Ni binamu yangu lakini nashindwa kumwelewa

Ni binamu yangu lakini nashindwa kumwelewa

Si yalishapita sasa, kwani hata ukisaidiwa mawazo then what?
 
Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaa huo utani wako utamkosti yule bwana harusi kwa kubambikiwa mimba
 
Ha ha ha umenikumbusha story ya padr na sister walivyosafir mpaka mkoa mmoja kask wa nchi yetu walipofika kwenye huo mkoa ilibid walale gest ili kesho waende kijijin, lakin kila guest wanayoenda wanaambiwa vyumba vimejaa mpaka mwisho wakapata guest lakin chumba kimoja ikabid walale hapohapo lakin kwa shart la kuweka mito kat . asubuh mida ya alfajir ilibid watoke ili wawai magar ya kijiji walichokuwa wanaenda wakakuta get limefungwa na mlinzi hayupo, padr akaona bora aruke ukuta ili aangalie kama ataweza kumuona mlinzi kwa nje. Wakat anajiandaa kuruka ukuta sister akamwambia umeshindwa kuruka mito Jana usiku utaweza kuruka ukuta

weeeee
nimekukumbusha mbali kumbe....!!
 
Swahiba umeniambia la maana sana, tena ulipochombeza na mistari ya kwny baibo ndo umenipa Munkari haswa

We si unaremba !!! Kuna mshkaj wang flan hvi alikumbwa na case kama hii yako...Dem mkali balaa (ni mtoto wa mjomba ake). Jamaa alikua na kazi nzuri akawa tu anamsaidia binamu yake (huyo dem ni mtu mzma like 26 of age) na vihela vya matumizi just as a brother/sister thing. Mtoto akanogewa...siku dem kamuibukia jamaa ghetto kwake na kumfanyia mitego. Kwan jamaa aliremba ??? Alikua anamgonga yule binam yake mara kibao...mpaka nikaja mwambia apunguze hyo michezo asifanyie komoa. Ila kama ni kugegeda, aligegeda vya kutosha. Hakuna anayejua hyo siri huko kwao aliniambia mm cz ni mshkaj wangu wa siku nyingi sanaaa.
Since then nikajua kujua ukimpa mwanamke Care ya kutosha yan ni lazma itakuja siku atakushangaza huto amini.
 
duh ndo hivo sasa kahamu kanasuguliwa hakatakuwa na tamaa tena.... tehe
 
Huenda hilo libange lako mdomoni ndio lilikufanya usimwelewe Galadudu

Ha ha ha ha ha haaaa.....kuna mambo mawili ambayo nilikuwa cna uhakika nayo (1) hayo mambo alikuwa anayaona ya kawaida tu au........(2) hadi sasa bado cjaelewa kama alikuwq sirias kutaka kugegedwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom