Ni kwanini wanaume ndio tulianzishe tu kila siku?

mkuu, kama mamsapu haoneshi dalili za kunihitaji kwanini nisiende nje ambako nahitaji zaidi.

Very stupid!! Kwani kukuhitaji kwake ni lazima akuandikie barua ya maombi?? Ulioa kwa kuiga au ulioa kwa kuwa ulijua umeweza kuyamudu maisha ya ndoa??
 
Wambie nawakewenzio wawe majasiri kama wewe,...itafurahisha naamini wanaume watakaa njia kuu kama roli vile
 
Utaratibu uliojengeka miongoni mwa wanawake ni kwamba siku zote mwanaume ndiye anayeanzisha “movie ya mambo yetu yale” na ndiye steering kwa kila kitu. Yaani hata mwanamke awe na nye** kiasi gani hawezi kuomba mchezo, sembuse kuonyesha dalili, eti mpaka mwanaume mwenyewe amuombe! Hii haikubaliki hata kidogo.

Jamani, hata kuonyesha morali wa uhitaji hakuna? Ndiyo nini sasa? Mimi nikiona namna hii, huwa nauchuna mpaka zinapita siku 2 hadi 3, nikiona response ni ZERO, naenda zangu kugonga nje. Nikija nakata siku zingine 3, halafu baada ya hapo lawama zinaanza—kwamba kwanini sifanyi kazi yangu—na kutuhumiwa kwamba huenda kuna mahali nagonga. Ama kweli ukistaajabu ya Musa, utaona ya Firauni! Kila siku nianze mie tu? Unajua hili suala linaboa sana.

Wanawake mnapaswa kubadilika. Msitegemee wanaume ndio waanze tu. Hata nyie mnapaswa kuwa mstari wa mbele kudai haki yenu ya msingi. Haki sawa kwa wote, au vipi? Mkiendelea kukaa kimya na nye** zenu, mtagongewa nje mpaka kieleweke. Mmeona eeh?

Inapokuwa mwanaume ndiye anaanzisha ‘mchezo’ peke yake kila siku haileti picha nzuri. Hii huleta hisia mbaya kwa mume kiasi cha kujihisi kama vile anabaka. Ndiyo. Kumtaka mtu ambaye siku zote haonyeshi hisia za shughuli muifanyayo kunajenga picha mawazoni kwamba huenda mke hana hamu ya mambo hayo na kwamba huenda anajilazimisha tu na kuigilizia hisia za bandia ili kumridhisha mwenza wake. If this school of thought is correct, how is it different from obtaining the service from hooker? Think BIG and reason.
:help:

Nahisi unaongelea mambo ya mwaka 90 huko. sisi tuko front mpaka wanakimbia wenyewe hahahaha
 
Nahisi unaongelea mambo ya mwaka 90 huko. sisi tuko front mpaka wanakimbia wenyewe hahahaha

mukiwa hivi katika 10 watu 7 michepuko haipo maana mwanaume akitoka akipiga no 1 anaogopa kuanzwa no2 akiludi nyumbani antaanzwa watakomaje nahivi wanararami kupungukiwa nguvu za kiume ahahaaaaaaaaaa
 
Hajakutana nao

katika 10% ni 3% wenyeuwezo wakuaanza kwahiyo kukutana nao inakuwa taratibu sana katika 10%mkipatikana3% michepuko haipo,wanaume wanaogopa kuaanzwa wanajisemelezea,ndiyo maana wengine wanajaribu kujenga hoja kwamba mwanamke akikuanza hajafundishwa
mwenye njaa ndiyo anaye tafuta chakura inakuwaje 1 akitafuta kerereee....samahani lakini
 
Mhhh katika mahusiano sijawahi ona soo kuomba au kuanzisha mchezo with my man....nataka najieleza,muambie ur girl unapenda awe anakuanza atazoea,
hapaswi kuambiwa,inabidi aombe mwenyewe inaonekana hajashikwa/kuguswa mahali anapoppataka siku akiguswa mwenyewe ataomba next time mwanaume unaomba mara za mwanzo mbeleni inakuwa ni fair game 50 kwa 50
 
Utaratibu uliojengeka miongoni mwa wanawake ni kwamba siku zote mwanaume ndiye anayeanzisha "movie ya mambo yetu yale" na ndiye steering kwa kila kitu. Yaani hata mwanamke awe na nye** kiasi gani hawezi kuomba mchezo, sembuse kuonyesha dalili, eti mpaka mwanaume mwenyewe amuombe! Hii haikubaliki hata kidogo.

Jamani, hata kuonyesha morali wa uhitaji hakuna? Ndiyo nini sasa? Mimi nikiona namna hii, huwa nauchuna mpaka zinapita siku 2 hadi 3, nikiona response ni ZERO, naenda zangu kugonga nje. Nikija nakata siku zingine 3, halafu baada ya hapo lawama zinaanza-kwamba kwanini sifanyi kazi yangu-na kutuhumiwa kwamba huenda kuna mahali nagonga. Ama kweli ukistaajabu ya Musa, utaona ya Firauni! Kila siku nianze mie tu? Unajua hili suala linaboa sana.

Wanawake mnapaswa kubadilika. Msitegemee wanaume ndio waanze tu. Hata nyie mnapaswa kuwa mstari wa mbele kudai haki yenu ya msingi. Haki sawa kwa wote, au vipi? Mkiendelea kukaa kimya na nye** zenu, mtagongewa nje mpaka kieleweke. Mmeona eeh?

Inapokuwa mwanaume ndiye anaanzisha ‘mchezo' peke yake kila siku haileti picha nzuri. Hii huleta hisia mbaya kwa mume kiasi cha kujihisi kama vile anabaka. Ndiyo. Kumtaka mtu ambaye siku zote haonyeshi hisia za shughuli muifanyayo kunajenga picha mawazoni kwamba huenda mke hana hamu ya mambo hayo na kwamba huenda anajilazimisha tu na kuigilizia hisia za bandia ili kumridhisha mwenza wake. If this school of thought is correct, how is it different from obtaining the service from hooker? Think BIG and reason.
:help:

Mi naamini hata huyo wako huwa anaomba ila labda wewe ndo mgumu kuelewa. Yaani hujui hata kusoma alama au ishara, poleee we!
 
Ni kweli, ila uombaji wenyewe ni wa kiaina, ila utaelewa tu!

hata hiyo ishara ya kiana yenyewe siioni, mkuu. ikiwa hata akitaka kuvaa chu.pi tu tukiwa wawili chumbani huvaa kanga, je hiyo ndiyo ishara yenyewe? mbona nikienda kwa mchepuko tukiwa room huwa hata chu.pi havai kabisa?
 
Mi naamini hata huyo wako huwa anaomba ila labda wewe ndo mgumu kuelewa. Yaani hujui hata kusoma alama au ishara, poleee we!

haombi chochote, chumba tunacholala ni master bedroom. akienda kuoga bafuni wakati anavua gauni hujifunga kanga na akimaliza kuoga anavalia huko huko. tukiduu usiku anasisitiza taa ya chumbani izimwe. tukiduu mchana, hujitahidi sana kufunga mapazia ili kujenga mazingira ya giza. hii sio kabisa--uzuri wa mechi bhana ulione goli unalofunga, sio goli unaliwekea mazingira ya giza.
 
hapaswi kuambiwa,inabidi aombe mwenyewe inaonekana hajashikwa/kuguswa mahali anapoppataka siku akiguswa mwenyewe ataomba next time mwanaume unaomba mara za mwanzo mbeleni inakuwa ni fair game 50 kwa 50

mwambieni eti mkewe anavalia nguo bafuni na anapenda giza
it seems jamaa hajawahi kumkuna panapotakiwa kwa maana hatakumbuka hta kuzima hyo taa
 
we hujamsoma tu mwenzio hata sign zake, anaanzisha sana sema unampotezea
Kula Tano....tena zile wanazoita "high 5". Napata wakati mgumu kuamini kuwa huyo mwanamke mwenzangu anashindwa kabisa kuonyesha dalili? Sikatai kipaji cha kutamka si cha wote lakini hata matendo?! Kaka anatakiwa kufunguka macho ajue dalili za mwenza wake anapomhitaji. Asije kuwa amekremisha moves za eksi wake ndio anataka kuzi-apply kwa huyu wa sasa.
 
inaonekana haupo karibu na mkeo km walivyotangulia kusema

halafu kama humridhishi mkeo ataukuwa vp na hamu ya kukuomba au kuanzisha kama unavyosema mkuu??

Badilika ongea na mkeo wapi pana tatizo kwann yuko hivyo.nawe umueleze hiyo hali inavyookuumiza
 
haombi chochote, chumba tunacholala ni master bedroom. akienda kuoga bafuni wakati anavua gauni hujifunga kanga na akimaliza kuoga anavalia huko huko. tukiduu usiku anasisitiza taa ya chumbani izimwe. tukiduu mchana, hujitahidi sana kufunga mapazia ili kujenga mazingira ya giza. hii sio kabisa--uzuri wa mechi bhana ulione goli unalofunga, sio goli unaliwekea mazingira ya giza.


mmmmh! kwanii mkuu alilazimishwa kuolewa nawe au wewe ulilazimishwa kumuoa.mbona km unazidisha chumvi hapa mkuu
 
Back
Top Bottom