Ni kwanini Commando huwa ni jasusi mzuri kuliko yule mtu wa kawaida tu aliyepitia mafunzo ya Usalama wa Taifa?


Umeandika na Kunijibu Kiuweledi zaidi hadi nimefurahi Ndugu. Halafu kuna Madini fulani hapo umenipa. Ninapenda sana tu Werevu kama Wewe.
 
Umemaliza uzi ufungwe
 
Hongera mwenzetu usietishika, kachokoze utuletee mrejesho

Wengi Ushujaa Wao huwa ni wa hapa hapa tu katika Keyboards hizi na kwa Kutumia hizi Fake Identities ila Kiuhalisia ni Waoga mno wa Kuuwawa.
 
Hapa kidogo umewapa maana. Usalama wako vizuri zaidi mfano mzuri PSU (Presidential Security Unity) Hawa wana mafunzo Mengi zaidi ya Commando nikimaanisha wanapiga Course nzima ya Commando yaani ni full wing. Na wana High IQ. Katika Ulinzi wa Kijeshi na kutumia dhana zote za Kivita, Pia ni Special Force. Tofauti na Informer
 
Huyo ni mtu mmoja, huwezi kuwa afisa usalama kama sio komando, kwaiyo unazungumzia mtu mmoja katika kazi tofauti kama ffu na traffic police
Acha uongo wewe. Vijana wengi wa UVCCM tumewapeleka usalama na hao nao ni makomando????!
 

Umejitahidi sana Kuandika kwa Uzoefu wako, ila sijui kwanini umeshindwa kujua kuwa ukisema COMMANDO basi hao ndiyo SPECIAL FORCE pia.
 
Umejitahidi sana Kuandika kwa Uzoefu wako, ila sijui kwanini umeshindwa kujua kuwa ukisema COMMANDO basi hao ndiyo SPECIAL FORCE pia.
Namaanisha kwamba COMMANDO wa Jeshi, anaweza kupewa Oder Na anaweza kutumiwa na kazi za Usalama wa Taifa Katika kufanikisha Jambo lao isipo kuwa yeye sio Kwenye Kitengo chao na akafanya kazi yao Pasipo kujua. Maana hiyo ni taasisi kubwa.Mfano mzuri MI6 wa Uingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…