Ni binamu yangu lakini nashindwa kumwelewa

Ni binamu yangu lakini nashindwa kumwelewa

wa aina hiyo wa undugu wa kutafuta na tochi nime wagegeda sanaaa kasoro kuzaa nao tu!!
 
Hivi visa vina fanana sana , huwenda wadau washapata pa kudesea
Thanks mkuu
 
Ni mtoto wa shangazi yangu, ni mzuri kweli kweli, nikisema mzuri naomba muelewe hivyo sintoweza kuanza kutoa sifa hapa mara ana shingo ya nini cjui macho yamekaaje mara hivi mara vile, eleweni tu kwamba ni mzuri sana.

Tatizi nilianza kuliona miaka mi3 iliyopita wakati wote tunaishi nyumbani......Ilikuwa tukikaa sebuleni labda kuangalia tv, japo makochi ni mengi yeye anakuja kunikalia mapajani, nikiwa nipo nje ya nyumban kwa muda mrefu, ninaporudi anakuja kunipokea tena ananikumbatia na busu juu la mdomoni.

Wakati mwingine nikawa nahisi kuwa labda kanimaindi lakin anashindwa kufunguka au ni vp labda, nilikuwa huru kumshikashika maeneo mbalimbali ya mwili wake na akiona naelekea mahali sio penyewe hagombi wala nn ananiondoa mkono taratibu tu.

Nikabaki njia panda kwamba nimwambie au.....na nikimwambia je kama hakuwa na nia mbaya atanionaje, nikawa cna la kufanya......hapa juzi kati akapata mchumba na process zote zikaenda vizuri hatimae wakafunga ndoa na sherehe kubwa tu.

Sasa hiyo cku ya ndoa ulipofika wakati wa zawadi tukaanza kutoa, nilipofika kwa bi haruc nikampa mkono....nikashangaa ananivutia kwake akanikumbatia halafu akanong'ona sikioni mwangu.....Ni kwann cku zote hizo ulishindwa kunielewa?.....

Sasa ndo najiuliza kwamba nilishindwa kumuelewa kwa lipi? au alitaka ni mnanihii? Na ndoa yenyewe ilikuwa ni juzi tu hapa....nisaidieni mawazo kwa hilo wadau.

kati ya wanaume wazembe duniani top 5 hukosi
 
Back in the days radio Tanzania kulikuwa na kipindi cha mama na mwana....those golden days...

Daaah! mkuu umenikumbusha mbali sanaaa!!.
Enzi ya mama na mwana na Deborah Mwenda.Nakumbuka hadithi tam tam za enzi hizo kama vile;ua jekundu,Adili na nduguze....dah wakati umekwenda kasi sana.
 
kudate na ndugu sio poa wanawake wengi sana ungemgonga ungeandika
historia mbaya kwa nduguyo
 
Galadudu ulishindwa kutumia dudu, msubiri atarudi kutembea home ndo umgonge
 
Galadudu ulishindwa kutumia dudu, msubiri atarudi kutembea home ndo umgonge

Mkuu moyo unasita sana maana kama itakuja kubumburuka tutaonekana wote wapuuzi, halafu kwa sasa cpo home tena
 
natamani nikuzibue kofi moja yani umeshindwaje kutafuna nyama ya hamu afu unataka tukupe ushauri hujui kazi ya gegedeo shen.....zii
 
Back
Top Bottom