Ni kwamba hanipendi namfosi au??

Ni kwamba hanipendi namfosi au??

Aaah, nimetamani kuchangia lakini nikaona maneno yangu ni mazito sana.

Kwa kifupi pole sana bidada hayo ndio maisha ya ndoa.
 
Now thats a real man. He is the alpha that all men in tanzania should emulate.
 
Mpotezee au Cha muhimu fanya matukio ya kumfanya akuonee wivu km unapenda hivo
 
Tatizo limeanzia kwako itakuwa kuna siku alikuuliza kitu kuhusu na mwenendo wako ukaamua kumjibu vibaya wanaume wengine ni mr don't care hawajali kitu wao.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Hapa ulidai anakufuatilia kila unachofanya.

Thread hii mpya unadai hakufuatilii/hana wivu na wewe?

Ukweli ni upi?
 
Haoneshi dhahiri kuwa anajali. Ni hilo tego ambalo ameliweka na ni ananifatilia kwasiri hata nlipomuuliza alikataa kuwa hajaweka so sijatilia maanani sana kuhusu yeye kunifatilia kwanjia hizo.
Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Hapa ulidai anakufuatilia kila unachofanya.

Thread hii mpya unadai hakufuatilii/hana wivu na wewe?

Ukweli ni upi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom