School face
JF-Expert Member
- Sep 12, 2019
- 247
- 406
Binafsi nakereka vile jibaba na ndevu zake linasema levels baby
Mimi hua wananiudhi wakisema tujiunge na dodoma hivi kuna haja gani ya kufanya vile? Badilikeni tbc mnatukosesha uzalendo habari zote ni kusifia tu miradi ifike mahali hudumieni jamii kuna mambo mengi tu yanayoweza kuwa inspire wanachi hamyatangazi mnakalia mara sijui kuweka jiwe la msingi dispensary tusifanyiane hivyo MazeeeeKERO YANGU TBC NI TAARIFA YA HABARI DAKIKA TANO MMESHAMALIZA.RADIO YA KANISA INATANGAZA HABARI NYINGI ZILIZOTAFITIWA KWA DAKIKA KUMI NINYI MNASHINDWA NINI.NDIO MAANA RAISI AKITUKANA WATU NAMKUBALI.HATA MAFANIKIO HAMTANGAZI? WALE WEZI WA PESA ZA UMMA JE WANA NAFASI TENA AWAMU HII?
Hapo naona povu linakutoka. Mada nzuri unashindwa kuitetea. Anyway we all humans..Mimi naanza na hawa Clouds Media Group
Clouds FM mnazingua sana kwa jinsi mnavyoi promo hiyo show ya fiesta mnakera sana tangazo kila baada ya dakika nne.
Hakuna cha maana mnazungumza ni fiesta tu. Yaani radio yenu haina maana yoyote ni issues za fiesta muda wote. Mnaboa sana.
Njia pekee ya kuvutia watu kwenye tamasha sio kuharibu vipindi vyenu ni kuwork smart tu. na watangazaji walivyo wavivu nao kila dakika wanazungumzia hiyo show as if ni sherehe ya kitaifa.
Lazima mtambue kuwa sio wote wanaosikiliza hiyo radio wanayo access ya kufika kwenye hilo tamasha hasa sisi wa mikoani.
Mfano mimi huku rombo hilo tangazo la fiesta na hayo maelezo ya fiesta ni non sense hayana faida yoyote kwangu zaidi ni kero tu. Mimi ninachokihitaji ni taarifa. nahitaji information.
Pili:
View attachment 1280875
Radio one (IPP MEDIA) na studio yao ina muonekano wa ovyo sana. studio haina mvuto kabisa. Bi Joyce kama mkuu wa superbrand mnapaswa kuboresha hii studio iwe na muonekano wa kisasa ili muweze kustream online kisasa.
Atleast iwe kama ya Wasafi Katika Radio zenye on air studio kali Tanzania, probably wasafi fm ni namba moja Tanzania.
What future hold for radio?
Modern society is image-obsessed, so radio can maintain its individuality by not following suit.
From the very beginning, the advantage of radio has been its ability to boost the imagination via the content being broadcast.
Adding images to its content could make it lose its charm and scar the future identity of radio itself.
Dah balaa Mzee baba halafu mpo kwenye daladala huchelewi kusikia akimwaga mboga mwaga ugaliUnakuta binti mdogo na wala hajaolewa eti anaelezea changamoto za ndoa na mahusiano....
Uko sahihi kwa mtazamo wako,ni kama Mimi clouds au wasafi hua sifuatilii hata kidogo, tunatofautiana ni kawaida hatuwezi penda vitu sawaMbona ni nyingi tuu wewe tuu unapenda nini mbona mimi siijui Radio ya TBC sijui huwa inaitwa je wala TV yake na hutakaa unisikie nikilalamika TIBISII wala nini naboeka tuu ukienda kwenye huduma za jamii ndio shida ila wala kwangu ni mwiko kabisa hata kama wanaonyesha mpira wa kiwango cha HD siiwashi ng'ooo
Kuna redio mbeya inaitwa dream FM wana kipindi cha michezo eti Massa matatu yaani kama kweli wangekuwa serious hata nusu saa hawamalizi muda mwingi ni ujinga mtupu eti kuna wachambuzi wa mpira yani wana upeo mdogo vibaya sana jambo moja kila mchambuzi anaongea nusu saa wako kama wanne kujitia kuingiza maneno ya kiingereza wakati hawakijui kabisa,lahaja zao mbaya yaani ni takataka tupu
TBC je?????
Mizaha mingi mpaka kipindi kinaboa.
Mimi nasikiliza radio za rwanda online. Wako vizuri sana
Wana mada gani huko?
Teh teh teh teh...muziki TU.
ndo uwa nasikiliza.wakianza kuongea lugha yao. Nahamisha chanel.
Vicheko vya hovyo hovyo
Watangazaji kuongea ongea kiingereza wakati hata kiingereza chenyewe hawajui. Utasikia as if kama, mara still bado yaani hovyo kabisa