Ni binamu yangu lakini nashindwa kumwelewa

Ni mtoto wa shangazi yangu, ni mzuri kweli kweli, nikisema mzuri naomba muelewe hivyo sintoweza kuanza kutoa sifa hapa mara ana shingo ya nini sijui macho yamekaaje mara hivi mara vile, eleweni tu kwamba ni mzuri sana.

Tatizo nilianza kuliona miaka miaka mitatu iliyopita wakati wote tunaishi nyumbani Ilikuwa tukikaa sebuleni labda kuangalia TV, japo makochi ni mengi yeye anakuja kunikalia mapajani, nikiwa nipo nje ya nyumbani kwa muda mrefu, ninaporudi anakuja kunipokea tena ananikumbatia na busu juu la mdomoni.

Wakati mwingine nikawa nahisi kuwa labda kanimaindi lakini anashindwa kufunguka au ni vp labda, nilikuwa huru kumshikashika maeneo mbalimbali ya mwili wake na akiona naelekea mahali sio penyewe hagombi wala nini ananiondoa mkono taratibu tu.

Nikabaki njia panda kwamba nimwambie au, na nikimwambia je kama hakuwa na nia mbaya atanionaje, nikawa sina la kufanya hapa juzi kati akapata mchumba na process zote zikaenda vizuri hatimae wakafunga ndoa na sherehe kubwa tu.

Sasa hiyo siku ya ndoa ilipofika wakati wa zawadi tukaanza kutoa, nilipofika kwa bi haruc nikampa mkono nikashangaa ananivutia kwake akanikumbatia halafu akanong'ona sikioni mwangu ni kwanini siku zote hizo ulishindwa kunielewa?

Sasa ndo najiuliza kwamba nilishindwa kumuelewa kwa lipi? au alitaka ni mnanihii? Na ndoa yenyewe ilikuwa ni juzi tu hapa nisaidieni mawazo kwa hilo wadau.
Ulivyokua unamshika shika ulikua unahisi ni kawaida au alivyokua anakukalia wakati wakuangalia TV alikufanya wewe kiti?
Ukiwa kama Rijali wewe ulikua unaichukuliaje? au Jogoo alikua Hawiki sababu ni Binamu ulikua unacheza tuuu?
 
ulipewa fursa ukachezea ...........

Grand PA
 
Ulivyokua unamshika shika ulikua unahisi ni kawaida au alivyokua anakukalia wakati wakuangalia TV alikufanya wewe kiti?
Ukiwa kama Rijali wewe ulikua unaichukuliaje? au Jogoo alikua Hawiki sababu ni Binamu ulikua unacheza tuuu?

Nisiwe muongo......kwa kweli alikuwa ananiweka kwny wkt mgumu sana na ndo maana ktk kushikashika vile ili nipate uhakika kama anataka kugegedwa au anatakaje
 
sasa rafiki umeacha mpaka binamu kachukuliwa ndio unaakuja kuomba ushauri, umekosea ungekuja wakati ule....!

Kama ningekuja wakati ule ungenishaurije maana hata sasa bado hujachelewa sana, hata hizo sms anazoendelea kunitumia ni za utata mtupu
 
"nikisema mzuri naomba muelewe hivyo"
Beuty belongs into the eyes of the beholder.
 
Kwanza mimi naona ni ushenzi mtupu kumtamani binamu yako. kumbuka huyo shangazi yako ni damu moja na wewe maana kazaliwa na baba yako sawa na baba mdogo. Kwa maana ukitamani mtoto wa shangazi yako vile vile utatamani mtoto wa baba mdogo au baba mkubwa ambao mimi naona na kikwetu tunawaita dada. Mtoto wa shangazi yako japo binamu yako sisi kikkwetu bado wanakuita mjomba kama wanavyomuita baba yako. Kwa hiyo bado nasaba ya ukoo ipo na kama ipo si vizuri kula mtu wa ukoo wako tena wa karibu yaani mtoto wa dada ya baba yako kama ilivyo mtoto wa baba mkubwa/mdogo
Ni mtoto wa shangazi yangu, ni mzuri kweli kweli, nikisema mzuri naomba muelewe hivyo sintoweza kuanza kutoa sifa hapa mara ana shingo ya nini sijui macho yamekaaje mara hivi mara vile, eleweni tu kwamba ni mzuri sana.

Tatizo nilianza kuliona miaka miaka mitatu iliyopita wakati wote tunaishi nyumbani Ilikuwa tukikaa sebuleni labda kuangalia TV, japo makochi ni mengi yeye anakuja kunikalia mapajani, nikiwa nipo nje ya nyumbani kwa muda mrefu, ninaporudi anakuja kunipokea tena ananikumbatia na busu juu la mdomoni.

Wakati mwingine nikawa nahisi kuwa labda kanimaindi lakini anashindwa kufunguka au ni vp labda, nilikuwa huru kumshikashika maeneo mbalimbali ya mwili wake na akiona naelekea mahali sio penyewe hagombi wala nini ananiondoa mkono taratibu tu.

Nikabaki njia panda kwamba nimwambie au, na nikimwambia je kama hakuwa na nia mbaya atanionaje, nikawa sina la kufanya hapa juzi kati akapata mchumba na process zote zikaenda vizuri hatimae wakafunga ndoa na sherehe kubwa tu.

Sasa hiyo siku ya ndoa ilipofika wakati wa zawadi tukaanza kutoa, nilipofika kwa bi haruc nikampa mkono nikashangaa ananivutia kwake akanikumbatia halafu akanong'ona sikioni mwangu ni kwanini siku zote hizo ulishindwa kunielewa?

Sasa ndo najiuliza kwamba nilishindwa kumuelewa kwa lipi? au alitaka ni mnanihii? Na ndoa yenyewe ilikuwa ni juzi tu hapa nisaidieni mawazo kwa hilo wadau.
 
Kwanza mimi naona ni ushenzi mtupu kumtamani binamu yako. kumbuka huyo shangazi yako ni damu moja na wewe maana kazaliwa na baba yako sawa na baba mdogo. Kwa maana ukitamani mtoto wa shangazi yako vile vile utatamani mtoto wa baba mdogo au baba mkubwa ambao mimi naona na kikwetu tunawaita dada. Mtoto wa shangazi yako japo binamu yako sisi kikkwetu bado wanakuita mjomba kama wanavyomuita baba yako. Kwa hiyo bado nasaba ya ukoo ipo na kama ipo si vizuri kula mtu wa ukoo wako tena wa karibu yaani mtoto wa dada ya baba yako kama ilivyo mtoto wa baba mkubwa/mdogo

Lakin Mwananchi ujue kuna makabila mengine ni ruksa kumgegeda hadi kumuoa na kuzaa na binamu yako
 
Last edited by a moderator:
Kwani wee una umri gani? Ulitaka akwambie kwa mdomo? Ishara hukuziona? We govie kweli. Huyo binamu, watu wanagonga tu kama kupoozea injini na yeye pia anapooza hisia. Sio kwa ajili ya kuoana. Sasa basi ndo lishaondoka, limekuacha. Sasa hivi ni mke wa mtu na ni binamu yako. Ukitaka kuvuruka mambo wee tia mguu humo. Kaa mbali. Yeye alitaka mechi, ila uzoba wako ndo basi tena.
 
Kama ningekuja wakati ule ungenishaurije maana hata sasa bado hujachelewa sana, hata hizo sms anazoendelea kunitumia ni za utata mtupu

sasa nakuonea huruma, maana jamaa aliyemuoa hata kubali mkewe amegwe pembeni atakufanyia kitu kibaya... sasa wewe muacha dadako binamu akae kwa mumewe kwa amani.....!
 
Kwani wee una umri gani? Ulitaka akwambie kwa mdomo? Ishara hukuziona? We govie kweli. Huyo binamu, watu wanagonga tu kama kupoozea injini na yeye pia anapooza hisia. Sio kwa ajili ya kuoana. Sasa basi ndo lishaondoka, limekuacha. Sasa hivi ni mke wa mtu na ni binamu yako. Ukitaka kuvuruka mambo wee tia mguu humo. Kaa mbali. Yeye alitaka mechi, ila uzoba wako ndo basi tena.

Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaa
........duh...we kweli barafu ya moto duh, kumbe mi ni govie, umenifurahisha sana
 
Ni mtoto wa shangazi yangu, ni mzuri kweli kweli, nikisema mzuri naomba muelewe hivyo sintoweza kuanza kutoa sifa hapa mara ana shingo ya nini sijui macho yamekaaje mara hivi mara vile, eleweni tu kwamba ni mzuri sana.

Tatizo nilianza kuliona miaka miaka mitatu iliyopita wakati wote tunaishi nyumbani Ilikuwa tukikaa sebuleni labda kuangalia TV, japo makochi ni mengi yeye anakuja kunikalia mapajani, nikiwa nipo nje ya nyumbani kwa muda mrefu, ninaporudi anakuja kunipokea tena ananikumbatia na busu juu la mdomoni.

Wakati mwingine nikawa nahisi kuwa labda kanimaindi lakini anashindwa kufunguka au ni vp labda, nilikuwa huru kumshikashika maeneo mbalimbali ya mwili wake na akiona naelekea mahali sio penyewe hagombi wala nini ananiondoa mkono taratibu tu.

Nikabaki njia panda kwamba nimwambie au, na nikimwambia je kama hakuwa na nia mbaya atanionaje, nikawa sina la kufanya hapa juzi kati akapata mchumba na process zote zikaenda vizuri hatimae wakafunga ndoa na sherehe kubwa tu.

Sasa hiyo siku ya ndoa ilipofika wakati wa zawadi tukaanza kutoa, nilipofika kwa bi haruc nikampa mkono nikashangaa ananivutia kwake akanikumbatia halafu akanong'ona sikioni mwangu ni kwanini siku zote hizo ulishindwa kunielewa?

Sasa ndo najiuliza kwamba nilishindwa kumuelewa kwa lipi? au alitaka ni mnanihii? Na ndoa yenyewe ilikuwa ni juzi tu hapa nisaidieni mawazo kwa hilo wadau.

We kiazi kweli. Navyojua mm haram ni ndugu yako wa tumbo na baba mmoja. Wengine unamega tu alaaa. We dogo vp wewe. Ingekua ni mimi nilishaji pakulia kitambo tena sio mara moja alimradi asishike mimba tu !!!
 
Cdhani kama alikuwa ana mpango wa kuolewa na mimi, nahic alichokihitaji ilikuwa ni migegedano tu tena basi iwe kwa siri

Sasa kumbe ulijua hilo...kwann umechezea bahati dogo ???? Ungekua karibu na mm hapa ningekuzabua makofi. Wenzio hzo bahati huwa hatuzifanyii makosa. Binamu kitu gan ww ??? Msome Yakobo kwenye bible alioa binti wa 2 wa mjomba wake Laban sembuse wewe. Hebu peleka upumbav wako huko. Mwenzio alitaka kupooza engine.
 
so unalalamika kwa kukosa kumnaniliu au maana hii imekaa kama taarifa sijui tunakushauri nini kama sio kuwa kamchepuko kake
 
nachukia sana hii tabia watu kuishi nyumba moja afu mnaleta usengerema hivi huko kooote hamuoni hadi mtamani ndugu?
kmamaeee kama ni kwangu natimua wote mkapakatane na kupigana mabusu kwa wazazi wenu huu si uchuro huu pambaffff
 
Haaaaaaa!!!!!Mkuu amemula tu huyo binamu nyama ya hamu....
 
Binamu hatongozwi anangushwa tu ukiona dalili. Unamshika mkono mpaka chumbani unakula maongezi baadae
 
Back
Top Bottom