Ni bora CHADEMA ifutwe

We we Mtu wa pwani huna akili tatizo lako kukaa kijiweni na kunywa chai tu bila kufanya kazi...AKILI ZAKO KAMA ZA MTOTO!


leteni hoja kwa nn kisifutwe chama ambacho baada ya kusaidiana na wanachi kuleta maendeleo kinaleta mifarakano

ni kiasi gani cha hasara kilichosababishwa na chadema tokea jana?
ikiwemo nguvu kazi(watu), utalii(nnaamini wazungu wengi au watalii wanaondoka Arusha)

uharibifu wa thamani za serikali na wananchi wa kawaida


kusimama kwa biashara na kupelekea wizi na mauaji


haya yote yanainyima uhalali chadema kubaki kuwa chama cha siasa


kifutwe
 
mbwa wa mwizi kamwe hajui kama bwana wake ni mwizi.
Mafisadi nao wana Mbwa, mbwa wao hawajui kama mabwana zao ni mafisadi
 

toa sababu kwa nini wewe usifutwe uraia wako??
 
Hivi kwa akili zako timamu unafikiri CHADEMA ndo wamesababisha uvunjifu wa amani? au polisi, kama si polisi ni serikali, wao kila wakiona wananchi wanaandamana kwa amani kabisaaa wanawatwanga virungu, tumeona juzi tu cuf walikuwa wanajiendea kupeleka rasimu yao kwa amani kabisa wakawatwanga, saa hapo crazy ni nani kama si serikali? au akili zako zinatumia ushabiki sana?be honest to God even little bite, haya maisha yanamwisho wake bwana, wangapi walikuwepo....... Mungu anaona na malipo yanananzia hapahapa duniani, motoni ni kumalizia tuu.
 

futwa wewe, nyama ya makalio mkubwa wewe
 
huyu jamaa,anavuta sigara kwny matank ya petrol
 

Wewe mkwere unashangaza sana, pwani ndiyo mnaongoza kwa masikini, CDM iko kwa ajili ya kutukomboa wananchi. Nimekusamehe maana watu wa pwani ndiyo mlivyolelewa
 
Wewe mkwere unashangaza sana, pwani ndiyo mnaongoza kwa masikini, CDM iko kwa ajili ya kutukomboa wananchi. Nimekusamehe maana watu wa pwani ndiyo mlivyolelewa

Usimpe kichwa huyo, kumwita Mkwere ni kumpandisha chati.
Ni wa kuja na Ngalawa huyo!
 

What a crap!
 
Bila shaka umechanganyikiwa. Nyerere alitabiri kuwa CHADEMA ni chama mbadala
 

Baba wa Taifa aliisha sema ukiona Chama kimeanzishwa kwa misingi ya udini na ukabila ujue kufa kwake kuko karibu sana. Na sasa wameanza ubaguzi wa kikanda ambapo Kilimanjaro na Arusha ndio wametoka viongozi wengi na wao ndio bora kuzidi wengine. Dhambi hizi zitawamaliza CHADEMA na ndizo zinazo watesa mpaka sasa, mara maandamano bila kibali, nk
 
Bila shaka umechanganyikiwa. Nyerere alitabiri kuwa CHADEMA ni chama mbadala

Acha kupotosha watu, Mwalimu mwenyewe kwenye hotuba zake alisema, kuna weza kuwa na wagombea wengi wa Urais, ila Rais bora atatoka CCM
 
ifutwe ccm kwanza na polisi,halafu wote wapelekwe the HAGUE KWA OCAMPO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…