Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,376
DJ atahamishia disco lake Ikulu. Kiingilio US $ 10,000. Couples: $15,000. Makamanda wote: $5,000. Watapiga hela yaani mpaka basi!Atakuwa rais kama boya tu ili watu wapige madili.
DJ atahamishia disco lake Ikulu. Kiingilio US $ 10,000. Couples: $15,000. Makamanda wote: $5,000. Watapiga hela yaani mpaka basi!Atakuwa rais kama boya tu ili watu wapige madili.
Pamoja na hoja zako nzuri lakini pia Lowasa ni mgonjwa sana najua kiundani kabisa kuhusu ugonjwa wake.
Kura zoote ni kwa lowasa
Umeambiwa hata maiti atachaguliwa..wewe unawashwa na nini si utulie dawa iingie??Wameshasema hata akiwa maiti watamchagua tu. Huko mbele watakuwa wanamshikilia asimame tu kama lisanamu watu wanamuona halafu "Pipozi pawaaaaaaaaaaaaaaa" mkutano kwisha. Haya ni mabadiliko ya aina yake mkuu. Let's wait and see.
Haina ubishi mkuu wewe hakikisha Wasira harudi mjengoni.
Awe mwizi awe fisadi awe anajiharishia ni huyo ndie tutamchagua. Haambiwi kitu mtu hapa kuhusu lowasa. Hata akiwa icu hata amekufa amezikwa kaburin kura tuna mpa maamaee. Lowassa is a major pain in your arssses really. Meekoondoo yenu imefumulliwa vbaya sana
Pamoja na hoja zako nzuri lakini pia Lowasa ni mgonjwa sana najua kiundani kabisa kuhusu ugonjwa wake.
DJ atahamishia disco lake Ikulu. Kiingilio US $ 10,000. Couples: $15,000. Makamanda wote: $5,000. Watapiga hela yaani mpaka basi!
Lowasa hawezi kutudanganya tena tushastuka siye kitambo aende zake wala hatudanganyiki kabisa mwizi tu huyu.
Naomba muelewe kitu kimoja. Lowassa sio mgonjwa.
Lowassa ni mzima sana, na huu ugonjwa anautumia kama kisingizio ili asihutubie muda mrefu jukwaani.
Lowassa kama angekua hajiwezi asingepanda jukwaani halafu ahutubie dakika tatu dodoma
Lowassa kama angekua mgonjwa asingehutubia dakika saba tu kwenye siku yake kubwa ya ufunguzi
Lowassa haumwi ila anasingizia ugonjwa ili asihutubie muda mrefu kwa sababu zifuatazo:
Hawezi kumbuka kitu cha kutuambia
Hawezi kemea ufisadi
Hawezi kemea rushwa
Hawezi kemea ugaidi
Hawezi kemea uhalifu
Hawezi jua ilani ya chama
Hawezi sema ataukuzaje uchumi
Hawezi jitetea tuhuma zinazomkabili
Hawezi jibu mashambulizi
Hawezi kataa kua yeye ni fisadi papa
Hawezi sema kapataje mali zake
Hawezi sema ukweli
Hawezi penda masikini
Hawezi poteza sauti yake kujieleza kwa mafala
Hawezi sema kwa nini lazima awe Rais
Hawezi nyooshea kidole mafisadi wenzake
Hawezi sema atafanyaje kazi
Hawezi sema kalifanyia nini taifa
Hawezi sema Zero ni Zero
Hawezi kumbuka jina la mke wake
![]()
Yaani wewe na akili zako, mtu anakuja kukuoba kazi halafu kwenye interview anaona uvivu kujieleza kwako anakuambia kasome website halafu unamkubali?
Lowassa katudharau sana watanzania, ametuona mafala ndio maana hana ha time ya kuongea na sisi
Katuona kama watoto wadogo kutupa pipi na kutuahidi baiskeli mpya
Amka mtanzania ujitambue
Tunahitaji mtu atakaetuambia yeye mwenyewe kwa kinywa chake kwa nini tumchague
Ukawa wanatuletea sinema ya kihindi
Pamoja na hoja zako nzuri lakini pia Lowasa ni mgonjwa sana najua kiundani kabisa kuhusu ugonjwa wake.
Alafu hawa wanopiga domu humu ni vibaraka wa hapo lumumba ndo kazi waliopewa na wanalipwa posho ila kwa taarifa waniulize mie ambaye nishashiriki baadhi ya shuguli za ccm wakati nikiwa gamba kwa taarifa fupi tuu wanachama wenye kadi zaidi ya 40% hawampendi magufuli wanaenda kwenye mikutano tuu kutimiza wajibu na wooga ila wengi moyoni ni lowasa na ndiye walitegemea atapitishwa, hiki kilichotokea kukata jina lake ni kwa maslahi ya wakubwa tuu ila kwa hawa wa chini wanalalamika mpaka kesho moyoni, ITAWAGARIMU SANA MWAKA HUU, bora mimi nilijitoa mapema