Ni kawaida kwa msichana kujisikia hamu?

Ni kawaida kwa msichana kujisikia hamu?

kwa msichana au mwanawake sisi ni wazee aisee mmetufarakanisha kwelikweli

jjamani hebu badilisheni lugha hiyo

Hata mm huwa na sijawahi kutumia hilo neno tangu nilivojua maana yake....

Ni udhalilishaji..
 
ni kweli udhalilishaji mkubwa mkuu yaani acha sisi wanawake isijui tunafananishwa na nini jamani
kila majina mabaya ni yetu sijui kwanini wanatufanya hivi aisee inakera sana
Hata mm huwa na sijawahi kutumia hilo neno tangu nilivojua maana yake....

Ni udhalilishaji..
 
ni kweli udhalilishaji mkubwa mkuu yaani acha sisi wanawake isijui tunafananishwa na nini jamani
kila majina mabaya ni yetu sijui kwanini wanatufanya hivi aisee inakera sana

All in all we love guys, bila uwepo wenu maisha yanakuwa magumu kupindukia.
 
Hamu kubwa kwa mwke Ni wkt Wa kutaka kushika mimba it's natural dem anakua ana nyege Na hamu sana Kumbe yai linataka kupokea aisee.wakat au baada ya hedhi c kweli labda muasho tu Wa ngozi ambao dem anahtaji tu msuguano Wa mboooo kurekebsha Hali
 
nini tafsiri ya neno DEMU kwa kiswahili cha kifasaha?
GENERALLY, katika Kiswahili cha mtaa, demu inamwakilisha msichana ama mwanamke wa makamo na katu, katika matumizi yake haiwakilishi kashfa ya aina yoyote dhidi ya mwanamke/msichana! Kutokana na hilo, ndio maana, mara zote, neno demu huwa linafuatiwa na ama sifa fulani au kiwakilishi cha aina nyingine lakini haisimami peke yake kuwakilisha sifa fulani! Kwa mfano, ikiwa mwanamke/msichana ni malaya, mtu atasema " yule demu malaya ile mbaya....!" hapo inaonessha wazi kwamba demu haiwakilisha sifa ya aina yoyote ama iwe mbaya au mzuri na badala yake inawakilisha msichana/mwanamke... na ndio maana senetensi hiyo hiyo kwa lugha fasaha mtu angesema "yule mwanamke/msichana malaya ile mbaya....!" mifano mingine ni kv, "yule demu/msichana anaimba vizuri....", Yule demu/msichana mkorofi ile mbaya....!', yule demu/msichana ni bomba ile mbaya....!" Yule demu/msichana class anajiweza ile mbaya....!" mifano ipo mingi, na kila sentensi utakyoumba, itatoa dhana ile ile kwamba, demu kwenye kiswahili cha mtaani haiwakilishi sifa ya mwanamke/msichana bali inamwakilisha msichana/mwanamke mwenyewe... yaani nomino!

Kinyume chake, tuangalie maneno ama majina ambayo moja kwa moja yanawakilisha sifa ya mwanamke; moja ya maneno hayo ni changu! Kama utaanza na neno demu, na kwavile demu haiwakilishi sifa, mtu atasema "yule demu changu ile mbaya...!" lakini hawezi kusema "yule changu ni malaya ile mbaya" kv tayari changu imeshawakilisha sifa (mbaya) ya umalaya ya mwanamke/msichana husika!

Kwa upande mwingine. demu inawakilisha mpenzi kwa maana halisi ya mpenzi! Kwa mfano, ladyfurahia ni demu wangu! XYZ ni demu wa mshikaji. Hapa napo, hakuna kashifa yoyote inayotumika hata katika matumizi yake! Katika hili, unaweza ukatofautisa hata baadhi ya sentensi, hususani kwa kulinganisha na zile zinazotumia maneno yanayowakilisha sifa fulani... mathalani lile neno changu! Kwa mfano, unaweza kusema XYZ ni mpenzi wa mshikaji sema dah, changu ile mbaya... lakini huwezi kusema kwamba XYZ ni mpenzi wa mshikaji sema dah, demu ile mbaya... ( kwa tafsiri yoyote ya demu mnayodhani kwamba ni kashifa)
BIGURUBE anasema kwamba neno demu(dame) tasfiri yake ni mwanamke mzee... ni kweli lakini anasahau kwamba maneno mengi ya lugha mbali mbali yana maana zaidi ya moja; jambo la msingi ni kuangalia muktadha wa matumizi wa neno husika! Katika Kiswahili cha mtaa, neno demu halimaanishi mwanamke mzee na ndio maana hata BIGURUBE nikimwambia anipe mfano wa sentensi moja tu inayotumia neno demu kuwakilisha mwanamke mzee, hawezi kuweka hiyo sentensi hapa kwa kuwa sivyo inavyotumika!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom