Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,973
- 4,081
Mkuu Chief -mkwawa:Kama ulivyojibiwa juu Xiaomi ni kampuni mama ina sub brand zake Redmi, Poco, Mijia etc.
Redmi ni simu za budget ndogo, Na Xiaomi kama 14 ni flagship, bei za hizo flagship ni kubwa most of time ni zaidi ya milioni na zinaweza fika milioni 3 hadi 4.
Kwa budget hadi 800k kama hujali kuagizishia online Unapata Redmi Turbo 3, ambayo ndio simu bora zaidi kwa hio budget.
Naomba msaada wa kuelimishwa,
Simu za Redme na Xiaomi naona kuna maneno haya sielewi nini maana yake
Pro, Note na Series, ina maana gani na tofauti nikiona neno kwenye simu hizo?