Ni kawaida kwa msichana kujisikia hamu?

Ni kawaida kwa msichana kujisikia hamu?

Mh hizi lugha hizi. Mimi nilijua demu ni kiingereza "DAME" ikimaanisha mwanamke.
 
Ni kawaida lakini si wote wako hivyo.


 
Last edited by a moderator:
Hiyo hali ni kweli kabisa huwa inatokea na kama hujitambui vizuri unaweza ukatembea hata na house boy,maana inakuwa ni hatari sana.
 
Naunga mkono hoja, nimechunguza wangu kwa makini nimegundua anakuwa na mood ya chezo akiwa just before and after period...


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom