Ni halali kumwita mtoto alie zaliwa ESCROW?

sumbai

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
18,430
41,615
Wakuu salamu zenu!

Nimekasilishwa saana na huyu ndugu yangu ambae ni binamu yangu, ameamua kumpa jina mwanae ESCROW... tuligombana saana leo asubuh kwani kumpa jina hilo ni sawa na kumrithisha laana zote, kiumbe hiki kisicho na hatia majina ya ajabu.

Napenda kuwapa rai na wengine wenye mawazo kama haya ya kuwapa majina watoto ya ajabu ajabu... aghrrr

Wadada wenye tabia hizi acheni kuish kwa upepo
 
Escrow maana yake Amana, je kwali kwa hiyo tulikatae na hili la Amana?
 
Wewe ndo mshamba..unahusisha vipi Escrow na laana? Escrow ni internal bank account inayofunguliwa kukiwa na mabishano.....
Ningekuwa wewe ningekasirika kama huyo mzazi angemuita mtotowake Lugemalila
 
Jina zuri sana. Hata mimi ningepata mtoto leo ningemuita escrow

Pamoja ya kuwa ni zuri lakin pia unatakiwa uangalie kwamba lina reflect kitu gani? Wakati gani? Context iliyosababisha umwite hivo!!!
 
Majina yenyewe ndo hayahaya tuu.... mizengo Linda Mara chenge Mara muhongo Mara kafurira Mara simbachawene n.k
 
Back
Top Bottom