Inategemea ulivyoelewa tu,ila kila kitu kipo wazi kabisa,kama utaangalia ni namna gani msimamo wa Chadema ulivyo hivi sasa,Chadema wanataka kufanya mambo kinguvunguvu,Chadema wanataka kulazimisha WaTz wakubaliane na matakwa yao au vile waonavyo wao ndio jamii nzima ikubaliane nao na hata serikali iwe inafuata mrengo au matakwa yao ,yaani wanataka kila walitakalo wao lifuatwe na wananchi pamoja na serikali kama halikufuatwa au hawakuruhusiwa basi watumie wananchi kulazimisha ,hii ni jeuri na ni kushindwa kufanya siasa,kwa maana hiyo kama wameshindwa na siasa ni bora wabwage manyanga na sio kutaka kujinyakulia amri kutoka mikononi mwao na kuwatumia watu.<br />
<br />
Sisitizo ambalo limekuchanganya ni pale nilipotoa rai kuwa ,wawe wenye kusimamia misimamo yao kisiasa kama waalivyotoka bungeni,nijuavyo walitakiwa wasirudi hadi kieleweke ,hilo halikufanyika,kutomtambua Raisi nalo hilo lingendelea mpaka ikawa kero ndani na nje ya nchi nalo mpaka ieleweke au kieleweke ,lakini wapi hakuna hata moja walilolisimamia kwa umoja na kuliendeleza ,sasa hili la tutafanya ikiwa hatukupewa kibali huoni kama ni kusababsha matatizo,hawaeleweki !! Mambo mengine hayahitaji mpaka mueleweshwe ukitizama tu utaona kuwa Chadema wamepoteza muelekeo na wanakoelekea ni fujo na vurugu ,ndio nikasema bora kifungwe.