Asilimia kubwa ya maudhui ya vipindi vya redio nchini ni burudani na matangazo ya biashara

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,444
8,296
Hi great Thinkers.

Kwa utafiti wangu mdogo FM Radios za Tanzania zimejikita katika blabla kama ifuatavyo;

1. 40% ni matangazo ya biashara
2.30% ni habari za michezo
3. 20% ni Burudani.
4. 10% habari na elimu mbalimbali

Ndiyo maana kuwa Radio presenter Tanzania ni kazi rahisi kuliko kazi zote.

Usitegemee Taifa kuwa na watu wanaojielewa. Kutwa watu wanajadili Simba na Yanga.
 
wanatangaza kwa ajili ya wasikilizaji wao soko linataka hicho ndio maana wana matangazo mengi.
Lakini kumbuka radio zote za binafsi lengo lao ni matangazo ukitaka elimu na habari sikiliza TBC Ndio inajiendesha kwa kodi za wananchi

ila hizi nyingine ni biashara kama ilivyo biashara nyingine na nilazima wafanye au watengeneze content zinazouzika sokoni
 
Back
Top Bottom