Naomba msaada, Windows 10 inajizima kila baada ya dakika kadhaa

inspectorbenja

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
223
250
Wanajamvi,laptop yangu nimeinstal window 10 tangu muda tu.Ila ilipojiupdate tu,ikawa inakaa kama dk 5 au 10 inajishutdown.Ndo inafanya hivyo muda wote.

Nimejaribu kutafuta solution online mfano kufanya setting kwenye power option, kuset PCI n.k Hadi nimeenda kwenye comand promt na kuandika andika kama wanavuoelekeza onlineLakini wapi. Ubaya ni kiwa nikitaka kuinstal window upya inashindikana maaana inajizimazima.

Naombeni msaada wajameni.
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
910
1,000
Mmh mkuu mbona hii inaonekana kma ni hardware issue. Kwani inajizima ukiwa kwenye bios
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
910
1,000
Ishu ni window iliyopata uodate.Shida ni apo.Nikiweka upya window maana inakuwa haina update yoyote haisumbui,inakuwa poa tu.
Inajizima hata ukiwa unataka kuinstall windows? Au ukiwa kwenye bios? Kma haijizimi huko ndo utakua na uhakika ni swala la hardware au software
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,734
2,000
Wanajamvi,laptop yangu nimeinstal window 10 tangu muda tu.Ila ilipojiupdate tu,ikawa inakaa kama dk 5 au 10 inajishutdown.Ndo inafanya hivyo muda wote.Nimejaribu kutafuta solution online mfano kufanya setting kwenye power option,kuset PCI n.k Hadi nimeenda kwenye comand promt na kuandika andika kama wanavuoelekeza onlineLakini wapi.Ubaya ni kiwa nikitaka kuinstal window upya inashindikana maaana inajizimazima .
Naombeni msaada wajameni.
Jaribu kupause update kwa siku 7 bado inajizima?
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
31,238

Mkuu samahani nina swali kuhusu PCIe za intel motherboard:

1.Je,PCIe ni zile sehemu ambazo huwa tunachomeka CPU,GPU,RAM na SSD?

2.Je motherboard ni lazima iwe na PCIe ndogondogo pamoja na PCIe ya x16 au kuna ambazo zina ndogondogo tu kama vile x2 au x4 basi?

3.Motherboard za high ended kama vile Z400 huwa zina PCIe kubwa peke yake ya x16 au inakuwa na hizi ndogo pia achilia mbali versions kubwa?

4.Mfano mtu akisema kuwa motherboard ya Z390 ina PCIe yenye lanes 24 anakuwa anamaanisha nini?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,734
2,000
Mkuu samahani nina swali kuhusu PCIe za intel motherboard:

1.Je,PCIe ni zile sehemu ambazo huwa tunachomeka CPU,GPU,RAM na SSD?
Cpu inachomekwa kwenye socket, gpu inachomekwa kwenye Pcie, ssd zipo zinazochomekwa kwenye Sata, m.2 ama pcie, na ram ina slot yake tofauti.

Ram za Gpu zina speed kushinda vitu vyote hapo ukitoa cpu, hivyo PCIe ina speed kushinda Sata, slot za ram na m2
2.Je motherboard ni lazima iwe na PCIe ndogondogo pamoja na PCIe ya x16 au kuna ambazo zina ndogondogo tu kama vile x2 au x4 basi?
Kama INA pcie ndogo tu pengine ni ya kizamani sana miaka zaidi ya 10 iliopita, kwa ufahamu wangu motherboard zote mpya zina pciex16.
3.Motherboard za high ended kama vile Z400 huwa zina PCIe kubwa peke yake ya x16 au inakuwa na hizi ndogo pia achilia mbali versions kubwa?
Zina pcie zote, sema hizi mobo kubwa zimezibwa zibwa hazipo open, mfano kwenye specs wamelist mobo ina wifi 6 ya intel, ina maana tayari kuna pcie ndogo ila kwa Macho huioni mpaka ufungue sehemu fulani.
4.Mfano mtu akisema kuwa motherboard ya Z390 ina PCIe yenye lanes 24 anakuwa anamaanisha nini?
Lane ndio hizo njia za pcie, mfano unaposema pciex16 ina maana ni pcie yenye njia 16, hii inakuwa reserved kwa ajili ya GPU Sababu I nahitaji bandwidth kubwa zaidi, zilizobakia ndio network, storage etc zinatumia. Hizo lane zinawasiliana moja kwa moja na Cpu.

Kwa mobo za kawaida zinakuwa na lane kama hivi, ila ukitaka kuelewa zaidi Angalia motherboard za Wachimba cryptocurrency, Sababu wa natumia sana Gpu unakuta motherboard zao zina lanes nyingi zaidi, ama Angalia pro motherboard kama X299 pia utakuta zina lanes hadi 40.
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
31,238
2,000
Cpu inachomekwa kwenye socket, gpu inachomekwa kwenye Pcie, ssd zipo zinazochomekwa kwenye Sata, m.2 ama pcie, na ram ina slot yake tofauti.

Ram za Gpu zina speed kushinda vitu vyote hapo ukitoa cpu, hivyo PCIe ina speed kushinda Sata, slot za ram na m2

Kama INA pcie ndogo tu pengine ni ya kizamani sana miaka zaidi ya 10 iliopita, kwa ufahamu wangu motherboard zote mpya zina pciex16.

Zina pcie zote, sema hizi mobo kubwa zimezibwa zibwa hazipo open, mfano kwenye specs wamelist mobo ina wifi 6 ya intel, ina maana tayari kuna pcie ndogo ila kwa Macho huioni mpaka ufungue sehemu fulani.

Lane ndio hizo njia za pcie, mfano unaposema pciex16 ina maana ni pcie yenye njia 16, hii inakuwa reserved kwa ajili ya GPU Sababu I nahitaji bandwidth kubwa zaidi, zilizobakia ndio network, storage etc zinatumia. Hizo lane zinawasiliana moja kwa moja na Cpu.

Kwa mobo za kawaida zinakuwa na lane kama hivi, ila ukitaka kuelewa zaidi Angalia motherboard za Wachimba cryptocurrency, Sababu wa natumia sana Gpu unakuta motherboard zao zina lanes nyingi zaidi, ama Angalia pro motherboard kama X299 pia utakuta zina lanes hadi 40.
Shukrani kaka:

1.Sasa mkuu kama RAM ina slot yake,CPU inachomekwa kwenye socket na SDD inachomekwa kwenye sata,ni vitu gani specifically huwa vinachomekwa kwenye PCIe achilia mbali GPU?

2.Mkuu kama PCIe ya x16 maana yake ina lane 16 hii maana yeke ni kwamba motherboard yenye lane 40 maana yake hizi 16 zipo mbili ambapo ni sawa sawa na 32 halafu zile ndogondogo zipo kama X8 hivi ili kupata 40?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,734
2,000
Shukrani kaka:

1.Sasa mkuu kama RAM ina slot yake,CPU inachomekwa kwenye socket na SDD inachomekwa kwenye sata,ni vitu gani specifically huwa vinachomekwa kwenye PCIe achilia mbali GPU?
SSD zipo nyingi sio sata tu, nvme ssd zinakaa kwenye PCIe, pia adapter za network.
2.Mkuu kama PCIe ya x16 maana yake ina lane 16 hii maana yeke ni kwamba motherboard yenye lane 40 maana yake hizi 16 zipo mbili ambapo ni sawa sawa na 32 halafu zile ndogondogo zipo kama X8 hivi ili kupata 40?
Ndio na pc inaweza inaweza kuwa na pciex16 hata nne japo ina lane 24 ama chache zaidi, hapo I Namaanisha bandwidth inakuwa shared kwenye hizo pciex
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom