Ni kwanini kipindi cha Mfungo wa Ramadhani bei ya vyakula hupanda?

Nilitegemea kipindi cha mfungo wa Ramadhani kwasababu watu hufunga kula, basi bei za vyakula zingeshuka sana na hata wafanyabiashara kukosa biashara kabisa, lakini ndio kwanza vyakula havishikiki na bei zipo juu hata zaidi ya wakati wa kawaida.

Ndio kumaanisha wakati wa mfungo watu hula zaidi ya wakati usio wa mfungo? Basi kama kuna mtu ana maelezo mazuri ya kitaalam ya jambo hili tungefurahi akatuelimisha hapa.
waislam wanakula sana wakat wa mfungo kuliko hata wakat wa kawaida.
Mtu kwene kufuturu vyakula kama vyote
Na aamke tena usiku kula daku
Kwa siku moja unakuta mtu anakula ndoo nzima
 
1)Waislam hupungua uzito Ramadan?

2)jumla ya uzito wa chakula anachokula muislam kwenye ramadan ukilinganisha na miezi mingine. Upi uzito mkubwa?

Hayo maswali mawili yakijibiwa yanawezatoa mwanga katika swali lako
Mimi binafsi mwezi mpaka kuisha lazimanikate uzani kilo 2 mpaka 3

Mimi kama mfanya biashara upandaji wa baadhi ya viakula uletwa na wakulima na watu wanao zalisha ngano viwandani mfanya biashara au mlaji hana uwezo wa kupandisha bei pia mwezi huu chakula kinacho itwa futari uliwa na jamii zote za wabongo
 
Hao mbona wapo tele
Sio kwa ubaya Ila jamani ndugu zangu, sijawahi kuona mkurya muislamu nadhani hata huko Tarime hakuna miskiti.
Sijawahi kusikia Mohammed Chacha Mwita, Hasan Magesa au Jabir Wangwe.
 
Kwaivyo wewe ulitaka wasile kabisa ndo iwe wamefunga?
Unapunguza kula na kile chakula ulichopunguza kawape wenye uhitaji sio unajikusanyia cha asubuhi mchana unakuja kula jioni na usiku
 
Hawa jamaa hula mara 3 ya mlo wa siku za kawaida ndo maana vyakula huadimika
 
Utafiti
Nilitegemea kipindi cha mfungo wa Ramadhani kwasababu watu hufunga kula, basi bei za vyakula zingeshuka sana na hata wafanyabiashara kukosa biashara kabisa, lakini ndio kwanza vyakula havishikiki na bei zipo juu hata zaidi ya wakati wa kawaida.

Ndio kumaanisha wakati wa mfungo watu hula zaidi ya wakati usio wa mfungo? Basi kama kuna mtu ana maelezo mazuri ya kitaalam ya jambo hili tungefurahi akatuelimisha hapa.
Utafiti wako umefanya hata kwa wauza kitimoto?
 
Nilitegemea kipindi cha mfungo wa Ramadhani kwasababu watu hufunga kula, basi bei za vyakula zingeshuka sana na hata wafanyabiashara kukosa biashara kabisa, lakini ndio kwanza vyakula havishikiki na bei zipo juu hata zaidi ya wakati wa kawaida.

Ndio kumaanisha wakati wa mfungo watu hula zaidi ya wakati usio wa mfungo? Basi kama kuna mtu ana maelezo mazuri ya kitaalam ya jambo hili tungefurahi akatuelimisha hapa.
Ukweli ni kwamba waislam wanakula zaidi wakati wa Ramadan. Ndio maana hata Zanzibar,ambapo waislam ni zaidi ya 99% bei huwa zinapanda. Huu utetezi kwamba futari inaliwa pia na wasio waislam ni uwongo. Je wasio waislam wanapenda boat kwenda kula futari Zanzibar?
 
JUst look around your christian friends uone kama wanafunga? Huwezi kuheshimiwa kama mwenyewe hujiheshimu, kwaresma haiheshimiwi kwa sababu wakristo wenyewe hawaiheshimu na kuidharau huo ndio ukweli mchungu, ndio masna hata makampuni ya wasio wislamu yanaipa kipaumbele ramadhani na kuiheshimu duniani , hata wakristo wengi wanaiheshimu ramadhani , usibishe humu just look around halafu tafakari
Wewe utakuwa mfia dini, kwaresma ni wakati wa toba kuacha mambo yote maovu kufunga kula ni ziada tu.
Waislamu kwa unafiki mwezi wa Ramadan ukiisha tu ni kama mlikuwa likizo kufanya dhambi mnarudi kwa nguvu mpya.
Kuhusu kufunga waislamu mnabadilisha ratiba tu tena ndio mnaongeza kula kuliko hata siku za kawaida lazima vyakula vipande bei mahitaji yanakuwa makubwa
 
Mimi binafsi mwezi mpaka kuisha lazimanikate uzani kilo 2 mpaka 3

Mimi kama mfanya biashara upandaji wa baadhi ya viakula uletwa na wakulima na watu wanao zalisha ngano viwandani mfanya biashara au mlaji hana uwezo wa kupandisha bei pia mwezi huu chakula kinacho itwa futari uliwa na jamii zote za wabongo
Huko zanzibar 98% ni waislamu na vyakula vinapanda bei Ramadan
 
Wewe utakuwa mfia dini, kwaresma ni wakati wa toba kuacha mambo yote maovu kufunga kula ni ziada tu.
Waislamu kwa unafiki mwezi wa Ramadan ukiisha tu ni kama mlikuwa likizo kufanya dhambi mnarudi kwa nguvu mpya.
Kuhusu kufunga waislamu mnabadilisha ratiba tu tena ndio mnaongeza kula kuliko hata siku za kawaida lazima vyakula vipande bei mahitaji yanakuwa makubwa
Najua hapo ulipo upo kwa mshkaji unadowea futari halafu unawalaumu waislamu, sasa shida yako nini wewe si uwaache wafunge kwani kinakuuma nini wao wakila sana mkuu mbona kuna mambo mengi muhimu ya kufanya kwenye maisha yako kuliko kuchukia wenzako wakifunga ?
 
Ukweli ndio huo hamfungi mnabadilisha ratiba na mnakula kama mchwa kwenye ramadan
Halali vyakula vipande bei
No hard feeling
 
Sina haja ya kubishana na wewe kwa sababu hata hujui kwamba hiko chakula chako kisayansi kinatumika mchana na siyo usiku as usiku mwili haupo active, wakristo mmeshindwa kuiheshimu kwaresma mmebaki makasiriko tu,
 
Sasa kwanini usiwashauri waislamu wenzako wasile sana usiku!?
 
Back
Top Bottom