FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,874
- 46,979
- Thread starter
- #201
Huu sio ustaarabu
Hahaa itakuwa haumtakii mema wewe ... Aise watamlipua waleSiku ukiwaona wamefunga barabara wanafanya ibada, simama uwaeleza haya.
Utasomewa alalbadir ujue "! ;!ahahaaa.....kumbe unasemea palee wale wajamaa ni shidaaa..muda ule ukifika kabarabara kanafungwa hadi wamalize mambo yao
Hivi kuna logic gani watu kuwa na haki ya kufunga barabara za umma zilizopigwa lami kwa kodi za umma ili kufanya shughuli binafsi za ibada? Kwani viwanja si vinauzwa...
Kwanini mtumie barabara muhimu na kuzifunga? Kama nyumba yenu ya ibada haitoshi, basi changishaneni pesa mumnunue jirani yenu ili mtanue eneo lenu...
Mbona wengine huenda kuanzisha nyumba za ibada kwenye mapori, na eventually miji hudevelop kuwafuata kutokana na huduma za kijamii zinazotolewa sambamba na huduma kiimani? Hebu tubadilike bwana.
Acha upumbavu na udini wewe shughuli ngapi zinafanywa na wakristo sehemu za Public watu wanavumiliana umeona ya waiskamu tu shenzi typeMimi naona kuna haja ya kuwa na utaratibu unaoeleweka na wote katika jamii. Kila mtu akijiamulia kufanya mambo kwa kisingizio cha dini, sherehe au msiba itakuja leta shida kubwa baadae. Tukumbuke nchi yetu ina dini na mila tofauti.
sasa ukienda Zenji si ndio utashangaa!!?maana mpaka Shein mwenyewe anashiriki kufunga barabara!hata mimi kwa upande mwingine siliafiki hili suala.
Kwanini wasiazime hata viwanja vya shule au vya mipira??mimi pia nakerekwa sana na hili!!
Sasa kama kodi tumelipa wote kwa nini wanafunga peke yao?kwani hizo barabara zinafungwa kila siku?mimi najua inakuwaga ijumaa au swala ya idd na swala haifiki dk 10 ishaisha,na suala la kusema barabara imejengwa kwa kodi ya wananchi isifungwe hata hao waliofunga pia niwalipa hiyo kodi sio km umelipa peke yako.
Kuna siku mgalatia akafurahishwa na chochote atakachofanya muislamu?sasa ukienda Zenji si ndio utashangaa!!?maana mpaka Shein mwenyewe anashiriki kufunga barabara!hata mimi kwa upande mwingine siliafiki hili suala.
Kwanini wasiazime hata viwanja vya shule au vya mipira??mimi pia nakerekwa sana na hili!!
Na ww funga basi kwani kuna MTU kakukataza nchi huru kila mtu anahaki ya kuabudu km kaenda msikitini kakuta kumejaa anaswalia hata nje mbona misikiti ya mtaani Barabara hazifungwi sababu maeneo makubwa hawafungi barabara kwa kupenda tu kusumbua watu.Sasa kama kodi tumelipa wote kwa nini wanafunga peke yao?
Dar mitaa ya Indira gandi, kuna hekali[sitaji la dini gani] wanafunga mitaa, na kuleta uumbufu, sijui kama kila mtu akijiamulia tutaweza ishi kweliwapi huko mmefungiwa mkuu?
wafunge tu, tujifunze kuvumiliana.![]()
Je, ni sahihi kwa waislamu kufunga barabara kisa wanaswali?
Hii sio mara moja ni kama desturi tu kwa waislamu kufunga barabara mitaani kila ijumaa wanaposwali. Haswa mitaa ya kariakoo ilala na magomeni. Hii sio haki kabisa ukizingatia watu wanatumia barabara hizo katika safari zao. Hii inasababisha watu kulazimika kutumia route nyingine za mbali kisa...www.jamiiforums.com
Wanunue viwanja vya kufanya ibada zao, barabara za umma zimelipiwa kodi na kila mtu, sio uwanja binafsi wa ibada huowafunge tu, tujifunze kuvumiliana.
Hii inakera sanaHivi kuna logic gani watu kuwa na haki ya kufunga barabara za umma zilizopigwa lami kwa kodi za umma ili kufanya shughuli binafsi za ibada? Kwani viwanja si vinauzwa...
Kwanini mtumie barabara muhimu na kuzifunga? Kama nyumba yenu ya ibada haitoshi, basi changishaneni pesa mumnunue jirani yenu ili mtanue eneo lenu...
Mbona wengine huenda kuanzisha nyumba za ibada kwenye mapori, na eventually miji hudevelop kuwafuata kutokana na huduma za kijamii zinazotolewa sambamba na huduma kiimani? Hebu tubadilike bwana.
Kuna wale wafuasi wa 'mnyazimungu' wanaofuata mafunzo uchwala ya marehem mudi huwa wanafunga Barabara ya saba kila fraidey Pale DodomHivi kuna logic gani watu kuwa na haki ya kufunga barabara za umma zilizopigwa lami kwa kodi za umma ili kufanya shughuli binafsi za ibada? Kwani viwanja si vinauzwa...
Kwanini mtumie barabara muhimu na kuzifunga? Kama nyumba yenu ya ibada haitoshi, basi changishaneni pesa mumnunue jirani yenu ili mtanue eneo lenu...
Mbona wengine huenda kuanzisha nyumba za ibada kwenye mapori, na eventually miji hudevelop kuwafuata kutokana na huduma za kijamii zinazotolewa sambamba na huduma kiimani? Hebu tubadilike bwana.
Watafute eneo rasmi la ibadaKuna wale wafuasi wa 'mnyazimungu' wanaofuata mafunzo uchwala ya marehem mudi huwa wanafunga Barabara ya saba kila fraidey Pale Dodom