AhsanteView attachment 1043777
Nawashauri dada zangu wasoma vitabu wa humu JF wasome hiki kitabu...nina soft copy kwa yeyote atakaetaka nitamtumia.
Baada ya kukirudia sana hicho kitabu kwa kukisoma,na una sema kama ukifanyiwa mtihani unaweza ukapata alama 100% kuhusu hicho kitabu,Mimi ni hiki "Think and Grow Rich"- By Napoleon Hill na How to influence people and win friends-DALE CARNEGIE
View attachment 1043757
View attachment 1043762
Ni vitabu ambavyo navikubali sana sana na haipiti mwezi lazima nivisome tena japo cha kwanza nilikimaliza mwaka 2016 na cha pili mwaka 2018.
Hivi ni vitabu ambavyo naweza fanyia mtihani na nikapata alama 100%.Navijua line kwa line,page kwa page,chapter kwa chapter na neno kwa neno.
Pamoja na kuvijua hivyo bado huwa navisoma mara kwa mara na sichoki kuvisoma
Kwangu ndio vitabu bora zaidi kuwahi kusoma
Karibuni
Kama umeamua kuchagia uzi jibu swali lililoulizwa na sio kutaka kujua maisha ya mtu.Kama unataka kujua hayo uliyouliza anzisha uzi na uliza jinsi maisha ya watu yalivyobadilika kwa kusoma vitabu.Watakujibu.Hapa sio mahala pakeBaada ya kukirudia sana hicho kitabu kwa kukisoma,na una sema kama ukifanyiwa mtihani unaweza ukapata alama 100% kuhusu hicho kitabu,
Je kimekubadilisha nini kwenye maisha yako? umefaidikaje kwa kusoma hicho kitabu? nadhani wengi wangetamani kujua hilo,
Nawasilisha.
Kama huna uwezo wa kujibu mada uliyoianzisha wewe mwenyewe basi siku nyingine jaribu kuheshimu wachangiaji,sina haja wala sijakuuliza maisha yako,soma uelewe kuliko kukurupuka hovyo kama chafya,siku nyingine haya matapishi bora uwe unawaandikia wakwenu huko ili mjadili nyumbani kwenu,jf ni an open forums,usilete ujinga hapa wa kujibu hovyo watu.Kama umeamua kuchagia uzi jibu swali lililoulizwa na sio kutaka kujua maisha ya mtu.Kama unataka kujua hayo uliyouliza anzisha uzi na uliza jinsi maisha ya watu yalivyobadilika kwa kusoma vitabu.Watakujibu.Hapa sio mahala pake
Baki na swali lako la kipuuzi.Ungeuliza kwenye mada ningekujibu ila umetoka kwenye mada.Hili sikujibu hapa labda uanzishe thread yako then nitajibu.Kama unahitaji majibu nje ya uzi huu njoo PrivatelyKama huna uwezo wa kujibu mada uliyoianzisha wewe mwenyewe basi siku nyingine jaribu kuheshimu wachangiaji,sina haja wala sijakuuliza maisha yako,soma uelewe kuliko kukurupuka hovyo kama chafya,siku nyingine haya matapishi bora uwe unawaandikia wakwenu huko ili mjadili nyumbani kwenu,jf ni an open forums,usilete ujinga hapa wa kujibu hovyo watu.
The best book everMimi ni hiki "Think and Grow Rich"- By Napoleon Hill na How to influence people and win friends-DALE CARNEGIE
View attachment 1043757
View attachment 1043762
Ni vitabu ambavyo navikubali sana sana na haipiti mwezi lazima nivisome tena japo cha kwanza nilikimaliza mwaka 2016 na cha pili mwaka 2018.
Hivi ni vitabu ambavyo naweza fanyia mtihani na nikapata alama 100%.Navijua line kwa line,page kwa page,chapter kwa chapter na neno kwa neno.
Pamoja na kuvijua hivyo bado huwa navisoma mara kwa mara na sichoki kuvisoma
Kwangu ndio vitabu bora zaidi kuwahi kusoma
Karibuni
asantee..naomba unitumieView attachment 1043777
Nawashauri dada zangu wasoma vitabu wa humu JF wasome hiki kitabu...nina soft copy kwa yeyote atakaetaka nitamtumia.
asantee..naomba unitumie
Hakuna swali la kipuuzi duniani bali hua kuna jibu la kipuuzi,jitafakari acha kuendelea kujiaibisha hapa,inaonekana uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo sana,sina haja ya kuja pm,nije ili iweje? unakimbilia kuanzisha thd wakati huna uwezo wa kuiendesha!Baki na swali lako la kipuuzi.Ungeuliza kwenye mada ningekujibu ila umetoka kwenye mada.Hili sikujibu hapa labda uanzishe thread yako then nitajibu.Kama unahitaji majibu nje ya uzi huu njoo Privately
Sina haja ya kubishana na wewe.Na hii ni reply ya mwisho kukujibuHakuna swali la kipuuzi duniani bali hua kuna jibu la kipuuzi,jitafakari acha kuendelea kujiaibisha hapa,inaonekana uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo sana,sina haja ya kuja pm,nije ili iweje? unakimbilia kuanzisha thd wakati huna uwezo wa kuiendesha!
Jitafakari ili siku nyingine usipende kuvamia watu kwa hoja za kitoto na majibu ya hovyo,think big.Sina haja ya kubishana na wewe.Na hii ni reply ya mwisho kukujibu