gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,623
Asprin mchepuko we njia kuu.....
Heeeeeee:banghead::banghead::banghead::beer::beer:🙄
Asprin mchepuko we njia kuu.....
muwe mnatupa jaman na mungu awasaidie ktk hili
demu wangu hawashwi kabisa, sijui nimpake upu.pu?
Heeeeeee:banghead::banghead::banghead::beer::beer:🙄
kumbe inawachosha
Huu utafiti umeufanyia wapi?
ahahahahaaa rafiki ni balaaa yani hiyo haifichiki sema huwa tunajikaza kibishiiiii
Daah Jf kwa michepuko! yaani mmeshaacha barabara kuu..tafadhali utendeeni haki uzi wa mwenzenu kwa kujibu swali la msingi..kama hupendi kuitwa demu anzisha uzi wako.
Hahahahaaa!! Natamani nikuite nione balaa lako maana huo mkwara huo!!!
Neno "demu" wabongo walilikokotoa kutokana na neno la kifaransa "Madame/Madam (inatamkwa "Madem" ambalo inatumika kwa mwanamke anayeheshimiwa tu"...iweje wewe unakataa kuitwa demu? Tupe sababu tuelewe.
Nipo karibu hapa kwa kukupa marks
ni kweli loohhaki ya nani unaeza UKABAKA
mzima mie sijui wewe!