Ni bora nisingemjua Mama yangu

Ni bora nisingemjua Mama yangu

Duuuuu umeongea lugha ngumu sn ndugu. Tuwaheshimu wazazi mapungufu yao tumuachie Mungu
Hakuna heshima nje ya haki na heshima yoyote unayo mtendea mtu yoyote iliyo nje ya haki hiyo siyo heshima bali ni uovu
 
Kwani kabla ya kumpata ulikuwa unaishije? Jifunzeni kuishi maisha yenu na watu makini wanaokuzunguka.
Mimi ndio kitu nilishakataa, watu wa nyumbani kulazimisha tuishi pamoja licha ya kuwa nipo mbali. Watu wanalazimishi kujua daily life yako, anataka ujue kila siku ameamkaje, sijui yule kafanya hivi, sijui kaka A na dada D hawaongei pamoja. Nooo! Nitashirikiana nao kwenye matukio tu, mf. msiba, ugonjwa unaolazimu michango/support lakini sio maisha ya kila siku.
Sasa ukigoma kufanya hivyo anakuona umejitenga.
 
Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.

Miaka inaenda unamaliza elimu yako unapata kaz mnakuwa karibu sana baada ya muda matatizo yanatokea anajikausha km hajui chochote kuhusu wewe yan anaeza kukaa hata miezi miwil hakuna sms wala simu ila b4 uko vizur kiuchumi unakazi simu muda wote hazikauk.

Kila nikijaribu kumueka karibu kumuuliza kwann anakuwa hv yeye ni mtu wa kulalamika tu km namuonea na kusema nampa lawama tu mara sijui simpend yeye ila hapo yeye hajawah kukuonyeshea upendo km wamama kutokumuona mwanae toka akiwa na miaka 4 yan yuko normal mpk muda mwingine unajiuliza hv "huyu ni mama angu mazazi".

Napitia msoto mkali sana lkn sijawah pata sapoti kutoka kwake hata kimawazo ukuaji wangu mpk elimu yangu hajui chochote.

Nikijaribu kumuelewesha inakuwa km ugomv anapanik haraka na kuona km mm namfundisha, muda mwingine nashikwa na hasira nataman hata nifute numb yake yan km mtu anakuombea mabaya.

Kipind cha nyuma alikuwa ananishaur niache kuwasiliana na mama alienilea kuwa sio mzur kwangu lkn anajisahaulisha huyo mama wa kambo mm ndio alienilea iwe kwa ubaya au uzur.

BINAFS NAONA NIISHI MAISHA YANGU NIACHANE NAE AU NIFUTE NUMB YAKE KABISA AU NI ASSUME KM SINA MAMA TU KM HAPO MWANZO NIKAE NAE MBALI NAJARIBU KUMVUTA LKN NAONA KM THAMAN INAONEKANA PALE NIKIWA NA KAZI/PESA ....!!!

BINAFS NAJIKUTA SAS SINA MAPENZ NAE KABISAAA TOKA TUMEJUANA 2012 SIJAONA TOFAUT NA KUTOKUMJUA, HT RAHA YA KWENDA KWAKE KUMSALIMIA SION TENA
Ok
 
Pole sana kwa yaliyokukuta ila naomba nikuambie kitu, mama hawezi kukuambia sababu za yeye kukutelekeza labda ni sababu ngumu kwa mama kumuambia mtoto
Kuna kipindi huwa naangalia kinaitwa Long lost family hivi vipindi vipo nchi nyingi sana ingawa sisi vipindi vyetu ni starehe na sio uhalisia zaidi
Vipo USA, UK, CANADA na Australia pia nchi nyingi tu
Ni kuhusu watu waliopoteana miaka mingi na hata waliowatelekeza watoto wao na kuwapeleka sehemu za kulelea watoto na mwisho kupelekwa kwa watu wanaotaka kupata watoto wa kuwalea
Lakini mwisho huwa wanatafutwa na kukutanishwa hata kama alimtoa kisa dhiki ya kumlea au hata kuona aibu kupata hiyo mimba kwa wale wahenga

Mkuu nakuomba uangalie hizi documentaries labda utajifunza kitu na kumnyenyekea mama yako, mama ni mama tu naomba usifuate ushauri wa wengine kuwa ooh mpige chini, kwani kawa gf huyo?
Usimuulize maswali mengi kuwa kwanini alikuacha bali muoneshe upendo tu kama mama yako na yeye ipo siku anaweza kufunguka na kukuambia yote

Usikasirike kwa ushauri wangu bali tafakari tu
Mtumie zawadi hata hela kidogo bila hata yeye kukuomba jenga ukaribu wa bila jazba
Huyo ni mama yako unawezaje kumkasirikia?
Maisha aliyopitia anajua yeye
Nikupe Pole tena ila kama moyo
 
Ukiliwaza juujuu unakua na majibuu mepesi sana kuhusu swala na mleta maada,lakini ukiweka feeling ninaleta tafasli menginee kabisa. Mimi wazazi wangu walinipenda Sanaa mmja siko nae ila namkumbukaga mpaka machozi yanitokaa...True love hupatikana kwa wazazi tu ndicho walichonifunzaa. Upande wako ni tofauti kabisa,Kimsingi pambana na maishaa kua optimistic,relax as long as hakulogi.
 
Acha kuhamisha tatizo,

Pambana na matatizo yako, ukifanikiwa chagua mtu wa kula nae mafaniko wengine wape sadaka tu, meaning is not your responsibility but you can offer assistance whenever you can
 
Duh watu tuna tofautiana. Wengine tuna tamani tusikie habari njema kuwa mamako yuko hai huko Gaza.
 
Back
Top Bottom