Ni kwanini kipindi cha Mfungo wa Ramadhani bei ya vyakula hupanda?

Ni kwanini kipindi cha Mfungo wa Ramadhani bei ya vyakula hupanda?

Sasa kwanini usiwashauri waislamu wenzako wasile sana usiku!?
Hakuna anayekula sana mkuu swala la kula ni binafsi kila mtu na kiwango chake cha msingi ni kuzingatia muda wa kufunga ambao ni alfajir mpaka magharibi huku ukizingatia na ibada nyingine kama kuswali na kujizuia na maovu mengine kama kusengenya na kadhalika
 
Nilitegemea kipindi cha mfungo wa Ramadhani kwasababu watu hufunga kula, basi bei za vyakula zingeshuka sana na hata wafanyabiashara kukosa biashara kabisa, lakini ndio kwanza vyakula havishikiki na bei zipo juu hata zaidi ya wakati wa kawaida.

Ndio kumaanisha wakati wa mfungo watu hula zaidi ya wakati usio wa mfungo? Basi kama kuna mtu ana maelezo mazuri ya kitaalam ya jambo hili tungefurahi akatuelimisha hapa.
kwasababu watu wanakula sana. huu ndio ukweli. kuanzia saa 12 jioni, matumbo yanapata shidaaa, miezi kadhaa kabla ya mfungo watu huwa wanatafuta pesa ya misosi kipindi cha mfungo kwa nguvu sana, akikosa pesa ya chakula aisee ni shida. sikebehi ila ndio ukweli.
 
Hakuna anayekula sana mkuu swala la kula ni binafsi kila mtu na kiwango chake cha msingi ni kuzingatia muda wa kufunga ambao ni alfajir mpaka magharibi huku ukizingatia na ibada nyingine kama kuswali na kujizuia na maovu mengine kama kusengenya na kadhalika
Ramadan kwanin mnakula sana
 
JUst look around your christian friends uone kama wanafunga? Huwezi kuheshimiwa kama mwenyewe hujiheshimu, kwaresma haiheshimiwi kwa sababu wakristo wenyewe hawaiheshimu na kuidharau huo ndio ukweli mchungu, ndio masna hata makampuni ya wasio wislamu yanaipa kipaumbele ramadhani na kuiheshimu duniani , hata wakristo wengi wanaiheshimu ramadhani , usibishe humu just look around halafu tafakari
Unapata shida kuwaelewesha wasiotaka kuelewa. Ni vizuri ukakaa kimya
 
Hakuna anayekula sana mkuu swala la kula ni binafsi kila mtu na kiwango chake cha msingi ni kuzingatia muda wa kufunga ambao ni alfajir mpaka magharibi huku ukizingatia na ibada nyingine kama kuswali na kujizuia na maovu mengine kama kusengenya na kadhalika
Kwanini Ramadan kitimoto inakosa soko
 
Back
Top Bottom