Ni kwanini Akili yangu inazitafsiri hivi Tawala ( Awamu ) zote za Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

.

Screenshot_20210523-124843.png
 
Usipowasifia akina Nyerere, Mkapa na Dkt. Magufuli huu Uchambuzi wako nitaudharau na kuutia Kapuni kwani hawa ndiyo Marais Bora.

Na nikiona pia unamsifia Kikwete ( ambaye Kwangu Mimi ndiyo Rais mbovu ) kuwahi kutokea nchini Tanzania nitakupuuza kunakotukuka.
Ila tuache utani, rais mbovu kuliko wote kwa zama zangu ni Magufuli. Nilimkataa tangu anaingia madarakani. Na niliwaambia ndugu zangu wataumia sana maana ndio waliokua kipaumbele kumpigia kampeni.

Mpaka anamaliza miaka mitano walikua wameshachakaa mpaka wananuka. Ukiwatajia jina la Magufuli walikua wanatamani wakupige....
 
2015 sitoisahau...ulichokiandika inaonyesha kabisaa upo kwenye system mpaka muda huu...na unakula keki ya taifa...na ndo mana unaongea kinachokufurahisha
 
Awamu ya Nyerere

Ya Kujenga Misingi na Maadili mema ya Kuwakomboa Watanzania kutoka kwa Wakoloni na Kuzalishwa Kizazi cha Watu Werevu sana.

Awamu ya Mwinyi

Ya Kuharibu Misingi yote iliyowekwa na kusababisha nchi kuanza Kuyumba Kiuchumi huku Rasilimali nyingi za nchi zikinyakuliwa na Wachache ambao waliiweka nchi Mfukoni.

Awamu ya Mkapa

Ya Kuiimarisha Tanzania Kiuchumi na Kielimu huku Taifa la Tanzania likisifika zaidi Kimataifa kwa kuwa na Serikali imara iliyojua kutatua Changamoto za Watanzania huku hata Thamani nzima ya Pesa ( Shilingi ) ikiwa imeimarika sana.

Awamu ya Kikwete

Ya Kuharibu kabisa Uchumi wa Tanzania, uliozalisha Wezi ( Majangili ) na Mafisadi wengu huku pia Serikali ikiwa ndiyo Kimbilio Kuu la Magenge ya Wauza dawa za Kulevya.

Pia ndiyo Awamu iliyozalisha Watanzania wengi ' Goigoi ' na hata ' Mashoga ' wengi waliibukia hapa hapa.

Na ndiyo Awamu ambayo ililemaza Akili za Watanzania wengi huku wakipenda Kupata Pesa kirahisi ( kwa Kupiga Dili ) na Kusababisha Watanzania wengi ( japo siyo wote ) kupenda zaidi Starehe na siyo Kufanya Kazi.

Lakini pia ndiyo Awamu iliyozalisha Chuki za ' Kidiplomasia ' hasa na Mataifa Jirani kama Malawi na Rwanda kiasi cha hata kutaka Kuigharimu nchi ( Tanzania ) kwani Nguvu ya Malawi na Rwanda Kijeshi na Kiusalama zinajulikana na Tanzania ndiyo ingeathirika zaidi.

Awamu ya Magufuli

Ya Kuimarisha zaidi Miundombinu ya nchi, Kurudisha Nidhamu iliyopotea katika Awamu mbovu na ya hovyo ya Rais Kikwete.

Pia ndiyo Awamu ambayo iliwafungua zaidi Akili Watanzania wengi kujua Thamani zao lakini pia kujua Kiwango kikubwa cha Utajiri Tanzania Iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu.

Na ndiyo Awamu ambayo ilijikita zaidi Kuimarisha na Kuboresha ' Kivitendo ' zaidi Ndoto ' Pevu ' za Awamu ya Kwanza.

Hivyo hivyo ndiyo ilikuwa Awamu Bora kabisa iliyoweza Kupambana vyema na Mafisadi na pia Kuwamaliza vyema tu Wahalifu nchini kama Majambazi na hata Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya.

Vile vile ndiyo Awamu iliyomfanya Mtanzania aweze Kujiamini popote pale, Kujitambua vyema na hata Hadhi ya Elimu nchini kuanza Kuimarika tena.

Na ndiyo Awamu ambayo haikupenda sana ' Kujikomba ' kwa Marafiki ' Wanafiki ' kama ' Wakenya ' ila ikahakikisha inarejesha Uhusiano mwema na Majirani zetu wa ' Kimkakati ' kama Malawi na hasa hasa Taifa ' lililobarikiwa ' zaidi na Mwenyezi Mungu Barani Afrika la Rwanda pamoja na mengineyo tofauti na Awamu mbovu ya Kikwete ambayo iliharibu na ingeigharimu zaidi Tanzania.

Awamu ya Samia

Hii nitawaomba nanyi pia muichambue.

Kuna kila dalili kwamba Awamu ya Samia itakuwa a mixed replay ya hopeless administrations za Mzee Rukhusa na Mzee wa Msoga!
 
Kama akili yako haiwezi kuona hilo alilolichambua kuwa ni sahihi kabisaa..bas wewe pia ni zao la serikali ya awamu ya nne..
Huo ni ukwel mtupu mana kila kitu kipo nje kinaonekana.
Tukubali kutokukubaliana, hatuwezi kulingana namna ya kufikiri
 
Huu uzi bila Takwimu ni Ujinga tu kama alivo mleta uzo
Kiashiria rahisi kuliko zote
Mwinyi alipaiza inflation rate hadi 56% mwaka 1994
Mkapa akaishusha hadi 20% awamu yake ya kwanza ya mwaka 2004 na baadaye aliporudi akaishusha hadi below 4% mwaka 2009
Kikwete alipokuja ilipanda karibia na 40% mwaka 2014
Magufuli akaishusha hadi arround 4% mwaka 2021

Inflation rate ndio kiashiria pekee ambayo inaonyesha faida au madhara ya uchumi kwa watu wa kawiada kwa sababu inaadhiri bei za vitu na vyakula kwa matumizi ya kila siku

Kwenye miundo mbinu Mkapa ndie aliyeasisi ujenzi wa miundo mbinu nchini na kuweka mifumo dhabiti ya kukusanya kodi na kubana matumizi ili pesa nyingi ziende kwenye usalishaji na huduma za jamii
Kitu ambacho Mwinyi alishindwa kabisa kukusanya kodi na pia Kikwete
Magu alikuja kurudisha huo utamaduni wa kukusanya kodi na kubana matumizi ya serikali ili pesa ziende zaidi kwenye kujenga uchumi kitu ambacho mwinyi na kikwete walishindwa kabisa

Mfano mmoja, kulikuwa na mkutano wa marasi nchini Martekani ezni ya Mwinyi kwa ajili ya kujadili naman ya kupunguza matumizi ya nishati yenye kuongeza hewa ya ukaa kwenye ozone layer
Wawakilishi wa nchi mbalimbali duniani matajiri ikiwemo Marekani yenyewe walikaa kwenye hoteli za kawaid na kwenda na wawakilishi wachache ila mzee wetu mwinyi kwanza alizoa watu wengi kwenye deligation na walilala kwenye hoteli za kifahari mpaka wamerekani wenyewe wakashikwa na butwaa
Tunajua kabisa Kikwete kafanya nini kwenye safari za nje na matumizi ya serikali ambayo ni makubwa kiasi cha kushindwa kutekeleza miradi mikubwa na huduma za jamii kama afya, maji nk. Ukusanyaji wa kodi hafifu na rushwa na matumizi mabaya ya rasilimali za umma.

Naomba Mungu hii isijirudie tena kwenye hii awamu na zitakazokuja baadaye maana tutarudi kwenye poor country na kusahau uchumi wa kati tulioingia tu majuzi

Tuache siasa Tanzania tunahitaji marais ambao ni strong kama Mkapa na Magu, hata Nyerere hakuwa Strong kama Mkapa na hasa Magu

Magu katuumiza wengi kwa maamuzi yake, hata mimi nimeumizwa sana sehemu fulani na maamuzi yake lakini UKWELI utabaki kuwa UKWELI

We need a strong president like Magu
 
Bila Takwimu huu uzi ni UJINGA kama UJINGA mwengineView attachment 1810220View attachment 1810221View attachment 1810222View attachment 1810223View attachment 1810224View attachment 1810225View attachment 1810226View attachment 1810227
Screenshot_20210421-150612.jpg
images.jpg
images%20(2).jpg
JamiiForums355102718.jpg
 
Kiashiria rahisi kuliko zote
Mwinyi alipaiza inflation rate hadi 56% mwaka 1994
Mkapa akaishusha hadi 20% awamu yake ya kwanza ya mwaka 2004 na baadaye aliporudi akaishusha hadi below 4% mwaka 2009
Kikwete alipokuja ilipanda karibia na 40% mwaka 2014
Magufuli akaishusha hadi arround 4% mwaka 2021

Inflation rate ndio kiashiria pekee ambayo inaonyesha faida au madhara ya uchumi kwa watu wa kawiada kwa sababu inaadhiri bei za vitu na vyakula kwa matumizi ya kila siku

Kwenye miundo mbinu Mkapa ndie aliyeasisi ujenzi wa miundo mbinu nchini na kuweka mifumo dhabiti ya kukusanya kodi na kubana matumizi ili pesa nyingi ziende kwenye usalishaji na huduma za jamii
Kitu ambacho Mwinyi alishindwa kabisa kukusanya kodi na pia Kikwete
Magu alikuja kurudisha huo utamaduni wa kukusanya kodi na kubana matumizi ya serikali ili pesa ziende zaidi kwenye kujenga uchumi kitu ambacho mwinyi na kikwete walishindwa kabisa

Mfano mmoja, kulikuwa na mkutano wa marasi nchini Martekani ezni ya Mwinyi kwa ajili ya kujadili naman ya kupunguza matumizi ya nishati yenye kuongeza hewa ya ukaa kwenye ozone layer
Wawakilishi wa nchi mbalimbali duniani matajiri ikiwemo Marekani yenyewe walikaa kwenye hoteli za kawaid na kwenda na wawakilishi wachache ila mzee wetu mwinyi kwanza alizoa watu wengi kwenye deligation na walilala kwenye hoteli za kifahari mpaka wamerekani wenyewe wakashikwa na butwaa
Tunajua kabisa Kikwete kafanya nini kwenye safari za nje na matumizi ya serikali ambayo ni makubwa kiasi cha kushindwa kutekeleza miradi mikubwa na huduma za jamii kama afya, maji nk. Ukusanyaji wa kodi hafifu na rushwa na matumizi mabaya ya rasilimali za umma.

Naomba Mungu hii isijirudie tena kwenye hii awamu na zitakazokuja baadaye maana tutarudi kwenye poor country na kusahau uchumi wa kati tulioingia tu majuzi

Tuache siasa Tanzania tunahitaji marais ambao ni strong kama Mkapa na Magu, hata Nyerere hakuwa Strong kama Mkapa na hasa Magu

Magu katuumiza wengi kwa maamuzi yake, hata mimi nimeumizwa sana sehemu fulani na maamuzi yake lakini UKWELI utabaki kuwa UKWELI

We need a strong president like Magu
Tunahitaji marais strong ambao hawapandishagi mishahara hawatoi ajira,hawaendelezi elimu
Rudi tena darasani ukakalili factors za nchi kuwa na maendeleoView attachment 1810232
images%20(1).jpg
 
Awamu ya Nyerere

Ya Kujenga Misingi na Maadili mema ya Kuwakomboa Watanzania kutoka kwa Wakoloni na Kuzalishwa Kizazi cha Watu Werevu sana.

Awamu ya Mwinyi

Ya Kuharibu Misingi yote iliyowekwa na kusababisha nchi kuanza Kuyumba Kiuchumi huku Rasilimali nyingi za nchi zikinyakuliwa na Wachache ambao waliiweka nchi Mfukoni.

Awamu ya Mkapa

Ya Kuiimarisha Tanzania Kiuchumi na Kielimu huku Taifa la Tanzania likisifika zaidi Kimataifa kwa kuwa na Serikali imara iliyojua kutatua Changamoto za Watanzania huku hata Thamani nzima ya Pesa ( Shilingi ) ikiwa imeimarika sana.

Awamu ya Kikwete

Ya Kuharibu kabisa Uchumi wa Tanzania, uliozalisha Wezi ( Majangili ) na Mafisadi wengu huku pia Serikali ikiwa ndiyo Kimbilio Kuu la Magenge ya Wauza dawa za Kulevya.

Pia ndiyo Awamu iliyozalisha Watanzania wengi ' Goigoi ' na hata ' Mashoga ' wengi waliibukia hapa hapa.

Na ndiyo Awamu ambayo ililemaza Akili za Watanzania wengi huku wakipenda Kupata Pesa kirahisi ( kwa Kupiga Dili ) na Kusababisha Watanzania wengi ( japo siyo wote ) kupenda zaidi Starehe na siyo Kufanya Kazi.

Lakini pia ndiyo Awamu iliyozalisha Chuki za ' Kidiplomasia ' hasa na Mataifa Jirani kama Malawi na Rwanda kiasi cha hata kutaka Kuigharimu nchi ( Tanzania ) kwani Nguvu ya Malawi na Rwanda Kijeshi na Kiusalama zinajulikana na Tanzania ndiyo ingeathirika zaidi.

Awamu ya Magufuli

Ya Kuimarisha zaidi Miundombinu ya nchi, Kurudisha Nidhamu iliyopotea katika Awamu mbovu na ya hovyo ya Rais Kikwete.

Pia ndiyo Awamu ambayo iliwafungua zaidi Akili Watanzania wengi kujua Thamani zao lakini pia kujua Kiwango kikubwa cha Utajiri Tanzania Iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu.

Na ndiyo Awamu ambayo ilijikita zaidi Kuimarisha na Kuboresha ' Kivitendo ' zaidi Ndoto ' Pevu ' za Awamu ya Kwanza.

Hivyo hivyo ndiyo ilikuwa Awamu Bora kabisa iliyoweza Kupambana vyema na Mafisadi na pia Kuwamaliza vyema tu Wahalifu nchini kama Majambazi na hata Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya.

Vile vile ndiyo Awamu iliyomfanya Mtanzania aweze Kujiamini popote pale, Kujitambua vyema na hata Hadhi ya Elimu nchini kuanza Kuimarika tena.

Na ndiyo Awamu ambayo haikupenda sana ' Kujikomba ' kwa Marafiki ' Wanafiki ' kama ' Wakenya ' ila ikahakikisha inarejesha Uhusiano mwema na Majirani zetu wa ' Kimkakati ' kama Malawi na hasa hasa Taifa ' lililobarikiwa ' zaidi na Mwenyezi Mungu Barani Afrika la Rwanda pamoja na mengineyo tofauti na Awamu mbovu ya Kikwete ambayo iliharibu na ingeigharimu zaidi Tanzania.

Awamu ya Samia

Hii nitawaomba nanyi pia muichambue.
MFUMO TULIONAO wa kisiasa ni uleule hata mkibadilisha sura za watawala.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Yaani kuna kakikundi humu mzee baba, ata uwafanyie nini wao watakwambia unajipendekeza upate teuzi
Sasa fikria hadi sasa tunaendelea kujipendekeza kwa marehemu Sijui nako watasema tunataka teuzi za kuongoza Malaika?
Nakumbuka kipindi Chuma yupo walimnanga sana P. Mayala eti anasaka teuzi
Hatari sana hawa waajemi,
Sisi MATAGA, tumerudi reverse kidogo tuwaachie nchi na yule wa aye muita MAMA Yao Sijui waongoze nchi kwa MAJUNGU ya mitandaoni tuone labda watatoboa

Mimi ni Team MAKE TANZANIA GREAT AGAIN yaan MATAGA, ila sio team MATALA, Kwa maana MAKE TANZANIA LEAST AGAIN

Sina muda na MAMA yenu,
 
Kwangu Mimi ndiyo ilikuwa Awamu bora baada ya Tatu ya Mkapa na ya Kwanza ya Nyerere.

He was so an outdated leader. Hata hivyo naheshimu hisia zako. Kwangu mimi alikuwa ni kiongozi muovu na dhalimu.
 
Kwakuwa umeona GENTAMYCINE anasomwa sana na Watu ( JF Members ) kwakuwa Yeye ni " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " ukaona ulete huu ' Upuuzi ' wako ndani ya Uzi wangu ili usomwe kwa haraka na uwafikie wengi hatimaye umepata ' Adhabu ' yako uliyoilazimisha Mwenyewe uipate kutokana na ' Upopoma ' wako uliokutukuka.
Ukishavuta bhangi za kikanda ya ziwa unakua popoma sana.Nashindwa niite hisia za mtu mlevi na popoma waliodanganywa na falsafa ya jiwe iliyowageuza wote mazombie.Acha ukanda pumbafu
 
PHASE I
... Nyerere's good intentions are failed by failure in economic policies!
PHASE II
... Nyerere, using an obedient Mwinyi, tries another economic model, though still pretending to lay blame for all bad consequences on Mwinyi!
PHASE III
... now using that bully, Mkapa, Nyerere tries yet another failing model and when it starts to malfunction he starts to blame ... but then God ...!
PHASE IV
... Kikwete does some mixing of II & III but no one wants to listen!
PHASE V
THE JOKER IN THE PACK! 🤡
PHASE VI
... na hilo nalo mkaliangalie vizuri! 😅
1622997446096.png

CONCLUSION: WANATUGEUZA KAMA CHAPATI! :eek:
 
Back
Top Bottom