K/koo ndio wenye tabia hiyo yakufunga Barabara kwa ajili ya kufturu washenzi Sana hao slam wangefturu misikitini ndani sio kutupa kero sisi mbona sisi wakristo tukifunga tunafturu ndani
K/koo ndio wenye tabia hiyo yakufunga Barabara kwa ajili ya kufturu washenzi Sana hao slam wangefturu misikitini ndani sio kutupa kero sisi mbona sisi wakristo tukifunga tunafturu ndani
Yeah, you are right, barabara za juu TAZARA na UBUNGO zinashughulikiwaMsijali mheshimiwa aliahidi atajenga barabara za juu nadhani hili litawekwa kwenye ilani ya chama cha *** then awamu ya tano watalishughulikia ahsante sana...je una jingine leta mezani ya sera
wako mtiiifu **** katika ujenzi wa nchi
Serikali ikifanya ibada ya kumuapisha Rais viongozi wa dini zote huitwa, hiyo sio ibada binafsiKumbe kuna ibada binafsi na ambazo sio binafsi?
Uwe mvumilivu.Ibada sio kila siku.Licha ya ibada pia kuna misiba.Hivi kuna logic gani watu kuwa na haki ya kufunga barabara za umma zilizopigwa lami kwa kodi za umma ili kufanya shughuli binafsi za ibada? Kwani viwanja si vinauzwa...
Kwanini mtumie barabara muhimu na kuzifunga? Kama nyumba yenu ya ibada haitoshi, basi changishaneni pesa mumnunue jirani yenu ili mtanue eneo lenu...
Mbona wengine huenda kuanzisha nyumba za ibada kwenye mapori, na eventually miji hudevelop kuwafuata kutokana na huduma za kijamii zinazotolewa sambamba na huduma kiimani? Hebu tubadilike bwana.
By that you mean allowing unnecessary nonsensical nuissance from a group of people?WE MUST HAVE RELIGIOUS TOLERANCE
Kuna mengi ya kufanya katika imani zetu zaidi ya hilo. Nadhani kama ukiwa na imani thabit si dhani kama hilo litakusumbua. Kuna mabasi ambayo wahubiri wa kikrsto huwa wanapanda kuhubiri. Si wote huwa wanapenda ila ni uvumilivu.By that you mean allowing unnecessary nonsensical nuissance from a group of people?
Kwani hayo ni mabasi yanayomilikiwa na umma?Kuna mengi ya kufanya katika imani zetu zaidi ya hilo. Nadhani kama ukiwa na imani thabit si dhani kama hilo litakusumbua. Kuna mabasi ambayo wahubiri wa kikrsto huwa wanapanda kuhubiri. Si wote huwa wanapenda ila ni uvumilivu.
Kwani hawatoi taarifa za kufunga barabara in advanceMtaa wa Lindi kko watu wanafunga barabara za umma hovyo hovyo kwa ajili ya futari binafsi
Binafsi sikupewa hiyo taarifa, nimeshtukia tu magari yamekwamaKwani hawatoi taarifa za kufunga barabara in advance