Ni dakika 5 za Lowassa

Ni dakika 5 za Lowassa

Kama si ulofa ni nini? Utasikia hata uweke jiwe nachagua jiwe na wala siyo ccm. Ni ajabu. Changes is about people. Eti hata likiwa jiwe chadema atapigia jiwe. Then huyu mtu ni lofa. Nafasi ya urais siyo sawa na nafasi ya mwenyekiti wa kijiji bana. Angalia traits za kiongozi bora na siyo chama tu. Mabadiliko siyo chama tu. Ni kiongozi mwenye sifa. Hivi chadema walishawahi hata kutoa sifa za mgombea wao wa urais? Hawalioni hilo eti ngoja atuvushe. No. It is wrong. Tuweke ushabiki pembeni na tutangulize maslahi ya wananchi wote.

Malofa hatutumii akili nyingi hivyo..... usituhubirie hapa!
 
Tatizo lake ni afya na tamaa ya madaraka.Tamas ni mbaya sana.
 
Back
Top Bottom