Nauza school bags kwa Bei ya Tabasamu (Mwanza)

Nauza school bags kwa Bei ya Tabasamu (Mwanza)

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
883
Habari wakuu ninauza school bags nzuri za watoto katika kipindi hiki cha kukuandaa na shule bei zetu ni nafuu na mabegi ni mazuri na imara. Kuna size kubwa na ndogo na bei ni moja haijalishi size utakayochagua

Bei kwa reja reja ni sh 30,000 tu

Jumla sh 25,000 kuanzia PC 5

WhatsApp me 0763772636
Tunapatikana Nyegezi Mwanza

Kwa DSM utapata kwa 0719884746

Karibuni sana.


IMG-20201222-WA0001.jpeg
IMG_20201222_072431_613.jpeg
IMG-20201221-WA0013.jpeg
IMG20201221152038.jpeg
Screenshot_2020-12-19-14-43-34-03.jpeg
 
Sidhanani kama wasukuma wanatumiaga haya mabegi. Jitahidi uwatafutie ngozi za Ng'ombe
 
Ni imara manake nimechoka kununua mabegi kila wakati,nitakutafuta
 
Ni imara Kaka zip zake Ni double na Ni zile Nene material Ni water proof maji hayaingii ndan hususan kipindi hiki Cha mvua
Ni imara manake nimechoka kununua mabegi kila wakati,nitakutafuta
 
Karibuni zimebaki size kubwa size ndogo zimekwisha
 
Izi size za watoto wa chekechea 15,000 tu jumla kuanzia 5 rejareja 17,000
IMG_20201223_174921_246.jpeg
 
Zipo kwa watoto wadogo Bei ya Tabasamu 15,000 tu zipo Dsm 0719884746
IMG_20201223_174753_205.jpeg
 
Karibu sana feedback ya mteja wetu haya madogo yapo kwa 17,000 tu
IMG-20201223-WA0034.jpeg
 
Back
Top Bottom