Ni binamu yangu lakini nashindwa kumwelewa

Ni binamu yangu lakini nashindwa kumwelewa

Umri wako tafadhari? Unauliza umfanyaje ndugu yako kwa tamaa ya uzinzi? Tena ni mke wa mtu?
Halafu kesho kutwa urudi hapa uombe ushauri umemto.... na umempa mimba utuulize ufanyeje? Watanzania bwana, hivi hata hili tunahitaji kufundishwa darasani ama kufadhiriwa na wamarekani??
 
Hehehe...huyu ndugu yangu kanifanya nihamaki kwa maneno hayo...

Sredi zake huwa ni kwikwi tupu, kila siku kisa kipya...

Jaman wala msitie shaka kwny sred zangu mbona zipo kawaida tu, au mlitaka niwe nawadanganya sasa
 
Kumbe mwisho wa siku stelingi alikufa na picha likaisha.. Too late mkuu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Chukua time yako. Achana naye - keshaolewa huyo, isitoshe ni ndugu yako. ulikotoka ni kuzuri unaanza kujiwazia kwenda kubaya.
 
kutokujua ufanye nini kumekusaidia muda wote huo kuharibu undugu na mambo ya laana kama hayo yeye akiwa anataka... hongera
 
Back
Top Bottom