Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,636
- 44,391
Wapi huko?
Sina hamu naww...loh!
Wapi huko?
Sina hamu naww...loh!
Kwa nini mpenzi
Sipendi mtu anaetumia neno demu
yaani kama ni boyfriend wangu niite ila nisikae nikusikie
Nina uhakika wa 100% + wale toka kilimanjaro hii kitu hawana kabisa.siku zote hamu ni ya kutafuta helaa
Aspirin nae si wako
Asprin mchepuko we njia kuu.....
Sitak nmejitoa
Acha mikwara ww,kwan mm mume wa frola mbasha?...by the way nmesikia jamaa akijitetea nkamwona hana akili kbs.
Usifanye hivyo jaman ntakufa mimi
huwa kunakua na hamu ya ajabu hapo............
Hehhe some few days after perion pia kuna 'ovulation' aka siku hatareeee....ila hapa ndo genye zinazidi maradufuuu...sasa kama kinga hupendi na withdrawal haisomi lazma uconceive...
Nina uhakika wa 100% + wale toka kilimanjaro hii kitu hawana kabisa.siku zote hamu ni ya kutafuta helaa
Nmemwachia babu
Yes there u a
Before, after n during ovulation
Uwiiiiiiii ni hatari yaani unatamani mtu arudi haraka job
Huu utafiti umeufanyia wapi?
Sipendi mtu anaetumia neno demu
yaani kama ni boyfriend wangu niite ila nisikae nikusikie
Demu wangu niaje? Pungúza unoko bana.
Wengine mnatafuta kuufosariwa tu halafu nilaumiwe
Umalaya sio hamu