Ni bora nisingemjua Mama yangu

Ni bora nisingemjua Mama yangu

Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.

Miaka inaenda unamaliza elimu yako unapata kaz mnakuwa karibu sana baada ya muda matatizo yanatokea anajikausha km hajui chochote kuhusu wewe yan anaeza kukaa hata miezi miwil hakuna sms wala simu ila b4 uko vizur kiuchumi unakazi simu muda wote hazikauk.

Kila nikijaribu kumueka karibu kumuuliza kwann anakuwa hv yeye ni mtu wa kulalamika tu km namuonea na kusema nampa lawama tu mara sijui simpend yeye ila hapo yeye hajawah kukuonyeshea upendo km wamama kutokumuona mwanae toka akiwa na miaka 4 yan yuko normal mpk muda mwingine unajiuliza hv "huyu ni mama angu mazazi".

Napitia msoto mkali sana lkn sijawah pata sapoti kutoka kwake hata kimawazo ukuaji wangu mpk elimu yangu hajui chochote.

Nikijaribu kumuelewesha inakuwa km ugomv anapanik haraka na kuona km mm namfundisha, muda mwingine nashikwa na hasira nataman hata nifute numb yake yan km mtu anakuombea mabaya.

Kipind cha nyuma alikuwa ananishaur niache kuwasiliana na mama alienilea kuwa sio mzur kwangu lkn anajisahaulisha huyo mama wa kambo mm ndio alienilea iwe kwa ubaya au uzur.

BINAFS NAONA NIISHI MAISHA YANGU NIACHANE NAE AU NIFUTE NUMB YAKE KABISA AU NI ASSUME KM SINA MAMA TU KM HAPO MWANZO NIKAE NAE MBALI NAJARIBU KUMVUTA LKN NAONA KM THAMAN INAONEKANA PALE NIKIWA NA KAZI/PESA ....!!!

BINAFS NAJIKUTA SAS SINA MAPENZ NAE KABISAAA TOKA TUMEJUANA 2012 SIJAONA TOFAUT NA KUTOKUMJUA, HT RAHA YA KWENDA KWAKE KUMSALIMIA SION TENA
Hao ndiyo wale wazazi wanao shangilia kujengewa nyumba na watoto ila wao wanawaambia watoto wao ....hivi vitu tumechuma mimi na mume wangu au mimi na mke wangu na nyinyi katafuteni vyenu ...chakushangaza ukiwajengea wao nyumba au kuwanunulia gari wanakimbiza vijambio vyao kupokea ....utawasikuia wanasema ...kuna kunya na kuzaa huku ndiyo kuzaa.
 
Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.

Miaka inaenda unamaliza elimu yako unapata kaz mnakuwa karibu sana baada ya muda matatizo yanatokea anajikausha km hajui chochote kuhusu wewe yan anaeza kukaa hata miezi miwil hakuna sms wala simu ila b4 uko vizur kiuchumi unakazi simu muda wote hazikauk.

Kila nikijaribu kumueka karibu kumuuliza kwann anakuwa hv yeye ni mtu wa kulalamika tu km namuonea na kusema nampa lawama tu mara sijui simpend yeye ila hapo yeye hajawah kukuonyeshea upendo km wamama kutokumuona mwanae toka akiwa na miaka 4 yan yuko normal mpk muda mwingine unajiuliza hv "huyu ni mama angu mazazi".

Napitia msoto mkali sana lkn sijawah pata sapoti kutoka kwake hata kimawazo ukuaji wangu mpk elimu yangu hajui chochote.

Nikijaribu kumuelewesha inakuwa km ugomv anapanik haraka na kuona km mm namfundisha, muda mwingine nashikwa na hasira nataman hata nifute numb yake yan km mtu anakuombea mabaya.

Kipind cha nyuma alikuwa ananishaur niache kuwasiliana na mama alienilea kuwa sio mzur kwangu lkn anajisahaulisha huyo mama wa kambo mm ndio alienilea iwe kwa ubaya au uzur.

BINAFS NAONA NIISHI MAISHA YANGU NIACHANE NAE AU NIFUTE NUMB YAKE KABISA AU NI ASSUME KM SINA MAMA TU KM HAPO MWANZO NIKAE NAE MBALI NAJARIBU KUMVUTA LKN NAONA KM THAMAN INAONEKANA PALE NIKIWA NA KAZI/PESA ....!!!

BINAFS NAJIKUTA SAS SINA MAPENZ NAE KABISAAA TOKA TUMEJUANA 2012 SIJAONA TOFAUT NA KUTOKUMJUA, HT RAHA YA KWENDA KWAKE KUMSALIMIA SION TENA
Tatizo kubwa hapa ni kumpa thamani kubwa sana mamako kwa mujibu wa imani yako ya dini.
Achana na mafundisho ya dini mamako ni mtu kama watu wengine.Anaweza kuwa na roho mbaya ama nzuri.
Nakusihi jiepushe na kiumbe chochote kinachopora furaha yako.
 
Moja ya tabia naichukia sana katika maisha yangu ni ULALAMISHI, Kuna baadhi ya watu wanalalamika hadi wanaudhi.

Ukishakua kiakili huwezi lalamikia jambo kama hili maana ni suala la kutumia akili yako kujua namna ya kuishi na watu.

Jifunze kufanya mambo yako wewe mwenyewe kwanza kabla ya kutegemea usaidizi. Usingemjua huyo mama yako bado ungelalama tu.

Dunia sio paradiso, pambana songa mbele
 
Pole sana, sio kila binadamu anapaswa kuwa mzazi.

Unadeal na mtu mwenye mental issues, probably a narcissist. Kudhani utapata chochote out of her hata vile vya bure ni kujipotezea muda wako.

Once a narcissist always a narcissist.

Focus katika kuyakabili magumu yako kwa sasa, you are alone.
 
Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.

Miaka inaenda unamaliza elimu yako unapata kaz mnakuwa karibu sana baada ya muda matatizo yanatokea anajikausha km hajui chochote kuhusu wewe yan anaeza kukaa hata miezi miwil hakuna sms wala simu ila b4 uko vizur kiuchumi unakazi simu muda wote hazikauk.

Kila nikijaribu kumueka karibu kumuuliza kwann anakuwa hv yeye ni mtu wa kulalamika tu km namuonea na kusema nampa lawama tu mara sijui simpend yeye ila hapo yeye hajawah kukuonyeshea upendo km wamama kutokumuona mwanae toka akiwa na miaka 4 yan yuko normal mpk muda mwingine unajiuliza hv "huyu ni mama angu mazazi".

Napitia msoto mkali sana lkn sijawah pata sapoti kutoka kwake hata kimawazo ukuaji wangu mpk elimu yangu hajui chochote.

Nikijaribu kumuelewesha inakuwa km ugomv anapanik haraka na kuona km mm namfundisha, muda mwingine nashikwa na hasira nataman hata nifute numb yake yan km mtu anakuombea mabaya.

Kipind cha nyuma alikuwa ananishaur niache kuwasiliana na mama alienilea kuwa sio mzur kwangu lkn anajisahaulisha huyo mama wa kambo mm ndio alienilea iwe kwa ubaya au uzur.

BINAFS NAONA NIISHI MAISHA YANGU NIACHANE NAE AU NIFUTE NUMB YAKE KABISA AU NI ASSUME KM SINA MAMA TU KM HAPO MWANZO NIKAE NAE MBALI NAJARIBU KUMVUTA LKN NAONA KM THAMAN INAONEKANA PALE NIKIWA NA KAZI/PESA ....!!!

BINAFS NAJIKUTA SAS SINA MAPENZ NAE KABISAAA TOKA TUMEJUANA 2012 SIJAONA TOFAUT NA KUTOKUMJUA, HT RAHA YA KWENDA KWAKE KUMSALIMIA SION TENA

Kila siku nawaambia hapa Watu kuwa Hata Wazazi iwe ni Baba au Mama hawana upendo wa kweli. Kuna Watu wanabisha.

Uzi huu UKWELI MCHUNGU: Wazazi wengi hawana upendo wa kweli

Achana naye fanya mambo yako.
Usimtafute.
 
Hao ndiyo wale wazazi wanao shangilia kujengewa nyumba na watoto ila wao wanawaambia watoto wao ....hivi vitu tumechuma mimi na mume wangu au mimi na mke wangu na nyinyi katafuteni vyenu ...chakushangaza ukiwajengea wao nyumba au kuwanunulia gari awakimbiza vijambio vyao kupokea ....utawasikia wanasema ...kuna kunya na kuzaa huku ndiyo kuzaa.
Duuuuu umeongea lugha ngumu sn ndugu. Tuwaheshimu wazazi mapungufu yao tumuachie Mungu
 
Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.

Miaka inaenda unamaliza elimu yako unapata kaz mnakuwa karibu sana baada ya muda matatizo yanatokea anajikausha km hajui chochote kuhusu wewe yan anaeza kukaa hata miezi miwil hakuna sms wala simu ila b4 uko vizur kiuchumi unakazi simu muda wote hazikauk.

Kila nikijaribu kumueka karibu kumuuliza kwann anakuwa hv yeye ni mtu wa kulalamika tu km namuonea na kusema nampa lawama tu mara sijui simpend yeye ila hapo yeye hajawah kukuonyeshea upendo km wamama kutokumuona mwanae toka akiwa na miaka 4 yan yuko normal mpk muda mwingine unajiuliza hv "huyu ni mama angu mazazi".

Napitia msoto mkali sana lkn sijawah pata sapoti kutoka kwake hata kimawazo ukuaji wangu mpk elimu yangu hajui chochote.

Nikijaribu kumuelewesha inakuwa km ugomv anapanik haraka na kuona km mm namfundisha, muda mwingine nashikwa na hasira nataman hata nifute numb yake yan km mtu anakuombea mabaya.

Kipind cha nyuma alikuwa ananishaur niache kuwasiliana na mama alienilea kuwa sio mzur kwangu lkn anajisahaulisha huyo mama wa kambo mm ndio alienilea iwe kwa ubaya au uzur.

BINAFS NAONA NIISHI MAISHA YANGU NIACHANE NAE AU NIFUTE NUMB YAKE KABISA AU NI ASSUME KM SINA MAMA TU KM HAPO MWANZO NIKAE NAE MBALI NAJARIBU KUMVUTA LKN NAONA KM THAMAN INAONEKANA PALE NIKIWA NA KAZI/PESA ....!!!

BINAFS NAJIKUTA SAS SINA MAPENZ NAE KABISAAA TOKA TUMEJUANA 2012 SIJAONA TOFAUT NA KUTOKUMJUA, HT RAHA YA KWENDA KWAKE KUMSALIMIA SION TENA
heshima bana na mama yako upate maisha marefu duniani
 
ndugu yang nmekaa nalo rohon takriban miaka mingi sana linaniumiza mno kila nikitaka kuandika hapa huwa nafuta ila jana mambo yamenilemea moyon mwangu
Nimepitia hali kama yako kunyanyapaliwa na mama mzazi...siwezi eleza kwa kirefu ila nilichokifanya nilimuaga narudi nilikokuwa nimetoka baada ya kwenda kumlilia shida, huu nadhani ni mwaka wa 5 sijawahi kumpigia na namba yake nilifuta.
 
Akishindwa kuelewa hata hii basi akakanyage mafuta
 
Most likely kuna kitu kibaya sana walifanyiana na baba au ndugu wa upande wa baba yako na viapo vya kutosha! Seems hataki kuvunja viapo walivyoapizana ndio maana ana-behave hivyo. Sio utashi wake ni viapo vibaya walivyoapizana.
Umeongea kitu kikubwa sana sana na kimenigusa mno naamini una experience katika hili.....
Ukweli ndio huo mtoa mada azingatie hapa
 
Lawama, Manung'uniko, Fitna, Husda Ni Tatizo Kubwa

Ishi Maisha Yako Kama Zamani, Ambatana Na Yule Aliyekulea
Punguza/Mawasiliano Na Huyo Mama AnayekutafutaUkiwa Nacho

Ukiwawaza Sana Hao Hutoboi, Maana Utakuta Mwaka Unaanza January ~December
Malalamiko Ukitazama Maendeleo Hakuna
 
Back
Top Bottom