Ni kawaida kwa msichana kujisikia hamu?

Ni kawaida kwa msichana kujisikia hamu?

Hiyo hali ni kweli kabisa huwa inatokea na kama hujitambui vizuri unaweza ukatembea hata na house boy,maana inakuwa ni hatari sana.

Hatarii Lisa unabanwa mpaka unamkumbuka house boy
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa wachunguzi nyie... mnaelekea kujua yasiowahusu jmn tena ya mama zenu... watoto mnatabu nyiee...
 
Nina uhakika wa 100% + wale toka kilimanjaro hii kitu hawana kabisa.siku zote hamu ni ya kutafuta helaa


wewe huwa hamu yetu ni ya hela siku zoote but after mp tu tunaisikia hamu aisee japo ukipata dili ya hela unajikuta hamu ilepita nakutokomea kamam mwanga
 
Hilo demu hata mi huwa najishangaa hasa sisi wanaume,tunaweza kuita wanawake mademu lakini ni wachache wanaoweza kuwaita wake zao mademu ana kwa ana
 
Back
Top Bottom