyi kazi yangu—na kutuhumiwa kwamba huenda kuna mahali nagonga. Ama kweli ukistaajabu ya Musa, utaona ya Firauni! Kila siku nianze mie tu? Unajua hili suala linaboa sana.

Wanawake mnapaswa kubadilika. Msitegemee wanaume ndio waanze tu. Hata nyie mnapaswa kuwa mstari wa mbele kudai haki yenu ya msingi. Haki sawa kwa wote, au vipi? Mkiendelea kukaa kimya na nye** zenu, mtagongewa nje mpaka kieleweke. Mmeona eeh?

Inapokuwa mwanaume ndiye anaanzisha ‘mchezo’ peke yake kila siku haileti picha nzuri. Hii huleta hisia mbaya kwa mume kiasi cha kujihisi kama vile anabaka. Ndiyo. Kumtaka mtu ambaye siku zote haonyeshi hisia za shughuli muifanyayo kunajenga picha mawazoni kwamba huenda mke hana hamu ya mambo hayo na kwamba huenda anajilazimisha tu na kuigilizia hisia za bandia ili kumridhisha mwenza wake. If this school of thought is correct, how is it different from obtaining the service from hooker? Think BIG and reason.
:help:

Na yeye akiona humuombi an agenda kugongwa nje...
 
Pole sana mkuu...hivi umeshawahi kuwa pamoja na mkeo katika hali ya ki romantiki *2..kama beach hivi...au kwenda ata kulala hoteli japo siku moja?...au umewahi kumnunulia mke nguo za kichanguchangu flani hivi na ukamwambia baadhi ya siku uwe unavaa hizi nguo mke wangu mi napenda sana uwe unazivaa....siku atakazovaa ujue kuwa leo mambo yanahitajika...kwani kaka hujawahi kutega panya weye?
 
Mwanaume ni kiongozi mkuu. amiri jeshi mkuu inatakiwa uanze mashambulizi wewe
 
Siyo lazima akutamkie Kwa kinywa chake, body language inatosha kabisa kukujulisha anachotaka. Maine mwenzio na umuelewe
 
Hv unavyosema u wish? Umemwona? Ukimwona unaweza ukatoka nduki.

Kivipi mkuu? Kinachomata sio muonekano wake bali ni kujituma kwake; na mimi hiyo ndiyo factor ya kwanza ninayo-consider---factor zingine tofauti na hiyo ya kujituma kunako 6 by 6 sio za muhimu sana.
 
Msome mwenzio na umuelewe

Hasomeki kabisa mkuu wangu. Kama kungekuwa na tuition ya kumuelewa ingenibidi nikaisome, tena kwa bidii sana ili nipata kuondokana na hiki kitendawili tega!
 
Siyo lazima akutamkie Kwa kinywa chake, body language inatosha kabisa kukujulisha anachotaka. Maine mwenzio na umuelewe

Mkuu, no body language, no K language, no vocal language or whatever language has been signaled by my lady yet!!!
 
haumridhishi ndo mana haoni haja ya kuomba po! jitahid hilo ni jukumu lako..

Yeye mwenyewe labda haridhiki...kujituma kote kule ninakojituma anataka nimpe nini zaidi?
 
Pole sana mkuu...hivi umeshawahi kuwa pamoja na mkeo katika hali ya ki romantiki *2..kama beach hivi...au kwenda ata kulala hoteli japo siku moja?...au umewahi kumnunulia mke nguo za kichanguchangu flani hivi na ukamwambia baadhi ya siku uwe unavaa hizi nguo mke wangu mi napenda sana uwe unazivaa....siku atakazovaa ujue kuwa leo mambo yanahitajika...kwani kaka hujawahi kutega panya weye?

Mkuu, yaani huyu haeleweki kabisa, utadhani ametoka kjjn jana wakati amekulia mjini tangu ng'a. Nashindwa kumuelewa kabisa, sijui nimnyweshe limbwata gani. Hivi malimbwata ya kike yapo? Kama kuna mtu anaelewa ninapoweza kulipata limbwata la kike naomba aniPM tafadahali.
 
Ikiwa kina mama mtaendelea kuuchuna namna hii, mkigongewa nje msitafute mchawi wala mtu wa kumlaumu. Shauri zenu!
 
Back
Top Bottom