Nimekasilishwa saana na huyu ndugu yangu ambae ni binamu yangu, ameamua kumpa jina mwanae ESCROW... tuligombana saana leo asubuh kwani kumpa jina hilo ni sawa na kumrithisha laana zote, kiumbe hiki kisicho na hatia majina ya ajabu.
Napenda kuwapa rai na wengine wenye mawazo kama haya ya kuwapa majina watoto ya ajabu ajabu... aghrrr
Wewe ndo mshamba..unahusisha vipi Escrow na laana? Escrow ni internal bank account inayofunguliwa kukiwa na mabishano.....
Ningekuwa wewe ningekasirika kama huyo mzazi angemuita mtotowake Lugemalila