Ni kawaida kwa msichana kujisikia hamu?

Ni kawaida kwa msichana kujisikia hamu?

Neno "demu" wabongo walilikokotoa kutokana na neno la kifaransa "Madame/Madam (inatamkwa "Madem" ambalo inatumika kwa mwanamke anayeheshimiwa tu"...iweje wewe unakataa kuitwa demu? Tupe sababu tuelewe.

Sio jina la kifaransa, madame ni jina lenye hadhi apewayo kiongozi wa ngazi ya juu kwenye serikali ya uingereza, labda kama waziri mkuu wa kike au hata spika wa bunge.
 
Wanasema the continuation of a species is as instnctive as prepertuation of it.....yaani hicho ni kipindi ambacho ovulation inatokea so mwanamke anajisikia hizo instincts ambazo zitamfanya afanye mapenzi na sperms zitaingia kufanya fertilization na atatokea mtoto which is the continuation of specis.Nadhani tumeelewa wakuu.
 
Ni kawaida kwa msichana kujisikia hali ya muwashawasha au hamu ya kufanya mapenzi mara pale tu atokapo kwenye siku zake tena wengine nasikia hadi zile siku mbili au moja ya mwisho kabla hajamaliza.

Bado sijapata sababu za kitaalam kwanini hali hiyo huwatokea, sijajua ni kwa vile ile pad inawatekenya au ni matokeo tu ya hormones. Hapo labda waje hapa watueleze ili tujuwe kwa faida ya wana MMU.

Lengo la kuandika uzi huu ni kujuzana sisi wanaume na kupeana ukweli huu wa kimausiano akikisha unampa mke/mpenzi chake amalizapo siku zake.

Nawasilisha

Nikawaida kwa mwanamke/msichana alie katika hali ya kawaida kabisa(afya&fikra n.k) kupata au kuwa nahamu ya kufanya tendo la ndoa kwa baadhi ya siku katika siku za mzunguko wake na kutegemea sana mfumo wa mzunguko wake hivo sio lazima iwe kabla au baada ya kuvuja damu(uchafu). Hali hii hutokea kipinda ambapo yai limepevuka na linahitaji kurutubishwa ndio kipindi sasa mshawasha unapochochea na kipindi hicho akifanya tendo hilo pasipo kondom kuna uwezekano wa 95% kupata ujauzito. Kwa lugha rahisi unaweza kusema ni kipndi ambacho mwanamke anakuwa katika heat.
 
uzi umewagusa sasa wanachepuka badala ya kuweka mambo hadharani ili wasaidiwe....acha mchepuko....!
 
house boy kumbe uwa wanajinoma

We acha tu, ma houseboy wana siri nzito juu ya madem zenu, wao ndo wanao uwezo wa kutoa huduma hiyo inapotokea emergency. Sometimes wanagonga kwenye mageto ya house boys, ucku wa manane wsnaulizia fagio la ndani, oh mara naomba unifanye dk 5 tu. Ki ujumla mahouse boy wanaoshindwa kufanya hv wanaogopa kifukuzwa kaz lkn km kichwa kibovu, anapiga mother na binti.
 
Ushauri nnaoutoa kwa wanaume wenzangu kuhusu hili ni timing. Nivizuri kumtime dem wako kipindi ambacho mwili wake unahitahi, lkn km dem anakuhitaj kpnd flan af ww unampiga kalenda hadi siku ambayo yeye hana hamu, ataona haumsaidii hata km unamaujanja kiac gani 6×6 na akikutana na mtu akawa anamtime atamuona anamfaa hata km co mzuri sana 6×6.
Dem anapo kuhitaji usimpige kalenda na ukawa unamtafuta unapotingwa wewe tu.
 
Je na bikra ambae hajaujua utamu wa nyama anapata hio hisia....!?
 
Sio jina la kifaransa, madame ni jina lenye hadhi apewayo kiongozi wa ngazi ya juu kwenye serikali ya uingereza, labda kama waziri mkuu wa kike au hata spika wa bunge.

Acheni kuongopeana chukua dictionary ama click " dame" maana yake demu hii ya Kiswahili msichana wa kuhangaika nae haina heshima yeyote
 
[h=2]dame[/h] (dām)n.1. Used formerly as a courtesy title for a woman in authority or a mistress of a household.
2. a. A married woman; a matron.
b. An elderly woman.

3. Often Offensive Slang A woman.
4. Chiefly British a. A woman holding a nonhereditary title conferred by a sovereign in recognition of personal merit or service to the country.
b. The wife or widow of a knight.
c. Used as the title for such a woman.
 
Neno "demu" wabongo walilikokotoa kutokana na neno la kifaransa "Madame/Madam (inatamkwa "Madem" ambalo inatumika kwa mwanamke anayeheshimiwa tu"...iweje wewe unakataa kuitwa demu? Tupe sababu tuelewe.

'Dame' is an English word. A title equivakent to Sir used in the knight.
 
Back
Top Bottom