Ni aibu kwa hospitali kubwa kama hii

Ni ile Ilembula iliyokuwa chini ya mzungu wa Ikonda wakamnyang'anya?
Haya mambo sijawahi kuyasikia hosptali zinazoeleweka.
 
Habari wakuu,

Leo nimeamua kuwachana live maana mmezidi hii ni mara ya pili Mama angu amepewa dawa zilizoisha mda wake shame on you tena wauaji wakubwa.

Mama 'angu amekua akisumbuliwa na kisukari so hua anachukulia dawa katka Hospital ya ILEMBULA kwa hili hapana hao watu wanaoiba dawa kwa kuwapatia dawa wagonjwa zilizoisha muda wakesi.

Wito wangu kwa mamlaka husika wakafanye uchunguzi hasa kwa watu wanao tumia BIMA huku ndo wanakonyongea watu sanaa.

Huyu anaetoa dawa zilizoisha mda anauza dawa.

Mnajiharibia sanaa CV yenu.

Acheni uuaji huu Mungu anawaona pia kumbukeni malipo hapahapa utakufa hata kabla ya kumuua mgonjwa wa kisukari.
Mto wetu unakauka

River/Liver si drying


Sijui mto wa kulalia

View attachment 1751491



Sitaki kupitwa

 
Back
Top Bottom