Ni dakika 5 za Lowassa

Ni dakika 5 za Lowassa

Pamoja na hoja zako nzuri lakini pia Lowasa ni mgonjwa sana najua kiundani kabisa kuhusu ugonjwa wake.
Uzuri wako wewe ni kuwa ikitokea leo Magufuli akaondoka, naye utamtukana na kumuandama sana, hata akiondoka Kikwete, Mwinyi, Mkapa utafanya vivyo hivyo. Hata baada ya kugundua watanzania walio wengi wameachana na CCM nao unawatukana tu.
Kwa kifupi wewe ndiye mwenye CCM.
 
Hata nyoka hatari aina ya koboko akiamua kupambana na adui yake ni dakika tatu tu!!Nakwambia hata risasi inamaliza uhai kwa sekunde 1 tu,sumu ya mamba ni sekunde 10.Mnashanga nini JPM kutumia mamia ya dakika?
 
Hata Akifa kwenye kampeni sawa tuacheni tuchague tutakacho tumechooka na miaka 54 isiyo na dalili ya kesho njema
 
Naomba muelewe kitu kimoja. Lowassa sio mgonjwa.

Lowassa ni mzima sana, na huu ugonjwa anautumia kama kisingizio ili asihutubie muda mrefu jukwaani.

Lowassa kama angekua hajiwezi asingepanda jukwaani halafu ahutubie dakika tatu dodoma

Lowassa kama angekua mgonjwa asingehutubia dakika saba tu kwenye siku yake kubwa ya ufunguzi

Lowassa haumwi ila anasingizia ugonjwa ili asihutubie muda mrefu kwa sababu zifuatazo:

Hawezi kumbuka kitu cha kutuambia

Hawezi kemea ufisadi
Hawezi kemea rushwa
Hawezi kemea ugaidi
Hawezi kemea uhalifu
Hawezi jua ilani ya chama
Hawezi sema ataukuzaje uchumi
Hawezi jitetea tuhuma zinazomkabili
Hawezi jibu mashambulizi
Hawezi kataa kua yeye ni fisadi papa
Hawezi sema kapataje mali zake
Hawezi sema ukweli
Hawezi penda masikini
Hawezi poteza sauti yake kujieleza kwa mafala
Hawezi sema kwa nini lazima awe Rais
Hawezi nyooshea kidole mafisadi wenzake
Hawezi sema atafanyaje kazi
Hawezi sema kalifanyia nini taifa
Hawezi sema Zero ni Zero
Hawezi kumbuka jina la mke wake

Yaani wewe na akili zako, mtu anakuja kukuoba kazi halafu kwenye interview anaona uvivu kujieleza kwako anakuambia kasome website halafu unamkubali?

Lowassa katudharau sana watanzania, ametuona mafala ndio maana hana ha time ya kuongea na sisi

Katuona kama watoto wadogo kutupa pipi na kutuahidi baiskeli mpya

Amka mtanzania ujitambue

Tunahitaji mtu atakaetuambia yeye mwenyewe kwa kinywa chake kwa nini tumchague

Ukawa wanatuletea sinema ya kihindi
awe mgonjwa awe fisadi kula za malofa wote kwa lowassa.
 
Wameshasema hata akiwa maiti watamchagua tu. Huko mbele watakuwa wanamshikilia asimame tu kama lisanamu watu wanamuona halafu "Pipozi pawaaaaaaaaaaaaaaa" mkutano kwisha. Haya ni mabadiliko ya aina yake mkuu. Let's wait and see.
Wakati mwingine anashikiwa kipaza sauti. Apewe kura aende ikulu
 
hahhah nimeipenda sana hii mkuu hakika LOWASSA NI MSANII natumia USANII WAKE effectivelly
 
ccm kwa wenye akili za tezi dume... Yaani jamaa yao alikuwa akidondoka kifafa laivu majukwaani leo hii nao wanamsema Lowassa..

Kwani Magufuli ni mzima..?? Samia ni mzima...?? Kama ndiyo kubali uongezwe damu yao...!!


Mabadilikoooooo....!!!
 
FaizaFoxy mbona we mgonjwa na hatutangazi mama???!

AlhamduliLlah, mie mzima wa afya tele.

Ninakuombea na wewe uzima na afya.

Lowassa hali yake kiafya haimruhusu kabisa kuongoza hata nyumba kumi, wacha nchi.

Tuwache ushabiki wa kijinga, tunaongelea mtu anaetakiwa kuongoza watu zaidi ya million 45.

Isitoshe, kuna kuumwa magonjwa ambayo yanajulikana kabisa kuwa haya hayana madhara na hayahusishi uelewa na ufahamu wake, yanatibika na ya kupita tu, lakini kwa Lowassa, hebu jisomee hapa chini:

Medical diagnosis
Parkinson's often starts with a tremor in one hand. Other symptoms are slow movement, stiffness, and loss of balance.
People may experience:

Tremor:
can be postural, can occur at rest, in the hands, or limbs

Muscular:
difficulty standing, difficulty walking, difficulty with bodily movement, involuntary movements, muscle rigidity, muscle twitch, problems with coordination, slow bodily movement, stiff muscles, or slow shuffling gait

Cognitive:
amnesia, confusion in the evening hours, dementia, or difficulty thinking and understanding

Sleep:
daytime sleepiness, early awakening, nightmares, restless sleep, or sleep disturbances

Sensory:
distorted sense of smell, loss in contrast sensitivity, or loss of smell

Speech:
impaired voice, soft speech, or voice box spasms

Facial:
jaw stiffness or reduced facial expression

Urinary:
dribbling of urine or leaking of urine

Whole body:
dizziness, fatigue, or poor balance

Psychological:
anxiety or depression

Also common:
apathy, blank stare, constipation, difficulty swallowing, drooling, falling, fear of falling, neck tightness, restlessness, small handwriting, trembling, unintentional writhing, or weight loss

Bado tu tumpe Urais mtu namna hiyo? No. No. No.

Ukimchaguwa mtu mwenye ugonjwa kama wa Lowassa itakuwa hujitendei haki wewe mwenyewe na watoto zetu ambao hawajafikia umri wa kupiga kura - Kumbuka hilo.

Halafu wananishangaza zaidi CUF, kauli mbiu yao ni "haki sawa kwa wote" sasa kumchaguwa mgonjwa ni kutenda haki sawa kwa wote? - Wanazidhulumu nafsi zao na wale wanaowatagemea kuwa watafanya maumuzi sahihi, hususan watoto ambao hawajafikia umri wa kupiga kura.
 
Pamoja na hoja zako nzuri lakini pia Lowasa ni mgonjwa sana najua kiundani kabisa kuhusu ugonjwa wake.

Hakika mwaka huu utaugua ugonjwa zaidi ya huo unaoupigia vuvuzela.Usicheze na Mungu weye
 
tutampa kura za kutosha lowasa kama ni mgonjwa tutamtibia kama tulivyo mtibia mzee wa tezi dume
 
jamaa yenu anaongea hadi anatia huruma Lowassa akisema nitaleta maji si mnajua maji niliyatoa wapi? Sasa hapo pua na mdomo patanishinda basi wananchi nderemo hata hotuba inashindikana maana wanamwamini, jamaa yenu inabidi asisitize nawaambieni ukweli jama lowassa hasemi hayo watu wanamwamini-ana kashfa kagombea ,wakasema wanamkata bado akachukua fomu, wakamkata kahamia ukawa wakasema mgonjwa yupo ziarani everyday nyambafu
 
Naomba muelewe kitu kimoja. Lowassa sio mgonjwa.

Lowassa ni mzima sana, na huu ugonjwa anautumia kama kisingizio ili asihutubie muda mrefu jukwaani.

Lowassa kama angekua hajiwezi asingepanda jukwaani halafu ahutubie dakika tatu dodoma

Lowassa kama angekua mgonjwa asingehutubia dakika saba tu kwenye siku yake kubwa ya ufunguzi

Lowassa haumwi ila anasingizia ugonjwa ili asihutubie muda mrefu kwa sababu zifuatazo:

Hawezi kumbuka kitu cha kutuambia

Hawezi kemea ufisadi
Hawezi kemea rushwa
Hawezi kemea ugaidi
Hawezi kemea uhalifu
Hawezi jua ilani ya chama
Hawezi sema ataukuzaje uchumi
Hawezi jitetea tuhuma zinazomkabili
Hawezi jibu mashambulizi
Hawezi kataa kua yeye ni fisadi papa
Hawezi sema kapataje mali zake
Hawezi sema ukweli
Hawezi penda masikini
Hawezi poteza sauti yake kujieleza kwa mafala
Hawezi sema kwa nini lazima awe Rais
Hawezi nyooshea kidole mafisadi wenzake
Hawezi sema atafanyaje kazi
Hawezi sema kalifanyia nini taifa
Hawezi sema Zero ni Zero
Hawezi kumbuka jina la mke wake

Yaani wewe na akili zako, mtu anakuja kukuoba kazi halafu kwenye interview anaona uvivu kujieleza kwako anakuambia kasome website halafu unamkubali?

Lowassa katudharau sana watanzania, ametuona mafala ndio maana hana ha time ya kuongea na sisi

Katuona kama watoto wadogo kutupa pipi na kutuahidi baiskeli mpya

Amka mtanzania ujitambue

Tunahitaji mtu atakaetuambia yeye mwenyewe kwa kinywa chake kwa nini tumchague

Ukawa wanatuletea sinema ya kihindi

---- peke yako shwain mkubwa
 
Back
Top Bottom