Ni kwamba hanipendi namfosi au??

Ni kwamba hanipendi namfosi au??

maskini unatumika na hujui kama unatumika, ...kifupi we ni house girl wa huyo jamaa ila hujajua kutokana na mfumo alioutumia kukuleta hapo
 
Salaam wakuu, niende kwenye mada. wakuu hivi ikiwa mume(wandoa) ana tabia kama hizi maana yake huwa ni nini anajaribu kuwasilisha ujumbe gani. Mimi nina huyu mume wangu ambae hana wivu na mimi, yuko bize the whole week hana siku ya mapumziko kukaa nyumbani. He never go out with me, hata kazini kwake hajawahi kunipeleka. Nina maamuzi ya kufanya chochote, kwenda popote, na yeyote, mda wowote, sometimes ananiagiza mahali hata mda wa usiku.. He just doesn't care at all, na wala haulizi yani sio shida zake kabisa!! Nimeongea nae hadi nimechoka.
Wanawake wenzangu Kuna ambae unapitia haya na bado unavumilia? Umewezaje!? Na kwenu wanaume mwenza akifanya haya ana maana gani? Nahitaji ushauri wenu please.
Matumiz na mahitaji anatoa?
Km anatoa live ur life enjoy..life is short wewe
 
Wanaume sisi ni wepesi sana kumuamini mwanamke na kumpa uhuru. Sasa what matters ni unatumiaje uhuru wako, ningetegemea ungekuja hapa kumsifia mume wako amekupa uhuru umefanya biashara kadha wa kadha na sio kulalamika eti hakubani.

Outing hata ww unaweza mwambia nataka nikutoea out, ishawahi jaribu? Je alikataa? Au wewe ndio unasubiri akwambie tutoke out?
 
Matumiz na mahitaji anatoa?
Km anatoa live ur life enjoy..life is short
Ningeweza kumcheat labda ninge enjoy ila sasa najiona lonely, alaf naona tu kama natumika hanithamini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom