Ni bora nisingemjua Mama yangu

Ni bora nisingemjua Mama yangu

Mimi sikushauri uachane nae na wala sikushauri umzingatie..akiwa na shida ukiwa nacho msaidie ukiwa hauna mwambie sina ila usipasue kichwa saana juu yake,focus na mambo yako Zaidi usitoke Kwa reli...mpe/jipe muda kila kitu kitakuwa wazi
 
Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.

Miaka inaenda unamaliza elimu yako unapata kaz mnakuwa karibu sana baada ya muda matatizo yanatokea anajikausha km hajui chochote kuhusu wewe yan anaeza kukaa hata miezi miwil hakuna sms wala simu ila b4 uko vizur kiuchumi unakazi simu muda wote hazikauk.

Kila nikijaribu kumueka karibu kumuuliza kwann anakuwa hv yeye ni mtu wa kulalamika tu km namuonea na kusema nampa lawama tu mara sijui simpend yeye ila hapo yeye hajawah kukuonyeshea upendo km wamama kutokumuona mwanae toka akiwa na miaka 4 yan yuko normal mpk muda mwingine unajiuliza hv "huyu ni mama angu mazazi".

Napitia msoto mkali sana lkn sijawah pata sapoti kutoka kwake hata kimawazo ukuaji wangu mpk elimu yangu hajui chochote.

Nikijaribu kumuelewesha inakuwa km ugomv anapanik haraka na kuona km mm namfundisha, muda mwingine nashikwa na hasira nataman hata nifute numb yake yan km mtu anakuombea mabaya.

Kipind cha nyuma alikuwa ananishaur niache kuwasiliana na mama alienilea kuwa sio mzur kwangu lkn anajisahaulisha huyo mama wa kambo mm ndio alienilea iwe kwa ubaya au uzur.

BINAFS NAONA NIISHI MAISHA YANGU NIACHANE NAE AU NIFUTE NUMB YAKE KABISA AU NI ASSUME KM SINA MAMA TU KM HAPO MWANZO NIKAE NAE MBALI NAJARIBU KUMVUTA LKN NAONA KM THAMAN INAONEKANA PALE NIKIWA NA KAZI/PESA ....!!!

BINAFS NAJIKUTA SAS SINA MAPENZ NAE KABISAAA TOKA TUMEJUANA 2012 SIJAONA TOFAUT NA KUTOKUMJUA, HT RAHA YA KWENDA KWAKE KUMSALIMIA SION TENA
Mkuu, mm mama yangu alikula kona nikiwa na miaka miwili.. anaweza kuja leo akapotea miaka mitatu akaibuka siku moja akalala mbele tena miaka kadhaa, navyoandika hapa mimi na yeye hatuna ukaribu wowote na analijua hilo nishamwambia kabisa ukitaka tuishi kwa aman kaa huko na mm nikae huku usisogeze pua yako hapa, hakuna siku hata moja nitapiga simu ya kumjulia hali wala yeye hafanyi hivyo, tutawasiliana tu kama kuna jambo linalo lazimu hivyo nje ya hapo miaka itakatika bila mawasiliano

Achana nae fanya mambo yako ishi kama hayupo
Naweza kaa miaka miwili sijaonana nae ila ikatokea tukakutana mahali tukasalimiana sekunde 2 kila mtu ananyoosha mbele na mambo yake, hajawajibika kwako huna sababu ya kuwajibika kwake
 
Usimchukie Ila tumia ile mbinu inaitwa "Love from a distance" mpende na msaidie pale unapoweza Kama Mama yako Ila usiweke ukaribu wa kumtegemea kimawazo , kiuchumi n.k

Pia mzingatie na muweke karibu Sana huyo care giver wako step-mother wako aliyekulea MPE ushirikiano na kum-keep closer.

pia hakikisha unakuwa positive Sana usimchukie MTU yeyote hapa duniani Bali yachukie mambo yao na sio Watu.

Nahisi mkuu upo financial broke that's why unaona watu wako wa Karibu wanakutenga ,hii ni kawaida watu weusi wapo hivyo wala usichukulie serious Sana.

Katika vipindi vigumu Omba Mungu akupe utulivu (serenity) Kama mama yako alikuzaa na hajakutoa Kama Abortion basi MPE heshima ,hii itafungua Milango Sana.

CCC.Dr
mkuu kipind niko vzr nilikuw namjulia hali sana na kumsaidia pale nilipoweza lkn kwasas mambo yako vby ila nimemuona ni mtu asiekuw na upendo wa dhati kitu kdg ukiongea nae labd umshaur yeye ni kulalama na kusema nimpende nisimpende ni sawa na anamuachia Mwenyez Mungu(yan km mtu anakuombea mabaya hv) mm hapo ntampenda vip tena
 
ndio ameolewa na anamtoto mmoja kwa huyo mume wake

Mkuu umasikini ndo inaisumbua familia yako

Na umasikini huu utakuwa ni wa
Kiroho
Kifikra
Kiuchumi.

Hivyo unavyomshangaa mama yako na yeye anakushangaa wewe kwahiyo mnashangaana .

Hakuna kitu kibaya Kama umasikini hapa duniani.

Muombe Sana Mungu akupe utulivu na akuondolee umasikini katika familia yako

Umasikini unazaa roho mbaya , fitina. Majungu, husda chuki hadi kurogana.

Hata hizo negativity kuhusu mama yako ukichunguza kiundani kuwa tu hauna hela
 
Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.

Miaka inaenda unamaliza elimu yako unapata kaz mnakuwa karibu sana baada ya muda matatizo yanatokea anajikausha km hajui chochote kuhusu wewe yan anaeza kukaa hata miezi miwil hakuna sms wala simu ila b4 uko vizur kiuchumi unakazi simu muda wote hazikauk.

Kila nikijaribu kumueka karibu kumuuliza kwann anakuwa hv yeye ni mtu wa kulalamika tu km namuonea na kusema nampa lawama tu mara sijui simpend yeye ila hapo yeye hajawah kukuonyeshea upendo km wamama kutokumuona mwanae toka akiwa na miaka 4 yan yuko normal mpk muda mwingine unajiuliza hv "huyu ni mama angu mazazi".

Napitia msoto mkali sana lkn sijawah pata sapoti kutoka kwake hata kimawazo ukuaji wangu mpk elimu yangu hajui chochote.

Nikijaribu kumuelewesha inakuwa km ugomv anapanik haraka na kuona km mm namfundisha, muda mwingine nashikwa na hasira nataman hata nifute numb yake yan km mtu anakuombea mabaya.

Kipind cha nyuma alikuwa ananishaur niache kuwasiliana na mama alienilea kuwa sio mzur kwangu lkn anajisahaulisha huyo mama wa kambo mm ndio alienilea iwe kwa ubaya au uzur.

BINAFS NAONA NIISHI MAISHA YANGU NIACHANE NAE AU NIFUTE NUMB YAKE KABISA AU NI ASSUME KM SINA MAMA TU KM HAPO MWANZO NIKAE NAE MBALI NAJARIBU KUMVUTA LKN NAONA KM THAMAN INAONEKANA PALE NIKIWA NA KAZI/PESA ....!!!

BINAFS NAJIKUTA SAS SINA MAPENZ NAE KABISAAA TOKA TUMEJUANA 2012 SIJAONA TOFAUT NA KUTOKUMJUA, HT RAHA YA KWENDA KWAKE KUMSALIMIA SION TENA
Mkuu hili ni jaribu unapaswa kulishinda.
Katika maisha yako yote usiinue sauti ama kauli yeyote ya kumlaumu mzazi wako yeyote awe mama au baba kwa kutokuwa available pale unapo au ulipomuhitaji.

Kama ni mwanadini na Mgalatia kama mimi, Biblia inatuelekeza kupitia amri Kumi za Mungu kwamba Tuwaheshimu baba na mama zetu ili tupate heri na siku nyingi duniani. Biblia haikusema tuwaheshimu pale wanapokuwa wazuri kwetu, bali hata pale wanapokuwa tanuru kali kwetu. Yaani hali yeyote ile haimtioi mzazi katika hadhi yake ya uzazi.

USHAURI
  1. Punguza kumlaumu na kumlaani mama aliyekuzaa
  2. Usikubali kutenganishwa na mama yako mlezi
  3. Usimdharau ama kumbeza baba yako kwa kuzaa na mama yako na kukupata wewe
  4. Mama ambaye hatoi ushirikiano kaa kimya tena kama anasema usimsumbue pls do that maana nilo ni jambo la Kimungu kukuweka naye mbali katika muda unaotafakari maisha yako yaanzaje upya
  5. Akiwa na shida msaidie within your limit, usimtenge
  6. Kila siku mtaje kwenye sala zako kumuombea mema.
Fanya kama vile hajakukosea maana Aliyemuumba yeye ndiye mwenye uwezo na kusudi la kushughulika naye.
Huu ni mtego umewekewa na usiyemuona ili aangushe future yako inayomtishia sana
 
Most likely kuna kitu kibaya sana walifanyiana na baba au ndugu wa upande wa baba yako na viapo vya kutosha! Seems hataki kuvunja viapo walivyoapizana ndio maana ana-behave hivyo. Sio utashi wake ni viapo vibaya walivyoapizana.
inanifkirisha hii kwamaan ukimsikiliza mzee anamtupia mama lawama na ukimsikiliza huyu mama nae anamtupia mzee lawana yan kila upande haukubali makosa
 
Mbona kama mimi huyu? 🤔 Tuko na same story man!
Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.

Miaka inaenda unamaliza elimu yako unapata kaz mnakuwa karibu sana baada ya muda matatizo yanatokea anajikausha km hajui chochote kuhusu wewe yan anaeza kukaa hata miezi miwil hakuna sms wala simu ila b4 uko vizur kiuchumi unakazi simu muda wote hazikauk.

Kila nikijaribu kumueka karibu kumuuliza kwann anakuwa hv yeye ni mtu wa kulalamika tu km namuonea na kusema nampa lawama tu mara sijui simpend yeye ila hapo yeye hajawah kukuonyeshea upendo km wamama kutokumuona mwanae toka akiwa na miaka 4 yan yuko normal mpk muda mwingine unajiuliza hv "huyu ni mama angu mazazi".

Napitia msoto mkali sana lkn sijawah pata sapoti kutoka kwake hata kimawazo ukuaji wangu mpk elimu yangu hajui chochote.

Nikijaribu kumuelewesha inakuwa km ugomv anapanik haraka na kuona km mm namfundisha, muda mwingine nashikwa na hasira nataman hata nifute numb yake yan km mtu anakuombea mabaya.

Kipind cha nyuma alikuwa ananishaur niache kuwasiliana na mama alienilea kuwa sio mzur kwangu lkn anajisahaulisha huyo mama wa kambo mm ndio alienilea iwe kwa ubaya au uzur.

BINAFS NAONA NIISHI MAISHA YANGU NIACHANE NAE AU NIFUTE NUMB YAKE KABISA AU NI ASSUME KM SINA MAMA TU KM HAPO MWANZO NIKAE NAE MBALI NAJARIBU KUMVUTA LKN NAONA KM THAMAN INAONEKANA PALE NIKIWA NA KAZI/PESA ....!!!

BINAFS NAJIKUTA SAS SINA MAPENZ NAE KABISAAA TOKA TUMEJUANA 2012 SIJAONA TOFAUT NA KUTOKUMJUA, HT RAHA YA KWENDA KWAKE KUMSALIMIA SION TENA
 
Uzi huu hauwezi kuona au kupata michango ya jinsia ya KE au matusi kutoka kwao km walivyozoea kufanya linapokuja jambo linalohusu wanaume.. Kupitia mkasa huu jinsia ya KE wote wa humu jf na nje ya humu wapate funzo jinsi ya kuzungumzia mwanaume aliekimbia familia au kukataa kuhudumia mtoto.

Pia wale wote waliolelewa na single-mothers wenye makasiriko kwa baba zao kupitia uzi huu badilikeni. Hakuna baba anaeweza kutelekeza familia au kukataa damu yake bila sababu za msingi. Bora huyu kajionea mwenyewe na kwa kinywa chake kasema sababu za mama yake kumkimbia akiwa mchanga hazikuwa za msingi. Sasa mimi niseme tu kuwa kwa mwanaume mwenye akili timamu anapokimbia huwa ana sababu kuntu kabisa, sema sisi watoto hurahisisha baada ya kumezeshwa sumu na mama zetu waliotulea.

Wanaume wengi hupitia changamoto nyingi ktk ndoa ni kwa vule tu wamepewa moyo wa uvumilivu. Wangekuwa watu wa kuropoka na kujiliza km jinsia ya KE kusingekuwa na ndoa duniani.
 
Hiyo sheria haipo katika sheria za Tanzania. Atapigwa KO asubuhi na mapema.
We mwenyewe tayari umeshafanya kosa la Ushawishi na uchochezi kwa mujibu wa K/F 390 sura 16 K.A

Kwanini uchochee mama yake aone hajafanya kosa kumzaa bila ridhaa yake?
 
Mkuu hili ni jaribu unapaswa kulishinda.
Katika maisha yako yote usiinue sauti ama kauli yeyote ya kumlaumu mzazi wako yeyote awe mama au baba kwa kutokuwa available pale unapo au ulipomuhitaji.

Kama ni mwanadini na Mgalatia kama mimi, Biblia inatuelekeza kupitia amri Kumi za Mungu kwamba Tuwaheshimu baba na mama zetu ili tupate heri na siku nyingi duniani. Biblia haikusema tuwaheshimu pale wanapokuwa wazuri kwetu, bali hata pale wanapokuwa tanuru kali kwetu. Yaani hali yeyote ile haimtioi mzazi katika hadhi yake ya uzazi.

USHAURI
  1. Punguza kumlaumu na kumlaani mama aliyekuzaa
  2. Usikubali kutenganishwa na mama yako mlezi
  3. Usimdharau ama kumbeza baba yako kwa kuzaa na mama yako na kukupata wewe
  4. Mama ambaye hatoi ushirikiano kaa kimya tena kama anasema usimsumbue pls do that maana nilo ni jambo la Kimungu kukuweka naye mbali katika muda unaotafakari maisha yako yaanzaje upya
  5. Akiwa na shida msaidie within your limit, usimtenge
  6. Kila siku mtaje kwenye sala zako kumuombea mema.
Fanya kama vile hajakukosea maana Aliyemuumba yeye ndiye mwenye uwezo na kusudi la kushughulika naye.
Huu ni mtego umewekewa na usiyemuona ili aangushe future yako inayomtishia sana

Afate huu ushauri ,pia asome Kitabu cha "Become better you " by Joel Osteen.
 
Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.

Miaka inaenda unamaliza elimu yako unapata kaz mnakuwa karibu sana baada ya muda matatizo yanatokea anajikausha km hajui chochote kuhusu wewe yan anaeza kukaa hata miezi miwil hakuna sms wala simu ila b4 uko vizur kiuchumi unakazi simu muda wote hazikauk.

Kila nikijaribu kumueka karibu kumuuliza kwann anakuwa hv yeye ni mtu wa kulalamika tu km namuonea na kusema nampa lawama tu mara sijui simpend yeye ila hapo yeye hajawah kukuonyeshea upendo km wamama kutokumuona mwanae toka akiwa na miaka 4 yan yuko normal mpk muda mwingine unajiuliza hv "huyu ni mama angu mazazi".

Napitia msoto mkali sana lkn sijawah pata sapoti kutoka kwake hata kimawazo ukuaji wangu mpk elimu yangu hajui chochote.

Nikijaribu kumuelewesha inakuwa km ugomv anapanik haraka na kuona km mm namfundisha, muda mwingine nashikwa na hasira nataman hata nifute numb yake yan km mtu anakuombea mabaya.

Kipind cha nyuma alikuwa ananishaur niache kuwasiliana na mama alienilea kuwa sio mzur kwangu lkn anajisahaulisha huyo mama wa kambo mm ndio alienilea iwe kwa ubaya au uzur.

BINAFS NAONA NIISHI MAISHA YANGU NIACHANE NAE AU NIFUTE NUMB YAKE KABISA AU NI ASSUME KM SINA MAMA TU KM HAPO MWANZO NIKAE NAE MBALI NAJARIBU KUMVUTA LKN NAONA KM THAMAN INAONEKANA PALE NIKIWA NA KAZI/PESA ....!!!

BINAFS NAJIKUTA SAS SINA MAPENZ NAE KABISAAA TOKA TUMEJUANA 2012 SIJAONA TOFAUT NA KUTOKUMJUA, HT RAHA YA KWENDA KWAKE KUMSALIMIA SION TENA
Hivi kuandika maneno na kuacha herufi ya mwisho ni utozi au ndiyo fasheni? I mean kuandika ''ananishaur, sijawah, vizur, etc...
 
vitu vingine havina maan kuvijadili ungeweza kukaa kmy tu
Vina maana mno. Wewe usiyeona vina maana ndiye una kasoro. Tusingekuwa tuna kanuni za kuandika maneno ungekuweza kuwasiliana na wengine? Sijui ni kwa nini watu wa shule za kata hamuoni umuhimu wa mtu kujua kusoma na kuandika kwa ufasaha.
 
Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.

Miaka inaenda unamaliza elimu yako unapata kaz mnakuwa karibu sana baada ya muda matatizo yanatokea anajikausha km hajui chochote kuhusu wewe yan anaeza kukaa hata miezi miwil hakuna sms wala simu ila b4 uko vizur kiuchumi unakazi simu muda wote hazikauk.

Kila nikijaribu kumueka karibu kumuuliza kwann anakuwa hv yeye ni mtu wa kulalamika tu km namuonea na kusema nampa lawama tu mara sijui simpend yeye ila hapo yeye hajawah kukuonyeshea upendo km wamama kutokumuona mwanae toka akiwa na miaka 4 yan yuko normal mpk muda mwingine unajiuliza hv "huyu ni mama angu mazazi".

Napitia msoto mkali sana lkn sijawah pata sapoti kutoka kwake hata kimawazo ukuaji wangu mpk elimu yangu hajui chochote.

Nikijaribu kumuelewesha inakuwa km ugomv anapanik haraka na kuona km mm namfundisha, muda mwingine nashikwa na hasira nataman hata nifute numb yake yan km mtu anakuombea mabaya.

Kipind cha nyuma alikuwa ananishaur niache kuwasiliana na mama alienilea kuwa sio mzur kwangu lkn anajisahaulisha huyo mama wa kambo mm ndio alienilea iwe kwa ubaya au uzur.

BINAFS NAONA NIISHI MAISHA YANGU NIACHANE NAE AU NIFUTE NUMB YAKE KABISA AU NI ASSUME KM SINA MAMA TU KM HAPO MWANZO NIKAE NAE MBALI NAJARIBU KUMVUTA LKN NAONA KM THAMAN INAONEKANA PALE NIKIWA NA KAZI/PESA ....!!!

BINAFS NAJIKUTA SAS SINA MAPENZ NAE KABISAAA TOKA TUMEJUANA 2012 SIJAONA TOFAUT NA KUTOKUMJUA, HT RAHA YA KWENDA KWAKE KUMSALIMIA SION TENA

Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.

Miaka inaenda unamaliza elimu yako unapata kaz mnakuwa karibu sana baada ya muda matatizo yanatokea anajikausha km hajui chochote kuhusu wewe yan anaeza kukaa hata miezi miwil hakuna sms wala simu ila b4 uko vizur kiuchumi unakazi simu muda wote hazikauk.

Kila nikijaribu kumueka karibu kumuuliza kwann anakuwa hv yeye ni mtu wa kulalamika tu km namuonea na kusema nampa lawama tu mara sijui simpend yeye ila hapo yeye hajawah kukuonyeshea upendo km wamama kutokumuona mwanae toka akiwa na miaka 4 yan yuko normal mpk muda mwingine unajiuliza hv "huyu ni mama angu mazazi".

Napitia msoto mkali sana lkn sijawah pata sapoti kutoka kwake hata kimawazo ukuaji wangu mpk elimu yangu hajui chochote.

Nikijaribu kumuelewesha inakuwa km ugomv anapanik haraka na kuona km mm namfundisha, muda mwingine nashikwa na hasira nataman hata nifute numb yake yan km mtu anakuombea mabaya.

Kipind cha nyuma alikuwa ananishaur niache kuwasiliana na mama alienilea kuwa sio mzur kwangu lkn anajisahaulisha huyo mama wa kambo mm ndio alienilea iwe kwa ubaya au uzur.

BINAFS NAONA NIISHI MAISHA YANGU NIACHANE NAE AU NIFUTE NUMB YAKE KABISA AU NI ASSUME KM SINA MAMA TU KM HAPO MWANZO NIKAE NAE MBALI NAJARIBU KUMVUTA LKN NAONA KM THAMAN INAONEKANA PALE NIKIWA NA KAZI/PESA ....!!!

BINAFS NAJIKUTA SAS SINA MAPENZ NAE KABISAAA TOKA TUMEJUANA 2012 SIJAONA TOFAUT NA KUTOKUMJUA, HT RAHA YA KWENDA KWAKE KUMSALIMIA SION TENA
Kwanza nikupe pole kwa yaliyokukuta. Watoto tujifunze na kukubali maisha tuliyopitia kutoka kwa wazazi. Unaweza usinielewa ila kuna mchango nimeweka humu juu ya hili sakata lako, ebu pitia ujifunze kitu.

Mwisho kabisa, usiweke kinyongo kwa mama yako kwa anayokufanyia, wewe chukulia tu km changamoto za maisha. Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumsusa au kumkataa mazazi wake no matter what. Hata awe kichaa, tahira, mwendawazimu nk, kwetu sisi watoto husema "yote heri". Sasa mfano ukimsusa utakuwa umemsusia nani. Hilo ni zigo lako hata km linanuka kinyesi wewe beba tu Tena pita nalo sokoni kwa watu wengi ili wajue jinsi unavyolifurahia.

Usifute namba zake hata kidogo, narudia huyo ni mama yako usifute namba zake hata kidogo no matter what. Ipo siku unaweza kumhitaji kuliko sasa na usimpate. Kwa vile umeshamfahamu tabia yake asihangaike, wewe mchukulie tu jinsi alivyo ila huku moyoni ukijua huyo mama siyo ridhiki Ila kwa vile ndo Mungu alikupa basi inabidi ukubaliane tu na matokeo.

Mimi nimemaliza: BANDOKITITA.
 
Back
Top Bottom