Sipendi mtu anaetumia neno demu
yaani kama ni boyfriend wangu niite ila nisikae nikusikie
Hata me sipendi mtu uniite demu
nikimsikia ananiita hivyo naweza mzaba hata kibao
Sababu..??? Natamani kukuita kimoyomoyoHata me sipendi mtu uniite demu
nikimsikia ananiita hivyo naweza mzaba hata kibao
Demu wangu niaje? Pungúza unoko bana.
Neno demu ni madame maana yake..ilamadame ni oysterbay na masaki..dame tunatumia huku kwetu uswazi mtoni kijichi..so nenda nalo tu..Sipendi mtu anaetumia neno demu
yaani kama ni boyfriend wangu niite ila nisikae nikusikie
Sababu..??? Natamani kukuita kimoyomoyo
Je ni hamu inayoweza kuvumilika kama mwenzio kasafiri?
Au kunaugumu lazima utendewe kwa wakati huohuo!
Acha zako we demu.
SHABHAAASSSH! haya maneno kama yalivyo nimewahi kuambiwa kwa ukali sana by my wife wangu! i think kuna sensitivity fulani on this!Sipendi mtu anaetumia neno demu
yaani kama ni boyfriend wangu niite ila nisikae nikusikie
Hata mimi niko hivyo
Acha mikwara ww,kwan mm mume wa frola mbasha?...by the way nmesikia jamaa akijitetea nkamwona hana akili kbs.
Acha zako we demu.