Ni kitu gani wanaume hufuata kwa wanawake?

Walevi wana visa sana πŸ˜†

Hapo kashindwa kabisa kumfuata muhusika akiwa mzima
 
Aisee babe kulwa nilikumiss embu uje leo basi.πŸ˜€


Wanywaji wachache sana wanaweza sahau nyumbani.πŸ˜€

Wale wanaolala njiani si ndio huwa wanajua wamefika nyumbani?πŸ˜…

Nije muda gani?
 
True
 
Nilijua umeuliza swali unataka ujibiwe... kutokana na kichwa cha uzi.

Hata hivyo jibu nililoliandaa kichwani kabla ya kufungua uzi ni

Wanaume wanafata manyonyo kwa wanawake.

MK hata shoga anao.
Hiv huu uzi umeandikiwa?
 
Wale wanaolala njiani si ndio huwa wanajua wamefika nyumbani?πŸ˜…

Nije muda gani?
Hapana doctor Joanah wale wanakuwa wanapumzika kwa muda then waendelee na safari.πŸ˜‚

Uje saa tano babe kulwa.
 
Hivi we unajua lakini kinacho nikuta pindi nikiona comments zako we bibi?!!
Mi roho inauma sana ni kwanini nimechelewa kuzaliwa hadi nimeikosa hii fursa ila mungu anakuona !!

Aahahahahahahahaaaa Damas.....😘😘😘

Mabusu kedekede kwako yakupe jotojoto kupunguza kipupwe kilichotanda kanda za juu/chini; kusini/magharibi; mashariki/kaskazini.

Nakuona ujue.. πŸ˜….
 
Wanaume wanaotaka kuoa huwa hawapendi wanawake wanaowapa mawazo, ndio maana wengine hukaa muda mrefu kwenye mahusiano lakini unajifikiria bila sababu ya msingi anakuja kuoa mtu amekaa nae kwa miezi miwili.
Mwanaume anayekupenda na wafuture na wewe atakupenda na kukujali na kukuona special ila haya mapita njia yanachukua hii kauli ya mtu mwenye future hatokudhamini nakukusaidia ili akupime huo niuongo
 
Aahahahahahahahaaaa Damas.....😘😘😘

Mabusu kedekede kwako yakupe jotojoto kupunguza kipupwe kilichotanda kanda za juu/chini; kusini/magharibi; mashariki/kaskazini.

Nakuona ujue.. πŸ˜….
Doh umeona sasa mambo Moto Moto kama hayo nitayapata we tena kama sio kwako tu!!

I see you.πŸ˜‚.
 
Changamoto inakuja kuna wanawake mpaka ukishamuoa ndo anaanza kukuletea stress. Hapo mwanzo mtaishi kwa amani na hata ukimkera anakubali samahani yako
 
Niko mgonjwa...

Sina hamu ya kula kitu chochote zaidi ya uji wa moto....πŸ˜….

Vile u’mtaalam wa kukoroga uji.....πŸ˜‹.
Chinekee... sasa naanza rasmi kukusongea ugali. Liwalo na liwe
 
Kaka unadhani ni kitu gani watu huwa wanafuata kwenyeIST, Mwanamke lazma awe na tabia ya kueleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…