Ni binamu yangu lakini nashindwa kumwelewa

Aisee! Wewe hufai kuishi katika jamii yetu,ulitakiwa ule mzigo kitaaaaaaaaaaambo.
Nalog off
 
Ni mtoto wa shangazi yangu, ni mzuri kweli kweli, nikisema mzuri naomba muelewe hivyo sintoweza kuanza kutoa sifa hapa mara ana shingo ya nini sijui macho yamekaaje mara hivi mara vile, eleweni tu kwamba ni mzuri sana.

Tatizo nilianza kuliona miaka miaka mitatu iliyopita wakati wote tunaishi nyumbani Ilikuwa tukikaa sebuleni labda kuangalia TV, japo makochi ni mengi yeye anakuja kunikalia mapajani, nikiwa nipo nje ya nyumbani kwa muda mrefu, ninaporudi anakuja kunipokea tena ananikumbatia na busu juu la mdomoni.

Wakati mwingine nikawa nahisi kuwa labda kanimaindi lakini anashindwa kufunguka au ni vp labda, nilikuwa huru kumshikashika maeneo mbalimbali ya mwili wake na akiona naelekea mahali sio penyewe hagombi wala nini ananiondoa mkono taratibu tu.

Nikabaki njia panda kwamba nimwambie au, na nikimwambia je kama hakuwa na nia mbaya atanionaje, nikawa sina la kufanya hapa juzi kati akapata mchumba na process zote zikaenda vizuri hatimae wakafunga ndoa na sherehe kubwa tu.

Sasa hiyo siku ya ndoa ilipofika wakati wa zawadi tukaanza kutoa, nilipofika kwa bi haruc nikampa mkono nikashangaa ananivutia kwake akanikumbatia halafu akanong'ona sikioni mwangu ni kwanini siku zote hizo ulishindwa kunielewa?

Sasa ndo najiuliza kwamba nilishindwa kumuelewa kwa lipi? au alitaka ni mnanihii? Na ndoa yenyewe ilikuwa ni juzi tu hapa nisaidieni mawazo kwa hilo wadau.

Binam Nyama ya HAMU
 
Aisee! Wewe hufai kuishi katika jamii yetu,ulitakiwa ule mzigo kitaaaaaaaaaaambo.
Nalog off

Na hapa ndo cjawawekea picha yake, nadhani ningeiweka hapa mngenitukana sana maana ni bonge la toto
 
hata kauli yake ni mbona siku zote ulishindwa nielewa
sio mbona HUNIELEWI cha msingi mpotezee asha kuona joka la kibisa
mwache mmewe afwaidi
 
uzinzi tu, kwetu binamu yako ni sawa tu na dada yako,lakini makabila mengine hasa ya pwani wanaowana tu, mama yako na mjomba wako wametoka tumbo moja, watoto wao ni kitu kimoja, ukiweza kumbora binamu yako utashindwa nin kwa dada yako!!
 
Wewe jamaa sio striker kabisa!Kama EPL ungechezea QPR!

Dalili zote hizi ukashindwa kumpa kijinga aungue?
 
Ni mtoto wa shangazi yangu, ni mzuri kweli kweli, nikisema mzuri naomba muelewe hivyo sintoweza kuanza kutoa sifa hapa mara ana shingo ya nini sijui macho yamekaaje mara hivi mara vile, eleweni tu kwamba ni mzuri sana.

Tatizo nilianza kuliona miaka miaka mitatu iliyopita wakati wote tunaishi nyumbani Ilikuwa tukikaa sebuleni labda kuangalia TV, japo makochi ni mengi yeye anakuja kunikalia mapajani, nikiwa nipo nje ya nyumbani kwa muda mrefu, ninaporudi anakuja kunipokea tena ananikumbatia na busu juu la mdomoni.

Wakati mwingine nikawa nahisi kuwa labda kanimaindi lakini anashindwa kufunguka au ni vp labda, nilikuwa huru kumshikashika maeneo mbalimbali ya mwili wake na akiona naelekea mahali sio penyewe hagombi wala nini ananiondoa mkono taratibu tu.

Nikabaki njia panda kwamba nimwambie au, na nikimwambia je kama hakuwa na nia mbaya atanionaje, nikawa sina la kufanya hapa juzi kati akapata mchumba na process zote zikaenda vizuri hatimae wakafunga ndoa na sherehe kubwa tu.

Sasa hiyo siku ya ndoa ilipofika wakati wa zawadi tukaanza kutoa, nilipofika kwa bi haruc nikampa mkono nikashangaa ananivutia kwake akanikumbatia halafu akanong'ona sikioni mwangu ni kwanini siku zote hizo ulishindwa kunielewa?

Sasa ndo najiuliza kwamba nilishindwa kumuelewa kwa lipi? au alitaka ni mnanihii? Na ndoa yenyewe ilikuwa ni juzi tu hapa nisaidieni mawazo kwa hilo wadau.

pole sana ndugu ,maisha ndivyo vyalivyo,kubali matokeo,your story is similar to mine,i accept the results,mi naamini mungu hakutaka niwe na yule cousin wangu,ingawa nampongeza aliyemuoa amepata wife material,beautifully,intellectual,good habit,she gone school,still young daah kuna watu wanabahati,labda tatizo mi naona ana wivu sana.
 
Mkuu nahisi ungebadili kichwa cha habari na kuandika "nahisi nilishindwa kumwelewa" maana ameshakuelewesha ulichotakiwa kufanya
 
Back
Top Bottom