Ni dakika 5 za Lowassa

Ni dakika 5 za Lowassa

Kama si ulofa ni nini? Utasikia hata uweke jiwe nachagua jiwe na wala siyo ccm. Ni ajabu. Changes is about people. Eti hata likiwa jiwe chadema atapigia jiwe. Then huyu mtu ni lofa. Nafasi ya urais siyo sawa na nafasi ya mwenyekiti wa kijiji bana. Angalia traits za kiongozi bora na siyo chama tu. Mabadiliko siyo chama tu. Ni kiongozi mwenye sifa. Hivi chadema walishawahi hata kutoa sifa za mgombea wao wa urais? Hawalioni hilo eti ngoja atuvushe. No. It is wrong. Tuweke ushabiki pembeni na tutangulize maslahi ya wananchi wote.

Kwa sasa bora kuchagua jiwe, narudia bora jiwe! Magufuli kwa kulijua hilo hatumii tena CCM wala mabango hayataji tena CCM. Watu wamelikinai dubwana CCM! Ni Wanufaika/Beneficiaries pekee(sijui na wachache fuata mkumbo) ndo wataipa kura CCM awamu hii!
 
Honesdtly, namkubali Dr Magufuli Personally, ila HONESTLY siikubali kabisa CCM!
 
awe mwizi awe fisadi awe anajiharishia ni huyo ndie tutamchagua. Haambiwi kitu mtu hapa kuhusu lowasa. Hata akiwa icu hata amekufa amezikwa kaburin kura tuna mpa maamaee. Lowassa is a major pain in your arssses really. Meekoondoo yenu imefumulliwa vbaya sana


khaaaa! Hahahahaha
 
Awe mwizi awe fisadi awe anajiharishia ni huyo ndie tutamchagua. Haambiwi kitu mtu hapa kuhusu lowasa. Hata akiwa icu hata amekufa amezikwa kaburin kura tuna mpa maamaee. Lowassa is a major pain in your arssses really. Meekoondoo yenu imefumulliwa vbaya sana

Lowasa kura zetu anazo hata awe anapumulia mashine.. Tutamchagua tu hivyo hivyo dadeeki
 
Kwenye huu ufisadi lowasa alikuwepo????
 

Attachments

  • 1442078816625.jpg
    1442078816625.jpg
    30.4 KB · Views: 191
Hv hivi vijamaa vya ccm vilivyoko mitandaoni humu huwa havina mambo ya kuelezea zaidi ya kumuekezea kidume lowasa kama baba zao wanavo mtukana lowasa kweny campaign mi labda niwa ambie kitu trein ikisha changanya ni vigumu sana kuidanda kwa mbele lakin pia si shangai kwan kukata roho siyo kazi rahisi
 
yaani mtaandika mengi ila lowassa alishachaguliwa na watanzania kama mnabisha kesho uchaguzi ufanyike muone maana fitina mlizopanga zote zimeisha sasa hivi mnafikiria kuiba mtaumbuka mwaka huu siwapi pole dawa yao makamanda tukamchague LOWASSA ili wajue sisi sio malofa
 
poleni sana makada,inauma ila ndio hali halisi,hakuna namna sasa,acha lowasa awe rais tu!...hakuna namna sasa.

Kwani we una kura ngapi Mkuu? Au ndo unalazimisha ngamia kunywa maji?
 
Mi huwa sielewi watu Ooohhh Lowasa rais Oohh Magufuli rais kabla ya kusema hayo hebu jiulizeni una kura ngapi? Chamsingi leta hoja tuvutiwe tuone km atatufaa na sisi, siyo unajihakikishia wakati una kura moja tu. Kweendraaaa na propaganda zenu za kuaminisha eti fulani rais wakati kura bado hatujapiga
 
Mi huwa sielewi watu Ooohhh Lowasa rais Oohh Magufuli rais kabla ya kusema hayo hebu jiulizeni una kura ngapi? Chamsingi leta hoja tuvutiwe tuone km atatufaa na sisi, siyo unajihakikishia wakati una kura moja tu. Kweendraaaa na propaganda zenu za kuaminisha eti fulani rais wakati kura bado hatujapiga
Afadhali yako. Mijitu imekuwa ka vile mitaahira. Eti tumeshaamua Lowassa/Magufuli ndiyo rais. Umeshaamua wewe na nani? Na ukoo wenu? Tumekuwa taifa la wajinga tu wanaotumiwa na wanasiasa hawa wasaka tonge na kisha kutupwa kama ganda la chungwa baada ya uchaguzi kupita. Safari ya mabadiliko ya kweli kwa Tanzania bado sana!
 
Nawe lazima urudi kwenu mwandiga ukauze kayoga
Mwandiga ni wapi huko mkuu? Na kayoga ni nini? Unapomjibu mtu hata kama ni tusi hakikisha basi angalau linaeleweka. Sasa ukimtukana mtu na tusi halielewi ataumiaje? Utakuwa umetimiza lengo lako au utakuwa unajitukana mwenyewe tu. Ngaji!
 
Umeambiwa hata maiti atachaguliwa..wewe unawashwa na nini si utulie dawa iingie??
Mambo ya kuwashwa tena? Inaonekana haya mambo ya kuwashwa na kuingiliwa unayajua sana. Hongera zako.

Yaani mkiguswa kidogo tu "Ooh tulia dawa ikuingie" Dawa ya ufisadi ama nini hiyo? Muwapelekeage na mama zenu hiyo dawa nao ikawaingie. Lofa mkubwa!
 
Huyo jk anayetumia 5hrs kukuhutubia kakusaidia nini? Angalia ranks za umaskini alaf ndo utajua hii nchi ni fukara sana. Mtoa mada akili huna
 
Back
Top Bottom