Ni binamu yangu lakini nashindwa kumwelewa

Ni binamu yangu lakini nashindwa kumwelewa

Ni mtoto wa shangazi yangu, ni mzuri kweli kweli, nikisema mzuri naomba muelewe hivyo sintoweza kuanza kutoa sifa hapa mara ana shingo ya nini sijui macho yamekaaje mara hivi mara vile, eleweni tu kwamba ni mzuri sana.

Tatizo nilianza kuliona miaka miaka mitatu iliyopita wakati wote tunaishi nyumbani Ilikuwa tukikaa sebuleni labda kuangalia TV, japo makochi ni mengi yeye anakuja kunikalia mapajani, nikiwa nipo nje ya nyumbani kwa muda mrefu, ninaporudi anakuja kunipokea tena ananikumbatia na busu juu la mdomoni.

Wakati mwingine nikawa nahisi kuwa labda kanimaindi lakini anashindwa kufunguka au ni vp labda, nilikuwa huru kumshikashika maeneo mbalimbali ya mwili wake na akiona naelekea mahali sio penyewe hagombi wala nini ananiondoa mkono taratibu tu.

Nikabaki njia panda kwamba nimwambie au, na nikimwambia je kama hakuwa na nia mbaya atanionaje, nikawa sina la kufanya hapa juzi kati akapata mchumba na process zote zikaenda vizuri hatimae wakafunga ndoa na sherehe kubwa tu.

Sasa hiyo siku ya ndoa ilipofika wakati wa zawadi tukaanza kutoa, nilipofika kwa bi haruc nikampa mkono nikashangaa ananivutia kwake akanikumbatia halafu akanong'ona sikioni mwangu ni kwanini siku zote hizo ulishindwa kunielewa?

Sasa ndo najiuliza kwamba nilishindwa kumuelewa kwa lipi? au alitaka ni mnanihii? Na ndoa yenyewe ilikuwa ni juzi tu hapa nisaidieni mawazo kwa hilo wadau.

Mpigie sm akutembelee. Akija usiongee mshike mkono mpaka kitandani mlambe arafu muulize ulikuwa una maana gani. Maswali baada ya kugegeda
 
nachukia sana hii tabia watu kuishi nyumba moja afu mnaleta usengerema hivi huko kooote hamuoni hadi mtamani ndugu?
kmamaeee kama ni kwangu natimua wote mkapakatane na kupigana mabusu kwa wazazi wenu huu si uchuro huu pambaffff

kuwa mpole mama hiyo inaruhusiwa kabisa, inatakiwa umshangae jamaa kwa uzembe wake!
 
We kiazi kweli. Navyojua mm haram ni ndugu yako wa tumbo na baba mmoja. Wengine unamega tu alaaa. We dogo vp wewe. Ingekua ni mimi nilishaji pakulia kitambo tena sio mara moja alimradi asishike mimba tu !!!

Umeongea la maana sana swahiba
 
Alikuwa anamanisha kwamba kwa dalili zote hizo mtoto alikuwa anataka tu kuliwa ukashindwa sasa zawadi nini?

Ila hakuwa na maana kwamba umuoe ila mechi za kirafiki tu
 
Sasa kumbe ulijua hilo...kwann umechezea bahati dogo ???? Ungekua karibu na mm hapa ningekuzabua makofi. Wenzio hzo bahati huwa hatuzifanyii makosa. Binamu kitu gan ww ??? Msome Yakobo kwenye bible alioa binti wa 2 wa mjomba wake Laban sembuse wewe. Hebu peleka upumbav wako huko. Mwenzio alitaka kupooza engine.

Swahiba umeniambia la maana sana, tena ulipochombeza na mistari ya kwny baibo ndo umenipa Munkari haswa
 
Last edited by a moderator:
Kamalizane nae hukohuko kwa shemeji yako ila ukishikishwa ukuta usije kutulilia hapa JF maana ulivuga haujui nyuchi hapo awali.
 
kama ulishindwa kuvuka chumba utawezaje kupanda gari kumfuata

Ha ha ha umenikumbusha story ya padr na sister walivyosafir mpaka mkoa mmoja kask wa nchi yetu walipofika kwenye huo mkoa ilibid walale gest ili kesho waende kijijin, lakin kila guest wanayoenda wanaambiwa vyumba vimejaa mpaka mwisho wakapata guest lakin chumba kimoja ikabid walale hapohapo lakin kwa shart la kuweka mito kat . asubuh mida ya alfajir ilibid watoke ili wawai magar ya kijiji walichokuwa wanaenda wakakuta get limefungwa na mlinzi hayupo, padr akaona bora aruke ukuta ili aangalie kama ataweza kumuona mlinzi kwa nje. Wakat anajiandaa kuruka ukuta sister akamwambia umeshindwa kuruka mito Jana usiku utaweza kuruka ukuta
 
Ckushindwa nilikuwa bado napima upepo kwanza
 
Back
Top Bottom