Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

BANDO~UKOKO ROSTAM

"kamdis shishi na wengne wenye k**ma nini../
una pigo fulan za kike kike wee una k**ma nini../
suna mm chuma mm kuna nini una umwa nini na ulimdish mpaka niki mbish bro unakunwa nini...?
mwambie huyo boya apunguzee ushambega../
wakazi amekosa kazi mpe ata kazi ya kutenga.../
 
BANDO~ TIKITAKA ROSTAM

yaan KUMAnisha we braza ni boya../
halaf maji mara moja kama maharage ya soya...

ama gemu limekushinda unatafuta kiki.../
sa si ni bora uongeze makalio u dange na gigy..

wee mjinga mpaka noma fata yako.../
kumbe hujui kusoma halaf mwalim mKUU MAma yako...!

leo hakuna jinsi wala kadeti.../
na c unajua dawa ya msitu ni gilet..
na kwakua dawa ya tanasha ni chibu...
basi dawa yako me ntakutibu taraaaaatibu....

dis to stereo
 
Duuuu hii ngoma ya nani mzee baba,yaitwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikki mbishi kashindwa kuijibu futi 6. Aisee ajitahidi apige chafya otherwise tutamfukia mazima
 
Kafanya vizuri kutokuijibu.

Mimi sio mshabiki wa wote kati yao na wote nimewasikiliza tangu mda tu.P anachora sana,anajua kuelezea kitu inform ya story line ila hakuwahi kupata airtime hapo nyuma mpaka ikafika kipindi mwanae Zaiid akahit kuliko yeye na akawa kama dancer wake kwenye majukwaa.
Ukiangalia track ya Mawenge inapigwa sana na kapata kujulikana sababu hiyo,hapo kabla hakua na umaarufu huu wakuitwa kwenye interviews,airtime ya kutosha hivi.

Kigame amemkuta Nikki mbishi,Mbishi ni star kuliko yeye.Mawenge hajulikani,hana lakuongelewa kwahiyo Mbishi akimjibu track yake haitopata airtime yakutosha na waty hawatoielewa sana sababu anamchana mtu ambae watu hawamjui tofauti nayeye anajulikana kwa diss track zake za nyuma,kuzinguana na kila mtu na tabia zingine ambazo P kamchana.
Pia atamchana nini,ana ngoma yake ya mwaka 2018 'maneno ya mashabiki' ambayo ameelezea mambo mengi tu kuhusu yeye na mashabiki kitu ambacho ni kama alijichana yeye mwenyewe hapo kabla.

Angalia pia impact aliyopata Mbishi,interviews zakutosha pia,anazungumziwa.
Katoa punch kadhaa hivi kama track na wanene ila imekua kali hadi kapata support na wasanii wenzake wakubwa tu tena hata ambao alikua ana beef nao!
 
Umesema sio mshabiki wa wote! Waswahili mnajuana kwa vilemba
 
Wew km hummjui P The Mcee n bora ukavunga tu.

Ngoma kali ijibiwe, hakuna kutafuta visingizio et sjui jamaa hafahamiki. Uo n usolo

Futi 6 n goma banaa
Kafanya vizuri kutokuijibu.

Mimi sio mshabiki wa wote kati yao na wote nimewasikiliza tangu mda tu.P anachora sana,anajua kuelezea kitu inform ya story line ila hakuwahi kupata airtime hapo nyuma mpaka ikafika kipindi mwanae Zaiid akahit kuliko yeye na akawa kama dancer wake kwenye majukwaa.
Ukiangalia track ya Mawenge inapigwa sana na kapata kujulikana sababu hiyo,hapo kabla hakua na umaarufu huu wakuitwa kwenye interviews,airtime ya kutosha hivi.

Kigame amemkuta Nikki mbishi,Mbishi ni star kuliko yeye.Mawenge hajulikani,hana lakuongelewa kwahiyo Mbishi akimjibu track yake haitopata airtime yakutosha na waty hawatoielewa sana sababu anamchana mtu ambae watu hawamjui tofauti nayeye anajulikana kwa diss track zake za nyuma,kuzinguana na kila mtu na tabia zingine ambazo P kamchana.
Pia atamchana nini,ana ngoma yake ya mwaka 2018 'maneno ya mashabiki' ambayo ameelezea mambo mengi tu kuhusu yeye na mashabiki kitu ambacho ni kama alijichana yeye mwenyewe hapo kabla.

Angalia pia impact aliyopata Mbishi,interviews zakutosha pia,anazungumziwa.
Katoa punch kadhaa hivi kama track na wanene ila imekua kali hadi kapata support na wasanii wenzake wakubwa tu tena hata ambao alikua ana beef nao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom