Ni kawaida kwa msichana kujisikia hamu?

Ni kawaida kwa msichana kujisikia hamu?

Kwa kuwa tendo hili ni la uumbaji ndiyo maana mwanamke anakuwa na hamu ya kukutana na mwanaume ili kurahisisha uumbaji.

Angalia hata wanyama wakiwa ktk heat period kama hakuna dume wa kumtuliza kiu yake anaweza akavunja banda kwenda kutuliza kiu yake
 
Ushauri nnaoutoa kwa wanaume wenzangu kuhusu hili ni timing. Nivizuri kumtime dem wako kipindi ambacho mwili wake unahitahi, lkn km dem anakuhitaj kpnd flan af ww unampiga kalenda hadi siku ambayo yeye hana hamu, ataona haumsaidii hata km unamaujanja kiac gani 6×6 na akikutana na mtu akawa anamtime atamuona anamfaa hata km co mzuri sana 6×6.
Dem anapo kuhitaji usimpige kalenda na ukawa unamtafuta unapotingwa wewe tu.

Naunga mkono hoja...
 
Neno "demu" wabongo walilikokotoa kutokana na neno la kifaransa "Madame/Madam (inatamkwa "Madem" ambalo inatumika kwa mwanamke anayeheshimiwa tu"...iweje wewe unakataa kuitwa demu? Tupe sababu tuelewe.
Kiswahili fasaha '' Demu'' ni tambara kuu kuu ambalo hutumiwa na wadada /wamama kujifunga sehemu ya kifua au kiunoni pindi wanapokuwa wanafanya kazi za shambani.
 
🙈🙈🙈🙈🙈🙈🏃
 
Jamani hebu tuache kuwapa majina mabaya wanawake, mfano sket, chupi, Sidiria, vicheche, milupo, hadi tunadiriki kuwaita majina ya viungo vyao! Lkn wanawake ni viumbe wavumilivu sana, tunatukana tusi la kiungo cha mwanamke mbele yao, lkn wananyamaza kimya. Akivaa vibaya ndo atakiona cha mtema kuni wengine wanaweza hata kumvua nguo hadharani. Mbona wao tukikosea hawasemi kitu, tusitumie udhaivu wao kuwanyanyasa, ila tuwaelekeze kwa upendo na upole. Na hivi ndo vitu wanawake wa kitanzania walipaswa kuviweka sawa ili aonekane nae ni mtu kuliko kugombea nafasi 50/50 za bure bungeni. Wanaume wajanja sana, kila mtachohitaji tutawapa, lkn angalieni vitu vya msingi, ukisha pewa hadhi ya utu hayo mengine yanakuja yenyewe. Unaweza ukawa kiongoz lkn ukahujumiwa au wasikusikilize kisa tu wanakuona demu ukaishia kutumia nguvu na silaha. Tuifanye jamii imkubali mwanamke na kumheshimu na wapo vizuri tu hata usipo wawezesha, they just need our support.
 
Ni kawaida kwa msichana kujisikia hali ya muwashawasha au hamu ya kufanya mapenzi mara pale tu atokapo kwenye siku zake tena wengine nasikia hadi zile siku mbili au moja ya mwisho kabla hajamaliza.

Bado sijapata sababu za kitaalam kwanini hali hiyo huwatokea, sijajua ni kwa vile ile pad inawatekenya au ni matokeo tu ya hormones. Hapo labda waje hapa watueleze ili tujuwe kwa faida ya wana MMU.

Lengo la kuandika uzi huu ni kujuzana sisi wanaume na kupeana ukweli huu wa kimausiano akikisha unampa mke/mpenzi chake amalizapo siku zake.

Nawasilisha

Nina uhakika wa 100% + wale toka kilimanjaro hii kitu hawana kabisa.siku zote hamu ni ya kutafuta helaa

Akyamungu???
 
Sipendi mtu anaetumia neno demu

yaani kama ni boyfriend wangu niite ila nisikae nikusikie

Tafuta tafsiri ya neno dame utaelewa kwamba siyo tusi bali ni maelezo ya mahusiano baina ya me na ke. Neno hilo hutumika sana na wajapani kama sijakosea.

Ukweli uko hivi: Ukubali ukatae wewe ni demu tu so hata usipolisikia hilo neno tambua ww ni demu unless unataka kufanya transgender surgery ili uwe kidume
 
Sku ambazo mwanamke lazima apate auto nyege ni za kipndi cha ovulation yaan day14 na 15,sku nyingne mpaka anyegeshwe
 
Sipendi mtu anaetumia neno demu

yaani kama ni boyfriend wangu niite ila nisikae nikusikie
Tatizo lenu mnatafsiri demu ni "dam" kumbe ni "dame"... hili neno halina tatizo lolote, tena si kila mwanamke ana hadhi ya kuitwa dame/demu! Hata pronounciation yake dame is close to demu wakati dam not that close!
 
ushauri nnaoutoa kwa wanaume wenzangu kuhusu hili ni timing. Nivizuri kumtime dem wako kipindi ambacho mwili wake unahitahi, lkn km dem anakuhitaj kpnd flan af ww unampiga kalenda hadi siku ambayo yeye hana hamu, ataona haumsaidii hata km unamaujanja kiac gani 6×6 na akikutana na mtu akawa anamtime atamuona anamfaa hata km co mzuri sana 6×6.
Dem anapo kuhitaji usimpige kalenda na ukawa unamtafuta unapotingwa wewe tu.

ni kweli kabisa!
 
Tatizo lenu mnatafsiri demu ni "dam" kumbe ni "dame"... hili neno halina tatizo lolote, tena si kila mwanamke ana hadhi ya kuitwa dame/demu! Hata pronounciation yake dame is close to demu wakati dam not that close!

Thank you for the clarification
 
Tafuta tafsiri ya neno dame utaelewa kwamba siyo tusi bali ni maelezo ya mahusiano baina ya me na ke. Neno hilo hutumika sana na wajapani kama sijakosea.

Ukweli uko hivi: Ukubali ukatae wewe ni demu tu so hata usipolisikia hilo neno tambua ww ni demu unless unataka kufanya transgender surgery ili uwe kidume

hata kama lina maana gani sipendi mtu ani adress hivyoo
 
ukitaka kujua faida yake inakufaidia nini au itakupunguzia nini
kwani wanawake nao hawakuumbwa kuhitaji mliumbwa nyie midume tu kuhitaji?

kuwa na maneno ya busara ndugu si kila kitu utake kujua kwani haitakusaidia chochote
Nimekutana nayo kwa demu mara kadhaa akiniambia hivyo nimeona sio mbaya tukashea hapa
Na mademu wajf wadhibitishe hali hiyo kwa faida ya wote
 
nini tafsiri ya neno DEMU kwa kiswahili cha kifasaha?

Back
Top Bottom