Ni ajabu,lakini ni kweli pia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni ajabu,lakini ni kweli pia

Discussion in 'Jamii Photos' started by Speaker, Feb 24, 2012.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haya ni matukio/mambo katika picha ambayo sio rahisi kuamini
  kama yametokea/yapo lakini yapo kweli.

  [​IMG]
  Huyu jamaaa ni maarufu kwa kucheza na nyoka,hicho ndicho kipaji chake na kina mpa kipato

  [​IMG]
  Hizi sio ndizi bukoba wala moshi,....zipo Tarime,...karibu ujionee

  [​IMG]
  Katika hii ajali inasemekana dereva alitoka akiwa mzima kabisa,....
  chaguo ni lako,amini au usiamini ila ndivyo ilivyokua

  Ongeza mengine.............
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huyu inasemekana alikua na uzito wa kilo 170kg,....lakini hapo alipo ana 12kg.
  Inasemekana ni kiharusi,........sijui sana kuhusu ugonjwa huo.
  [​IMG]
   
 3. sister

  sister JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,029
  Likes Received: 3,940
  Trophy Points: 280
  mmmh yanatisha kwa kweli.
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hiyo ndizi ageshtukia angechimba shimo ingeendelea kurefuka.
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Uliza bei yake sasa!!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. J

  Jema la inchi New Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wajameni hii itakuwa ile Ngoma.
   
 7. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  hv hzo ndiz mbna kwetu kwa mwankenja hazipo?
   
 8. S

  Shanagunwa New Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo dreva alitoka kabla ya ajali au baadaya ajali?
   
Loading...