Umasikini hauumizi tu mfuko, mara nyingi hujaribu kuvunja heshima, kuharibu mahusiano na kufichua tabia halisi za ndugu, marafiki na jamaa. Kisa cha mzee kuwekewa sharti la kuuza gari lenye thamani ya zaidi ya milioni 12 kwa milioni 3 il apate mkopo wa milioni 1.5 kinaonesha wazi jinsi watu wanavyoweza kutumia udhaifu wako kiuchumi kama fursa ya kujinufaisha, shida zako ni furaha kwao.Mzee alimkopa rafiki yake 1.5m atairejesha mwsho wa mwezi unaofuata. Yule rafiki yake akamwambia hela anayo ila sharti ni moja amuuzie gari kwa tsh 3m ili apate hela ya kutulipia ada, gari yenye thamani ya 12m+.
Mzee akapata mteja akauza 9.5m yule rafiki yake alivyojua na ukaribu ukapungua na urafiki ukafa jumla.
Ilinipa fundisho kubwa sana the same thing ilinitokea, nilikuwa na kipengele cha kodi na nliekuwa namuona rafiki kwangu atakaenisaidia ndio alikuwa mstari wa mbele kunibagaza vibaya mno. Nilimuomba aniazime 80K tu nijazie kodi ntampa ndani ya siku 4 zijazo. Aliniambia nakupa ila kwa riba kila siku 20K vinginevyo niuzie kitanda chako. Nilichoka
Hakika mkuu na hii ipo sana kuna wengi tu nimeshuhudia wakilazimika kuuza mali zao kwa hasara. Unapopata matatizo ndio watu huonesha rangi zao halisi.Umasikini hauumizi tu mfuko, mara nyingi hujaribu kuvunja heshima, kuharibu mahusiano na kufichua tabia halisi za ndugu, marafiki na jamaa. Kisa cha mzee kuwekewa sharti la kuuza gari lenye thamani ya zaidi ya milioni 12 kwa milioni 3 il apate mkopo wa milioni 1.5 kinaonesha wazi jinsi watu wanavyoweza kutumia udhaifu wako kiuchumi kama fursa ya kujinufaisha, shida zako ni furaha kwao.
We Mbaga utaacha lini hizi comedies zako😅Mzee wangu aliniambia nichague kati ya
1: Nimlimpe mwanamke ili aniambukize kisonono, au
2: Niwe mpiga nyeto kama yeye.
Guess what guys 😎
Kukopwa mazao na kulipwa baadae tena kwa bei ndogo.